Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Amesema less than Europe ila sio percent hizo ulizo kuja nazo ww.halafu kama hujui ndani ya wiki moja US kafanya vikao viwili na India cha kwaza na waziri mkuu na cha pili na waziri wa mambo ya nje.

"As per the report, out of 80 per cent of India's oil imports, 2 to 3 per cent account from Russia currently. However, with soaring oil prices, India is planning to increase its oil imports from Russia."

Source Outlook India, na ndio maana ndani wiki US kishafanya vikao viwili na waziri mkuu na waziri wa mambo ya nje kwamba wapunguze au waachane na mafuta ya india na Russia kampa offer 35$ kwa pipa.
View attachment 2186871
Sasa jiulize kama India hana impact why, US anamlazimisha kuchagua upande na kuachana na mafuta ya Russia.
Sasa mtu ambaye mnatrade at 10% na 2% nani muhimu?

also the other 80% wanatumia USD sasa nani hapa ana impact kubwa 🤣 🤣 🤣 , what USA want ni India kuacha kabisa kununua Mafuta Russia, na hili Waziri wa Mambo ya Nje wa India amesema watapunguza Ununuzi wa Mafuta ya Russia
 
Sasa mtu ambaye mnatrade at 10% na 2% nani muhimu?

also the other 80% wanatumia USD sasa nani hapa ana impact kubwa 🤣 🤣 🤣 , what USA want ni India kuacha kabisa kununua Mafuta Russia, na hili Waziri wa Mambo ya Nje wa India amesema watapunguza Ununuzi wa Mafuta ya Russia
Nimekuuliza why US ndani ya wiki kishafanya vikao viwili na kiongozi mkuu wa India na pamoja na waziri wa mambo ya nje?

"As per the report, out of 80 per cent of India's oil imports, 2 to 3 per cent account from Russia currently. However, with soaring oil prices, India is planning to increase its oil imports from Russia."

Hiyo paragraph na ukaielewa kweli.............India is planning to increase its oil imports from Russia,ume uelewa huu mstari.
 
Ukraine launched two Neptune anti-ship cruise missiles at Russia’s missile cruiser “Moskva” in the Black Sea, causing serious damage, the head of Odesa’s regional administration said on Telegram.


Russia’s defence ministry has confirmed the ship was “seriously damaged” and the crew completely evacuated “as a result of detonation of ammunition caused by fire”, its state agency TASS reports. The ministry said the cause of the fire was being determined.


Moskva is the flagship of the Black Sea Fleet, reportedly leading the naval assault on Ukraine.
 
Hakuna nchi Inayonunua mafuta kwa Rubble, Kama una ushahidi wowote kuwa France or Germany walifungiwa Mafuta na Gas na Russia baada ya Kugoma itakuwa vizuri kushare
Ushahidi upi wakati mwenye rasilimali yake kishasema no ruble no gas.
 

Refer hilo neno hypocrisy, India hataki unafiki unataka kuwazuia wenzako wasinunue wakati ww unanunua kutoka Russia.
Mbona kaeleza vizuri tu jamaa lakini sijasikia mahali paliposemwa kwamba EU wananunua mafuta kwa ruble. India na Russia wana makubaliano ya kufanya biashara ikiwemo ya nishati Kwa kutumia shilingi zao na hili sio jipya hata China pia na Russia hua wanafanya hivyo. Lakini pia India inanunua mafuta Urusi Kwa kiasi kidogo Sana Chini ya 5% ya mafuta yake ndo yanatoka Urusi.
 
Mbona kaeleza vizuri tu jamaa lakini sijasikia mahali paliposemwa kwamba EU wananunua mafuta kwa ruble. India na Russia wana makubaliano ya kufanya biashara ikiwemo ya nishati Kwa kutumia shilingi zao na hili sio jipya hata China pia na Russia hua wanafanya hivyo. Lakini pia India inanunua mafuta Urusi Kwa kiasi kidogo Sana Chini ya 5% ya mafuta yake ndo yanatoka Urusi.
chini ya 5% unaweza kusema ni 4% ni 1% - 2%
 
Mbona kaeleza vizuri tu jamaa lakini sijasikia mahali paliposemwa kwamba EU wananunua mafuta kwa ruble. India na Russia wana makubaliano ya kufanya biashara ikiwemo ya nishati Kwa kutumia shilingi zao na hili sio jipya hata China pia na Russia hua wanafanya hivyo. Lakini pia India inanunua mafuta Urusi Kwa kiasi kidogo Sana Chini ya 5% ya mafuta yake ndo yanatoka Urusi.
Kwani Putin alisemaje, kwa nchi adui wa Russia na ndio maana hapo likatumika neno hypocrisy, kwamba India kakataa unafiki wa Europe sababu mpaka sasa EU na US wananunua mafuta.

India sasa hivi ana mpango wa kuongeza kununua mafuta kutoka Russia baada ya Russia kumpa offer ya 35$ kwa pipa na ndio maana ndani ya wiki hizi mbili US kishafanya vikao viwili na viongozi wa India (Waziri mkuu na waziri wa mambo ya nje) kuwaomba wasinunue mafuta ya Russia.
Screenshot_20220414-095408_Chrome.jpg
 
Ambayo mpaka sasa anaagiza kutoka Russia kwa Ruble.
Mr joseph1989 hifadhi "energy" hiyo... achana na hizi morons zitakuchosha tu bure...

Chagua wa kuzungumza nao hum ndani.. Not everyone is worth of your time. Utaelezea kadri uwezavyo na mwisho wataishia kukuita "kichaa" kwasabab huokoti "makopo" kama wao...

Ni vizuri kuelimisha kwa aliye na haja ya kutaka kujifunza... But how could you educate some1 ambae ana ona hujui kwasabab hufanani na ule "uchafu" aliohifadh kichwani????

Em be smart enough to Ignore them...
 
🤣🤣🤣 Mnajua Kiingereza kweli basi hata Kirussia

Meli imelipuka baada ya milipuko ndani yake kulipuka kutokana na Makombora ya Ukraine.

Basi tufanye imelipuka yenyewe na Kuzama 🤣🤣🤣🤣, so Russia itarudisha au?
Acha kujichekesha hapa,video inaonesha kabisa kombora likiruka kutoka kwenye meli na hapo hapo mlipuko ukatokea!Video haioneshi missile yoyote ikiipiga hiyo meli!
Nimetaka tu kukurekebisha Ili usipotoshe!
 
The method of extracting gas in the US is harmful to the environment, and the supply of US fuel to the EU may lead to additional economic costs.

This was stated by the MEP from Portugal Sandra Pereira.

In an appeal to the EC, which RT got acquainted with, she asked for more details about the terms of the agreement on the supply of liquefied natural gas (LNG) from the United States to Europe.

Politics is interested in how the total volume of American gas will be distributed among the EU member countries, how much this fuel will be more expensive than Russian and who will pay the difference in price.

Another question concerns potential environmental impacts, including additional indirect greenhouse gas emissions from LNG production.
Galip SV
20220413_132729.png
 
Top news for the day:

- on the missile cruiser "Moskva" as a result of a fire, an explosion of ammunition occurred, the crew of the ship was evacuated. The ship was seriously damaged, the Russian Defense Ministry said;

— Clinical trials of a coronavirus drug based on monoclonal antibodies will begin in Russia on April 18. This was stated by the director of the Research Center for Epidemiology and Microbiology named after Gamaleya Gintsburg;

- Psaki noted that Biden's anti-Russian rhetoric will not affect the negotiations between Russia and Ukraine.
Galip SV
20220413_132729.png
 
Sweden na Finland kuanza mchakato wakujiunga na NATO. Tayari wameona kwamba njia ya kuzuia uvamizi wa Urussi ni kujiunga na NATO na wakati mwafaka ndo huu.

Wakati ni sasa kwa sababu Urussi hawezi fungua war front nyingine kwa sababu ameelekeza nguvu zote Ukraine. Imembidi mpaka aajiri wanajeshi wapya 60k chini ya mwezi na kuwaita waliostaafu.


Sasa swali langu ni je, ikiwa urussi ni jirani mzuri mbona ameshindwa kuwashawishi kupitia diplomasia Nchi kama Ukraine, Finland, Poland,Sweden N.K kuwa upande wake. Jibu ni kwamba hawajui diplomasia.

Ingekua wanajua diplomasia wasingefukuzwa G7, G20, human rights council, mashindano ya Michezo N.K alafu anatokea pimbi anakwambia Sergei lavrov anajua diplomasia.

Wito wangu kwa NATO ni waifanye kua rahisi na haraka kwa mataifa kuingia katika hicho chama. Huo mchakato uwe mfupi kabisa ndo Putin atakosaa wakuvamia.



The meeting in Stockholm comes less than two months after Russia's invasion of Ukraine, which has altered the regional security picture in Scandinavia.



Finland's Prime Minister Sanna Marin and Swedish Prime Minister Magdalena Andersson are meeting in Stockholm on Wednesday to discuss regional security matters in the aftermath of Russia's invasion of Ukraine .



On Wednesday, Finland will begin a debate that could see it putting forth an application to join the NATO military alliance that it already cooperates with.



Moscow has already expressed its disapproval. In fellow non-NATO member state Sweden, Russia's war against its neighbor Ukraine has also provoked anxiety, as well as a political about face on the country's question of military non-alignment.



Russia has repeatedly said NATO expansion is a thorn in its side, while NATO maintains the alliance is defensive in nature.
Ukisikia NATO. Ni kundi la nchi za ulaya pamoja na Marekani ambazo zimejipanga kiuchumi na kijeshi kupambana na Russia
Vitu vingine vya ajab kweli, Hawa wadau sijui wata'fake hadi lini... Ukraine hakuna Vice President... Ni just President pekee. View attachment 2186837 Front line af make up kama zote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah
Frontline gani unakuwa na tabasamu kama hivyo. Labda anapigana imstagram.
 
The American company Monotype (the owner of the rights to the fonts Times New Roman, Arial, Verdana, etc.) blocked Russian users from accessing their electronic library.

When a user from Russia tries to open a catalog of fonts, a message is displayed on the site saying that access is denied, but if VPN is enabled, the page opens.

Officially, the company did not announce the closure of access to fonts for Russians.
20220413_132729.png
 
Back
Top Bottom