Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kombora gani wametumia kuizamisha hio meli?? Unajua Russia anamiliki meli vita ngapi?

Pro NATO mnatabia ya kujichekesha chekesha kwenye replies mda shiga gani?? huwezi weka hoja yako bila emoji za kucheka?. Ushoga huu.
Ukrainian officials claimed that shore-based anti-ship guided missiles hit Moskva which had been operating from the Black Sea Fleet’s headquarters in Sevastopol, Crimea.

“It has been confirmed that the missile cruiser Moskva today went exactly where it was sent by our border guards on Snake Island!” Odesa governor Maksym Marchenko said in a Telegram message on Tuesday.

“Neptune missiles guarding the Black Sea caused very serious damage to the Russian ship.”

Neptunes, first fielded in 2021, are based on the Soviet AS-20 ‘Kayak’anti-ship missile which is similar to the U.S.-built Harpoon missile.

Moskva was commissioned into the Soviet Navy in 1982 and is one of three Slava-class guided-missile cruisers.

The three 11,500-ton Slavas were designed around launchers that can hold 16 SS-N-12 Sandbox anti-ship cruise missiles – each about the size of a telephone pole. Developed in the 1970s, the Slavas and the Sandboxes were designed to take on U.S. and NATO aircraft carriers by overwhelming them with a barrage of high-speed cruise missiles to sink ships.

The two other Slavas are RTS Marshal Ustinov (055) and RFS Varyag (011) have been operating in the Mediterranian.

Moskva is not the first Russian warship to be damaged in the nearly 50-day invasion of Ukraine. A landing ship sank off the port of Ukrainian city Berdiansk after being attacked by Ukrainian forces, USNI News previously reported.

The ship’s fire ultimately damaged a merchant ship at port in Berdiansk, causing damage.
15267115_screenshot20220414081134_jpeg7ba941e0ac2139eac2f99c648c1e2613.jpeg
15267206_screenshot20220414083255_jpeg651f673d9ea2544a89c42eca3c3a43f4.jpeg
15267209_screenshot20220414083541_jpeg0d1094554936655501656e7aa5162af9.jpeg
15267277_screenshot20220414084850_jpegf43f16f012951ecf67eb13a284851cbd.jpeg
 
🙏🙏🙏🙏 mkuu
😂😂😂 umepata taarifa kuhusu ile ngalawa yenu? Pro🇷🇺🇷🇺 vichaa wenzio wanasema imerusha kombola then ikazama .🤔🤔🤔🤔
Nimekusikia Kichaa mwenzangu.... Mwenye sifa ya ziada ya kupelekewa moto mkyundyuni.
 
Russia has lost their biggest Warship on the Black Sea to a country (Ukraine) that doesn't have a Navy.

The Russian warship has sunk to the bottom of the sea and automatically becomes a submarine

Zelensky the comedian is really giving Putin nightmares

The missile used were Ukrainian made Neptune anti ship missiles, the US, UK and NATO made anti cruise missiles are even still yet to be handed over to Ukraine, Russia is in for a long costly and bleeding war.
 
Kombora gani wametumia kuizamisha hio meli?? Unajua Russia anamiliki meli vita ngapi?

Pro NATO mnatabia ya kujichekesha chekesha kwenye replies mda shiga gani?? huwezi weka hoja yako bila emoji za kucheka?. Ushoga huu.
Mradi imezama,..HATA KAMA NI MSUMARI ULITOBOA....
 
Mwenzangu nani .... Ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu. Ni wewe Hapo umekata kuunganishwa na wengine ambao wapo against Urusi ..ila na wewe unafanya upuuzi huohuo .... Nikikuita mpuuzi na mjinga naafikiri ntakuwa sahihi ... Unakataaa kufanyiwa kitu ambacho wewe mwenyewe unakifanya Kwa wengine hujio I ulivyo mpumbavu!!?? Uzuri unavyokula ndio ntavyokujibu ukija kistaarabu ntakujibu kistaarabu ...ukija kihuni piaView attachment 2187016
Mwenzako bibingi. Au ndio wewe na Id mbili? Maana naona wewe unaitwa mtoto wa Inzi. Halafu sijakataa kuunganishwa na wenzangu. Soma uelewe boss.
 
Kombora gani wametumia kuizamisha hio meli?? Unajua Russia anamiliki meli vita ngapi?

Pro NATO mnatabia ya kujichekesha chekesha kwenye replies mda shiga gani?? huwezi weka hoja yako bila emoji za kucheka?. Ushoga huu.
😂😂😂 pro🇷🇺🇷🇺 mbona povu kubwa .🤔🤔🤔 sasa ona maswali yote hayo mtu akujibu lipi na aache lipi😁😁😁😁.
Nakushauri punguza jazba . mbna sisi tuna comment tukiwa tume relax 😂😂😂😂. Wanapigana wazungu huko wewe unatokwa povu 👊👊👊👊
 
Sawa mkuu ila sikubaliani na anachofanya puttin. Natamani Urusi ajifunze kuheshimu mipaka ya nchi bila kujali uwezo wa kijeshi wa hiyo nchi.

Hivi China ikitaka kujiunga NATO Urusi itaivamia? Puttin ameonyesha kuwa ana tabia za kuwa bully kwa nchi dhaifu kijeshi.

Hii itasababisha nchi dhaifu kijeshi zilizo jirani kutamani kujilinda naye kwa kutaka ushirikiano na nchi nyingine au umoja wa nchi nyingine.
Shida nikwamba haya mambo munayaongelea kishabiki zaidi nahapa ndio watu tunapokosana nakuigeuza hii mada kua yamahaba
US yupo pale SYRIA tokea 2011 mpaka leo hii anaua nakupora watu mali zao mbna hatuoni ama hatujawahi ona hizi reaction tunazoziona RUSSIA
Sio kwamba RUSSIA anatakiwa ama anahaki kuliko US hapana ila wakati tunakosoa uvamizi wa RUSSIA unaoendelea pala KIEV tusiache kukosoa uvamizi wa US pale SYRIA
Kuhusiana na UCHINA na NATO hapo jirani yake RUSSIA kuna watu walijoin NATO na jamaa hakuwafanya jambo akawaangalia tuu UCHINA kama atakua tishio lakimkakati kwa RUSSIA ikitokea atajiunga na NATO tutaona tu watanyooshana
Pia sio NATO tu ishu kubwa iliopelekea hii OP nizile maabara zakibios hapo KIEV ila watu kama hawalioni hili
Ila kama tunataka kusimama kuulaani OP ya MOSCOW lazima tuzijumuishe na US kwayanayoendelea kule SYRIA la sivyo tutakua wanafiq ama tutakua waongo kuutetea upande mmoja kua mbaya na mwengine kua mzuri
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Umeanza kufunguka akili, kuvamia Ukraine ni makosa kama kuvamia Syria
 
Umeanza kufunguka akili, kuvamia Ukraine ni makosa kama kuvamia Syria
Ila reaction ya SYRIA hatuioni kama tunayoiona UKRAINE
Kuanzia kwenye media mpaka hapa kwenye forum!!!
Uvamizi unabakia kua uvamizi tu unatakiwa upingwe kwa wote kwanguvu sawa
Sio akivamia US anapigiwa makofi akivamia RUSSIA kelele
The same react zingekua kwamataifa yote vamiwa tusingeshuhudia uvamizi wanchi moja kwanyengine
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120] asante ndugu mzazi . kumbe aisee mwanao huyu amefuata akili ya baba yake . maana ni kiazi balaa[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Like father like son .

Kama mwalimu ndo akili kama zako hizi bhs kuna haja ya serikali kufanya research kwa hawa walimu wa shule za msingi wanaowaajili.

Mwanangu hawezi kufundishwa na mwalimu mwenye akili kama zako. Hili swali uliuliza lakingesele sana mpaka leo hujajibiwa, mwalimu gani unauliza swali la kijinga kama hili yani mtoto mdogo kakupiga swali ukaja kuomba majibu jf.

Mpaka sasa faham wewe ni zero brain huna uelewa wa mambo upo kubishana na sio kujifunza. Nakuomba usiwafundishe watoto hizi rangi [emoji2380]
IMG_2432.jpg

Ticha wa mchongo, vipi unafundisha shule gani ??
 
Kama mwalimu ndo akili kama zako hizi bhs kuna haja ya serikali kufanya research kwa hawa walimu wa shule za msingi wanaowaajili.

Mwanangu hawezi kufundishwa na mwalimu mwenye akili kama zako. Hili swali uliuliza lakingesele sana mpaka leo hujajibiwa, mwalimu gani unauliza swali la kijinga kama hili yani mtoto mdogo kakupiga swali ukaja kuomba majibu jf.

Mpaka sasa faham wewe ni zero brain huna uelewa wa mambo upo kubishana na sio kujifunza. Nakuomba usiwafundishe watoto hizi rangi [emoji2380] View attachment 2187102

Ticha wa mchongo, vipi unafundisha shule gani ??
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]duhh umeamua kumuanika humu..[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom