Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hilo neno vichaa linakera kidogo halina tafsida chunga kinywa chako sisi wenyewe tunamaneno na kukarahisha roho
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huu mwaka wenu proπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί.
Mnaanzisha matusi na kupeana likes kibao . nyinyi mkijibiwa kidogo πŸ‘ŠπŸ‘Š.
By the way kichaa sio tusi πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
🚢🚢🚢🚢🚢
 
Hiyo meli imeungua wakati wa kulaunch missile,msiwe mnadakia tu vijihabari na kuleta hapa!Video ipo kabisa imeachiwa na Russia ikionesha namna meli hiyo ilivyoshika moto!
haya basi tuseme haijalipuliwa na πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu Nyamizi njoo uone ngalawa ya πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί imerusha kombola then imezama yenyewe .
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ chuma cha MRUSIπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pro Russia niwakumbushe Hii meli iliyozama ni moja ya meli muhimu sana kwenye hii vita
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hamna meli hapo mkuu . huo ni mtumbwi uliochangamka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Moskova ndio chombo muhimu/flagship ya jeshi la Urusi. Hili ni pigo kubwa ambalo linazidi kuyumbisha misguided "adventure" ya mchizi Putin Ukraine.
 
Moskova ndio chombo muhimu/flagship ya jeshi la Urusi. Hili ni pigo kubwa ambalo linazidi kuyumbisha misguided "adventure" ya mchizi Putin Ukraine.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kamtumbwi kamezama πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Back
Top Bottom