Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

AKILIzako umezishusha chini kwenye kisigino
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ asante Dada ntazipandisha πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š, lakini ntaziweka Nyuma kwako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Muwege mnafanya research...
Hakuna nchi ya Ulaya inayo nunua Mafuta kwa Rubble, pia India anunua 1% tu ya Mafuta kutoka Russia Licha ya discount na 10% kutoka USA so technically ananunua 99% ya Mafuta yake kwa USD
Research ipi au wewe kuna research ushafanya zaidi ya hii πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Huyo waziri kaongea kwa data,hii habari imepostiwa 12 April 22.
 
Pro Russia mnajua Gharama ya Hii meli?, Russia wamepata Hasara sana

Screenshot_20220414-093401~2.jpg
 
Kwa hii vita imefungua wengi urusi ipo uchi kwa sasa, kinachofanyika ni kuspot silaha zake zipo wapi moja baada ya moja zile za maangamizi, vituo cha kijeshi vya anga bahari na nchi kavu time shall tell.
Usiku ushaingia kakojoe ulale huko ...usisahau na kuweka lile kopo la mkojo hapo getoni
 
Research ipi au wewe kuna research ushafanya zaidi ya hii πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Huyo waziri kaongea kwa data.

Sasa hujasikia alichoongea au hujui English?

Amemaanisha kiwango cha Mafuta wanacho nunua Kutoka Russia ni kidogo kuliko Ulaya wanavofanya... Europe wanategemea 40% wakati India wanategemea 1% tu
 
Nithibitishe nini wakati Putin kishasema no ruble no oil anda gas.

Na ushahidi huu hapo wa hiko kikao waziri wa mambo ya nje akiwapa ukweli Europe, sasa unataka nini, kama unabisha bisha ila ukweli US na Europe bado wananunua mafuta na gas Russia kwa ruble.


Kwahio Putin akisema dunia iko flat pia utaamini. Putin aliruhusu EU kulipa kwa dollar/Euros kwa benki yake ya gazprom. 40% ya revenue ya Urussi inatoka kwa mafuta ambayo wateja wakubwa ni EU.

Kwahio bila EU warussi watalala njaa, watakosa madawa, watakunya nje, watakosa masomo N.K Putin hawezi zingua kwa EU
 
[emoji23][emoji23][emoji23] asante Dada ntazipandisha [emoji109][emoji109][emoji109], lakini ntaziweka Nyuma kwako [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji3][emoji3]...

Rudi huku [emoji116][emoji116][emoji116] ndo panakufaa ...
IMG_20220414_095516.jpg
 
Kwahio Putin akisema dunia iko flat pia utaamini. Putin aliruhusu EU kulipa kwa dollar/Euros kwa benki yake ya gazprom. 40% ya revenue ya Urussi inatoka kwa mafuta ambayo wateja wakubwa ni EU.

Kwahio bila EU warussi watalala njaa, watakosa madawa, watakunya nje, watakosa masomo N.K Putin hawezi zingua kwa EU
Hakuna nchi ya Ulaya inayonunua mafuta kwa Rubble, Hii inatakiwa in note
 
Sasa hujasikia alichoongea au hujui English?

Amemaanisha kiwango cha Mafuta wanacho nunua Kutoka Russia ni kidogo kuliko Ulaya wanavofanya... Europe wanategemea 40% wakati India wanategemea 1% tu
Amesema less than Europe ila sio percent hizo ulizo kuja nazo ww.halafu kama hujui ndani ya wiki moja US kafanya vikao viwili na India cha kwaza na waziri mkuu na cha pili na waziri wa mambo ya nje.
Kwahio Putin akisema dunia iko flat pia utaamini. Putin aliruhusu EU kulipa kwa dollar/Euros kwa benki yake ya gazprom. 40% ya revenue ya Urussi inatoka kwa mafuta ambayo wateja wakubwa ni EU.

Kwahio bila EU warussi watalala njaa, watakosa madawa, watakunya nje, watakosa masomo N.K Putin hawezi zingua kwa EU
"As per the report, out of 80 per cent of India's oil imports, 2 to 3 per cent account from Russia currently. However, with soaring oil prices, India is planning to increase its oil imports from Russia."

Source Outlook India, na ndio maana ndani wiki US kishafanya vikao viwili na waziri mkuu na waziri wa mambo ya nje kwamba wapunguze au waachane na mafuta ya india na Russia kampa offer 35$ kwa pipa.
Screenshot_20220414-095408_Chrome.jpg

Sasa jiulize kama India hana impact why, US anamlazimisha kuchagua upande na kuachana na mafuta ya Russia.
 
Kwahio Putin akisema dunia iko flat pia utaamini. Putin aliruhusu EU kulipa kwa dollar/Euros kwa benki yake ya gazprom. 40% ya revenue ya Urussi inatoka kwa mafuta ambayo wateja wakubwa ni EU.

Kwahio bila EU warussi watalala njaa, watakosa madawa, watakunya nje, watakosa masomo N.K Putin hawezi zingua kwa EU
Ambayo mpaka sasa anaagiza kutoka Russia kwa Ruble.
 
Hiyo meli imeungua wakati wa kulaunch missile,msiwe mnadakia tu vijihabari na kuleta hapa!Video ipo kabisa imeachiwa na Russia ikionesha namna meli hiyo ilivyoshika moto!
🀣🀣🀣 Mnajua Kiingereza kweli basi hata Kirussia

Meli imelipuka baada ya milipuko ndani yake kulipuka kutokana na Makombora ya Ukraine.

Basi tufanye imelipuka yenyewe na Kuzama 🀣🀣🀣🀣, so Russia itarudisha au?
 
Back
Top Bottom