Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Yani kumbe hizi ships hazina air defense system ama hazifanyi kazi. Hii ni aibu kubwa sana
Yani kumbe hizi ships hazina air defense system ama hazifanyi kazi. Hii ni aibu kubwa sana
Ndio hata kama imezama ......lakini ukweli unabaki kuwa ukweli .tu ....meli iliungua moto after launch missiles ....wacheni kupotosha hapa ....But meli imezama au hukubali na hili?
Kwani we unaonaje ganga zombiLengo ni lipi ndugu zangu warusi
Denazified? Au kurudisha USSR
[EMOJI23] [EMOJI23] [EMOJI23] wacha kulia basi.Ndio hata kama imezama ......lakini ukweli unabaki kuwa ukweli .tu ....meli iliungua moto after launch missiles ....wacheni kupotosha hapa ....
Tufanyeje sasa sisi warusi wa Holoholo.... Ni mwendo wa manati , fimbo, kombeo, ngumi ,VICHWA,mawashi sana sometime silaha yetu mbio tunakimbia sa aaa .... Lakini nashangaaa majengo yanalipuka tu sasa sielewi wanaopiga ni kina nani ... Silaha Ukraine wanaletewa na machakula juu ... Daaah Mungu anatupigania warusi wa Tandahimba.Hawana chakula? Hawana risasi wala silaha? Wametoka Urusi bila basic needs za kivita?
Sijashangaa nimejibu hivi ili nijibiwe hili ulilonijibu halafu niulize huwa mnataka kubishana tu na yoyote asiyesapoti OP ya Urusi kwa kuwaonganisha wote pamoja au huwa mnabishana kwa maoni aliyotoa mtu mmoja mmoja asiyesapoti OP ya Urusi?[emoji3][emoji3]unashangaa shangaa nini si ndo kauli zenu nyie akina pro nato au unajisahaulisha et bwa Tsh
Naona wewe umekimbia swali langu ila kuna mwenzako kanijibu😀😀😀Tufanyeje sasa sisi warusi wa Holoholo.... Ni mwendo wa manati , fimbo, kombeo, ngumi ,VICHWA,mawashi sana sometime silaha yetu mbio tunakimbia sa aaa .... Lakini nashangaaa majengo yanalipuka tu sasa sielewi wanaopiga ni kina nani ... Silaha Ukraine wanaletewa na machakula juu ... Daaah Mungu anatupigania warusi wa Tandahimba.
Hilo neno vichaa linakera kidogo halina tafsida chunga kinywa chako sisi wenyewe tunamaneno na kukarahisha roho[emoji23][emoji23][emoji23] kama wanaaga maiti [emoji16][emoji16][emoji16] .
Pro[emoji635][emoji635][emoji635] wote wa humu ni vichaa kama mzee wao Putin[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 sisi tunalia wapi !!!!?Sasa watu HATUNA chakula, HATUNA silaha, tumeishiwa risasi, HATUNA madawa ... Tufanyeje !!? mtupige tu Wayukraine ..tupigeni .... Lakini shinda mnatupiga mnalia ninyi mna matatizo Gani ndugu .....
Bora wewe....Sijashangaa nimejibu hivi ili nijibiwe hili ulilonijibu halafu niulize huwa mnataka kubishana tu na yoyote asiyesapoti OP ya Urusi kwa kuwaonganisha wote pamoja au huwa mnabishana kwa maoni aliyotoa mtu mmoja mmoja asiyesapoti OP ya Urusi?
Tuambizane maana humu tunaingia nyakati tofauti na sijui ambaye hakubaliani na OP ya Urusi kama mm amepost nini na alichopost ni sahihi au si sahihi.
Sasa nataka kufahamu iwapo ukitukanwa na asiyesapoti OP ya Urusi basi hitimisho lako ni kuwa wote wasiosapoti OP ya Urusi wamekutukana.
Kwa hiyo wewe ndio huyo Neema kwenye avatar yako SI ndio.... Hongera chezaji la Brazil chezaji la dunia la thamani linaloshinda jf .... Ndio ujione ulivyo na akili ndogo😂😂😂😂 sisi tunalia wapi !!!!?
Sisi hatuna stress zozote 👊👊👊👊jiangalie kwenye avatar yako . na hiyo sura yako sasa!!!!!😂😂😂😂
Pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺 unalilia nini????🏃🏃🏃🏃