Kweli ulilazimishwa kufanya mapenzi ya jinsia moja? Pole sana. Ni kweli vibaya kufanya mapenzi ya kulazimishwa.Unapokuwa na shida huna uchaguzi. Inatulazimu kukopa kwa hao wezi. Ila Russia tunafanya biashara. Tena wanajali. Ndio sababu hata silaha zetu nyingi tunanunua kwao. Hawana masharti ya kijinga.
Tafauti na mabeberu. Huwezi fanya nao biashara mpaka wakuibie. Rejea rada.
Pia wanamasharti lazima uwaunge mkono hata kwenye upumbavu. Rejea Kenya wanavyotaabika kuilaani Urusi,huku nafsi zao zikiwasuta.
Mbaya zaidi wanawalazimisha marafiki na mashabiki zao kuwa mashoga na kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Tupo wengi tu hapa tunasubiri kuiona Ukraine ikiwa chini ya Puttin kwenye hii OP part 2 ya kamanda mpya.
View attachment 2184265
Heshimu mitazamo ya mwenzakoHaya pumzika sasa na wewe usinitolee povu pia kwa kumtolea povu mwingine
Wanaandika wanafuta, wanapanga wanapanguaView attachment 2184274
Ukraine yalalamika kuwa Russia inakusanya majeshi yake kwa ajili ya kwenda kuikamata Ukraine yoote...
View attachment 2184276View attachment 2184277
Huyu jamaa ana tabia za kike.Miemoji kibao kwenye reply zako huwa najiuliza una shida gani. unacheka/unajichekesha hata mahali ambapo hapastahiki kucheka. Bandama yako ni oversize!?
ulivyokuja na maswala ya udini ukapigwa 'darsa' humu ukaishia kupiga uturn. Umebaki kuchekacheka tu hutoi taarifa/update, huna hoja, basi hata kuchambua/analysis hoja za wenzio kistaarabu huwezi. Wewe ni mabendera na maemoji ya kucheka kila mahali. Unaboa mzee comment zako zinatia kinyaa.
Wtf[emoji2959]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Magari ya kivita ya ajabu na ya kuitisha ya Russia yaitwayo 'Terminators' yamiminika kuelea mpakani mwa Ukraine na Russia
Terminators hizo kazi zake ni kuyalinda magarivita mengineyo, kuangamiza MANPADS, kuangamiza vifaru kwa kutumia teknolojia ya juu zaidi kiasi kwamba kifaru chaweza kuangamizwa hata kikiwa umbali wa kilomita 6. Terminators hizo pia zima bunduki mbili za kipekee ambazo zaweza kutumika kuangamiza helicopters za adui angani. Pia Terminators zina mifumo ya ulinzi wa anga.
Terminators ni mara ya kwanza kuonekana kuingia mzigoni Ukraine
Asante sana Putin....
View attachment 2184279
View attachment 2184281View attachment 2184282
hamna jamaa wala hajakukejeli kakueleza jambo vyemaUngenieleza kwa ufupi tu kulikoo kuandika maneno mengi ya kunikejeli tu bila kunifahamisha kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
atatoa tuuu
mwenye masikio naasikie [emoji4][emoji4][emoji4]
Mungu mbariki PUT INRussia Yenye Nguvu ndio Usalama Wa Dunia
Putin Mwenye Afya Ndio Uhuru wa Dunia
Mungu Ibariki Urusi
Kwenye akili yako hili jambo umesharuhusu liwe sehemu ya kumbukumbu zako za kudumu. Nimesoma sana majibu yako humu, ni jambo lililokukaa na limekua sehemu yako na unalitumia sana katika majibu yako.shoga
ongeza na ODESA hii naona jamaa watapita nayoMariupol, donbase na cremea kamwe hazitarud kwa ukraiane... naona Ukraine ndio inaenda kugawanyika.
Mbona wanajikanyaga kanyaga ..hawaeleweki hawa CHAWA ...Ukraine yalalamika kuwa Russia inakusanya majeshi yake kwa ajili ya kwenda kuikamata Ukraine yoote...
View attachment 2184276View attachment 2184277
Eiwaaa we ndio umenelewa vyema, sikuwa na maana ya kumkejeli na sidhani kama nimeandika maneno ya kumkejeli. Na nilivoona kasema nimemkejeli sikutaka kuendelea kumweleza.hamna jamaa wala hajakukejeli kakueleza jambo vyema
anaweza akakueleza (akatueleza maana namie nimo kwenye wanaotaka kumjua) ila itategemeana na upataji habari wako mwengine unatokea upande gani
kiufupi jamaa hajakukejeli