Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Basi kila mtu afanye anachojisikia,mwache aweke emoji zake anavyotaka.Otherwise unajichosha sana na micomment mirefu ya kuexplain kitu kinachohitaji sentence 3 tu.
We mbona hukuandika hizo sentesi 3. Kila mtu afanye anachojisikia! mm nimejisikia kumrekebisha uandishi wake na wewe umejisikia kunikosoa kisa nimerekebisha uandishi wake. Kutokufuata ushauri wako mwenyewe ni unafiki

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kama Russia alishindwa kumaliza hii operation hapo mwanzoni wakati Ukraine alikuwa bado ana struggle,leo hii wameshaimarika na silaha nyingi zimeshawafikia,sioni Russia akifanikiwa tena,atatoka kimya kimya kama alivyotoka kule Afghanistan.
Ukraine hatumii hela zake, Urusi anatumia zake
 
Kwa sasa nguvu zetu zipo kwenye jimbo la kharkiv na Odessa.tukitoka hapo tunaenda kuchukua jimbo la Dripro.hapo false 2 inakuwa imekamilika kwa kushikilia asilimia 50 ya uchumi wa ukraine.sasa sijui kama atakataa matakwa ya Warusi baada ya hapo
Kama Mariupol mpaka Leo haijakombolewa yote huko Kharkiv itafika mpaka Christmas. Nimeamini Russia kwenye convectional warfare ni dhaifu.
 
Kama Russia alishindwa kumaliza hii operation hapo mwanzoni wakati Ukraine alikuwa bado ana struggle,leo hii wameshaimarika na silaha nyingi zimeshawafikia,sioni Russia akifanikiwa tena,atatoka kimya kimya kama alivyotoka kule Afghanistan.
Wengi hatufahamu kama Russia iliwahi kutoka kimya kimya huko Afghanistan
Ila tunajua kwa uhakika kuwa mwaka mmoja tu uliopita
Marekani ilitoka kwa kasi kubwa kutoka huko Afghanistan baada ya karibu miaka 20 ya kuikalia nchi hiyo😁😁😂😂
 
Jamaa hayumbishwi[emoji2]
Screenshot_20220412-104325_RT%20News.jpg
 
A credit committee has voted to class a bond issued by Russian Railways as being in default, marking the first time a Russia-originated debt instruments has been officially classified as defaulted since the country's invasion of Ukraine.



The EMEA Credit Derivatives Determinations Committee (CDDC), whose members include some of the world's biggest investment banks, said on Monday it had decided a "failure to pay" credit event has occurred on Swiss franc loan participation notes linked to state-owned Russian Railways.
 
Japan said it would ban coal imports from Russia in a broad escalation of sanctions that included expelling eight diplomats, in some of its strongest moves yet to protest what it termed "outrageous" actions against civilians in Ukraine.



Japan joined the United States and European Union nations, which this week announced sweeping sanctions such as bans on importing coal and freezing the assets of banks and individuals, including Russian President Vladimir Putin's daughters.
 
Lukashenka arrived on a visit to the Far East: today he will visit Blagoveshchensk.

On Cosmonautics Day, the leader of Belarus will hold a bilateral meeting with Putin and visit the Vostochny cosmodrome, Pool First reports.

After that, Lukashenka will go to Primorsky Krai, where he will meet with Governor Kozhemyako. The main topic of the talks will be cooperation between Belarus and the Russian region.
20220411_223049.png
 
Japan has included Sberbank and Alfa-Bank in the list of additional sanctions: their assets will be frozen, and transactions with them will be prohibited.

A ban on new direct investment in Russia is also being introduced, the Japanese Foreign Ministry said.

The ban on the import of certain types of wood, a number of machinery and alcohol from Russia will come into effect in a week, on April 19, the Ministry of Economy of Japan specified.

In addition, the list of additional sanctions includes 398 individuals, including Maria Vorontsova, Katerina Tikhonova, Maria Lavrova and Ekaterina Vinokurova.
Galip SV
20220411_223049.png
 
We mbona hukuandika hizo sentesi 3. Kila mtu afanye anachojisikia! mm nimejisikia kumrekebisha uandishi wake na wewe umejisikia kunikosoa kisa nimerekebisha uandishi wake. Kutokufuata ushauri wako mwenyewe ni unafiki

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Haya kunywa maji kwa wingi na upumzike
 
Back
Top Bottom