NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
The euro exchange rate during trading on the Moscow Exchange exceeded 90 rubles for the first time since April 6.
Sasa watu HATUNA chakula, HATUNA silaha, tumeishiwa risasi, HATUNA madawa ... Tufanyeje !!? mtupige tu Wayukraine ..tupigeni .... Lakini shinda mnatupiga mnalia ninyi mna matatizo Gani ndugu .....😂😂😂 kama wanaaga maiti 😁😁😁 .
Pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺 wote wa humu ni vichaa kama mzee wao Putin😂😂😂😂
Fake News1350 Ukrainian marines surrendered to the forces of the DPR and Russia as of the evening of April 13, the headquarters of the territorial defense of the republic said.
Galip SV View attachment 2186925
Basi vifaa vya Russia vibovu 🤣🤣🤣Acha kujichekesha hapa,video inaonesha kabisa kombora likiruka kutoka kwenye meli na hapo hapo mlipuko ukatokea!Video haioneshi missile yoyote ikiipiga hiyo meli!
Nimetaka tu kukurekebisha Ili usipotoshe!
Hizo shingo zao zitavunjwa phase 2[emoji23][emoji23] T 14 armata mpiga PULII .......ila ni kweli kabisa watu wengi walikuwa hawaijui russia kiundani wengi wamekuja kuijulia hapa ....ila kwa sababu ya upro nato wanakaza shingo zao
Viwe vibovu au vizima,sio hoja yangu!Hoja yangu ni kuwa muache upotoshaji!Basi vifaa vya Russia vibovu 🤣🤣🤣
Wala usijichoshe ... Wananunua Kwa KWACHA..... Ruble inapanda thamani sababu wamepandisha kwenye rocket na kuitupa kituo Cha anga. Lazima ipae ... Maana economic principals hamtaki kuzielewa ,monetary policies hamtaki kuzielewa .....tuongee tu sasa kikahawakahawa.... Oyaaa lete jagi la chai ya tangawizi na kashata sinia.Muwege mnafanya research...
Hakuna nchi ya Ulaya inayo nunua Mafuta kwa Rubble, pia India anunua 1% tu ya Mafuta kutoka Russia Licha ya discount na 10% kutoka USA so technically ananunua 99% ya Mafuta yake kwa USD
SI hawana chakula Hawa, hawana risasi , hawana silaha, hawana madawa ... Wanapiganaje sasa mkuuNdugu yangu.DAY 3 tangu OP part 2 ianze.
Research ipi au wewe kuna research ushafanya zaidi ya hii 👇👇👇
Huyo waziri kaongea kwa data,hii habari imepostiwa 12 April 22.
Oooh!! Tunashukuru kwa taarifa nyeti sana hii. Ndio uzuri wa JF yaani wadau wote wamo humu. Sikujua kama Tupo na operate wa Pentagon humuKwa hii vita imefungua wengi urusi ipo uchi kwa sasa, kinachofanyika ni kuspot silaha zake zipo wapi moja baada ya moja zile za maangamizi, vituo cha kijeshi vya anga bahari na nchi kavu time shall tell.
Ila hii nchi ina wajinga wengi sana nawe unaweza kuwa Mmoja wao, ila ndio demokrasia.... Hiviii unaweza kulinganisha thamani ya hiyo meli na uharibifu uliofanyika Ukraine!!?? Ukiweza kufanya hilo ndugu ..wahi chumba Chako pale gereji ya akili Milembe.