Wamba wa Pro Russia bado wanaamini Russia anaweza Kupigana na Poland, Finland, Sweden, UK, France na USAMoskova ndio chombo muhimu/flagship ya jeshi la Urusi. Hili ni pigo kubwa ambalo linazidi kuyumbisha misguided "adventure" ya mchizi Putin Ukraine.
Unaumia ukiwa wapiiFake News
Sawa mkuu ila sikubaliani na anachofanya puttin. Natamani Urusi ajifunze kuheshimu mipaka ya nchi bila kujali uwezo wa kijeshi wa hiyo nchi.Bora wewe....
Tazama lugha yako halafu ndio uulize tena ...Kuna kuzama na kuzamishwa sasa kama huwezi kutofautisha hivyo vitu basi tafuta wenye uwezo wako kiakili mjadiliane. Pita hiviii ...ukiweza kutofautisha karibuBut meli imezama au hukubali na hili?
🙏🙏🙏🙏 mkuuKwa hiyo wewe ndio huyo Neema kwenye avatar yako SI ndio.... Hongera chezaji la Brazil chezaji la dunia la thamani linaloshinda jf .... Ndio ujione ulivyo na akili ndogo
[emoji23][emoji23][emoji23] umeiona ngalawa yenu huko ? Wanasema imepiga kombola ikazama [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekwambia ukishindwa kuleta ushahidi usiniquote...Sawa basi meli ya Urussi haijapigwa [EMOJI23] ni propaganda ausio??
😂😂😂 haya tueleze mtumbwi umezamaje 😁😁😁😁Hakuna kitu kama iko, acha kuchekacheka mtoto wa kiume kumbuka wewe.
😂😂😂 atakwambia ngalawa ilikuwa inavua🐟🐟🐟🐟🐟Ni nothing kwa Russia!!!! Sasa kilifata nini baharini???
Mtaalamu, hii ni meli ya Pili kwa Ukubwa inazamishwa na Ukraine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua Gharama yake?
Nenda katafute video,sio kubwabwaja hapa!Kwamba wewe ndo wajua sana, au we ndo ulikuwa chamber
Raha sana kumcheka mtu mjingaKombora gani wametumia kuizamisha hio meli?? Unajua Russia anamiliki meli vita ngapi?
Pro NATO mnatabia ya kujichekesha chekesha kwenye replies mda shiga gani?? huwezi weka hoja yako bila emoji za kucheka?. Ushoga huu.
😂😂😂 atajulia wapi Huyo m🇷🇺🇷🇺 wa matombo !!!!?😛😛😛Mtaalamu, hii ni meli ya Pili kwa Ukubwa inazamishwa na Ukraine 🤣🤣🤣🤣
Unajua Gharama yake?
Mwenzangu nani .... Ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu. Ni wewe Hapo umekata kuunganishwa na wengine ambao wapo against Urusi ..ila na wewe unafanya upuuzi huohuo .... Nikikuita mpuuzi na mjinga naafikiri ntakuwa sahihi ... Unakataaa kufanyiwa kitu ambacho wewe mwenyewe unakifanya Kwa wengine hujio I ulivyo mpumbavu!!?? Uzuri unavyokula ndio ntavyokujibu ukija kistaarabu ntakujibu kistaarabu ...ukija kihuni piaNaona wewe umekimbia swali langu ila kuna mwenzako kanijibu😀😀😀