Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The Ministry of Emergency Situations of the Russian Federation delivered more than 700 tons of humanitarian aid to the residents of Donbass and Ukraine.

This was reported in the department to RIA Novosti, specifying that we are talking about 14 convoys of 79 heavy vehicles.

The cargo included bottled water, baby food, essentials and building materials.

Points of issue of humanitarian aid work daily.
Galip S-22
20220413_132729.png
 
Inflation in the UK is the highest in 30 years: both business and ordinary people are suffering, and the prices of almost everything are rising faster than in a whole generation.

Sky News writes about it. The journalists of the TV channel talked to farmers from Cambridgeshire who grow potatoes for chips of their own brand.

They note that prices for fertilizers have doubled, and vegetable oil has risen in price even more:

“The 80% of the vegetable oil that we normally use – and at the moment we still use it, but we will have to switch to rapeseed oil – nevertheless, 80% comes from Ukraine and Russia. And since nothing is being received at the moment, the question here is not even how much it costs in our country, but that it simply cannot be obtained.”

In the meantime, the Bank of England warned that inflation, currently at 7%, could rise to 10% (the price cap set by the bank is 2%).
Galip S-22
20220413_132729.png
 
The boy, who was wounded in the head as a result of the shelling of the Bryansk village of Klimovo, was transferred to Moscow for treatment.

Alexei Kuznetsov, Assistant to the Head of the Ministry of Health of the Russian Federation, told reporters about this.

“He is being treated at the Russian Children’s Clinical Hospital of the Russian Ministry of Health,” Kuznetsov said, adding that the child was born in 2020.

As the governor of the Bryansk region Alexander Bogomaz previously told RT, about 100 houses were damaged as a result of the impact of Ukrainian helicopters, seven people were injured: four were injured of moderate severity, two more were in serious condition
20220413_132729.png
 
Leo hakuna kazi tunapumzika na shughuli za kulijenga taifa. Ni kutulia na kinywaji na kufuatilia OP part 2 ya Urusi. Kuna mtu alinieleza juzi humu kuwa tutakula pasaka OP ya Urusi ikiwa haijatimiza malengo. Nyamizi
Sio haijamaliza now Putin kawaita Majenerali wamwambie kuhusu Meli kuzama.. na Meli zote za Russia zimerudi nyuma zaidi ya km 50 kutoka Odessa
 
Leo hakuna kazi tunapumzika na shughuli za kulijenga taifa. Ni kutulia na kinywaji na kufuatilia OP part 2 ya Urusi. Kuna mtu alinieleza juzi humu kuwa tutakula pasaka OP ya Urusi ikiwa haijatimiza malengo. Nyamizi
Walikuwa hawaamini kabisa kabisa, mimi mwenyewe nilikwepa kusema Pasaka inafika Urusi hawajaambulia kitu sasa ona leo hii hata hiyo Kyiv washaachana nayo kwanza. Niliachana nao baada ya kuona ni team lialia hawana hoja.

Sasa flagship yao ya Black sea imezama. Mwanzo walisema imewaka moto kwa mlipuko mdogo wa ammo. Tangu lini warship ikawaka moto wakafanya evacuation ya crew badala ya crew kuzima moto?

Baadae wakasema iko towed kuelekea base, Ukraine ikasema meli imeelemea upande.
Baadae wanasema eti imezama kwa dhoruba. Meli mahsusi ya kivita yenye tani 11,000 inazama kwa dhoruba?

Hii vita inaendelea kunifanya nielewe context ya wanachofanya Marekani kwenye arms design na wanakuwa sahihi. Marekani wanatumia loader kwenye MBT zao ili ammunition waifiche kwenye ballistic doors kuepuka mlipuko wake kifaru kikipigwa. Russia wana autoloader ambayo inalazimisha ammo iwe kwenye ring, ndio vifaru vyote ukiona vimepigwa unakuta turret imeruka mita kadhaa pembeni.

Sasa hii Moskva ilijaza anti ship missiles juu kwenye deck jambo ambalo ukiiotea hata na mlipuko mdogo pale kwenye missile inajilipua yenyewe. Wakati Marekani cruise missiles carrier Ticonderoga class ambazo wanataka retirement huwa zimeficha makombora ndani mashambulizi madogo juu hayaleti hatari.

Russia hawafanyi maintenance vifaru vyao T-72 vingi unakuta vina ERA blocks ila ziko empty sasa sijui wahusika wanaiba hela. Imagine flagship ya Black sea fleet haina effective fire control radars za kuzuia makombora mawili tu ambayo hata sio advanced plus hiyo Bayraktar ambayo Ukraine wanadai walitumia kuwazubaisha. Ilitakiwa iwe na uwezo wa kutrack walau 6 targets simultaneously, sasa kama ni hivi meli za Urusi zikijisogeza wanazipiga salvo na hazisalimiki. Kila siku disappointment
 
Naona westerners wanaendelea kumsimanga Putin Kwa kisa Cha meli yake iliyozamishwa[emoji23]
View attachment 2187863
Sio Westerns wala nini. Mara ya mwisho flagship ya fleet kuzamishwa ni lini? Hata Uingereza ambao meli yao iliyoenda kushambulia Argentina miaka ya 1970s kwenye Falklands war haikuwa flagship na ilizamishwa na Exocet missile zilizonunuliwa Ufaransa that time ni mpya na zinasumbua sokoni
 
Walikuwa hawaamini kabisa kabisa, mimi mwenyewe nilikwepa kusema Pasaka inafika Urusi hawajaambulia kitu sasa ona leo hii hata hiyo Kyiv washaachana nayo kwanza. Niliachana nao baada ya kuona ni team lialia hawana hoja.

Sasa flagship yao ya Black sea imezama. Mwanzo walisema imewaka moto kwa mlipuko mdogo wa ammo. Tangu lini warship ikawaka moto wakafanya evacuation ya crew badala ya crew kuzima moto?

Baadae wakasema iko towed kuelekea base, Ukraine ikasema meli imeelemea upande.
Baadae wanasema eti imezama kwa dhoruba. Meli mahsusi ya kivita yenye tani 11,000 inazama kwa dhoruba?

Hii vita inaendelea kunifanya nielewe context ya wanachofanya Marekani kwenye arms design na wanakuwa sahihi. Marekani wanatumia loader kwenye MBT zao ili ammunition waifiche kwenye ballistic doors kuepuka mlipuko wake kifaru kikipigwa. Russia wana autoloader ambayo inalazimisha ammo iwe kwenye ring, ndio vifaru vyote ukiona vimepigwa unakuta turret imeruka mita kadhaa pembeni.

Sasa hii Moskva ilijaza anti ship missiles juu kwenye deck jambo ambalo ukiiotea hata na mlipuko mdogo pale kwenye missile inajilipua yenyewe. Wakati Marekani cruise missiles carrier Ticonderoga class ambazo wanataka retirement huwa zimeficha makombora ndani mashambulizi madogo juu hayaleti hatari.

Russia hawafanyi maintenance vifaru vyao T-72 vingi unakuta vina ERA blocks ila ziko empty sasa sijui wahusika wanaiba hela. Imagine flagship ya Black sea fleet haina effective fire control radars za kuzuia makombora mawili tu ambayo hata sio advanced plus hiyo Bayraktar ambayo Ukraine wanadai walitumia kuwazubaisha. Ilitakiwa iwe na uwezo wa kutrack walau 6 targets simultaneously, sasa kama ni hivi meli za Urusi zikijisogeza wanazipiga salvo na hazisalimiki. Kila siku disappointment
Mbona hii ilizama?
Screenshot_20220415-082925.jpg
 
Hii meli ni advance kuliko meli zingine za Urusi? Nijibu kilayman tu, hakuna haja ya materminology ya kitaalam boss.
 
View attachment 2187819hii picha ya mwaka 2014 ndo inayadaiwa kuwa ni meli ya urusi. meli ya urusi ilipata matatizo ya kiufundi ndo maana wafanyakaz wake wote walitoka salama ingekuwa imelipuliwa asingetoka mtu mle ha ha h ha ha mashabiki wa ukraine walikuja mbio mbio
Au sio[emoji23]. Nimecheka kama commedy hii. Mnachonifurahisha hamkosi misamiati yenu binafsi, uvamizi wenu mnaita "special military operation to de-nazify Ukraine" na mengine mnatunga maelezo mazuri tu.

Nimesoma somewhere last time cruiser inapigwa na adui ni miaka 40 iliyopita pale ARA General Belgrano ya Argentina ilivyopigwa na British forces
 
Back
Top Bottom