bibingi
JF-Expert Member
- Mar 14, 2022
- 655
- 2,153
[emoji3][emoji3]
[emoji15][emoji15][emoji15]....Mbona hamsogei mnapigana na mwamba PUT IN kwa mgongo wa ukraine ....kama silaha zao zina udhaifu na uwezo wao ni mdogo mbona nato wanapigana INDIRECT ....Narudia tena UWEZO WA RUSSIA UMEJULIKANA AND WHICH TYPE OF WEAPON MAY SUIT HER!,THEIR WEAKNESS HAS BEEN KNOWN.
naona unajikaza kwa maumivu na aibu ya karne mlioipata jana baada ya kuzamishwa flagship yenu[emoji3][emoji3]View attachment 2187676
kabisa MKUU[emoji871]Ingawa sina mamlaka ya kuwapangia cha kuzungumza
bibingi
Mtoto wa nzi
mohamedidrisa789
Econometrician
Champagnee
kt the irreplaceable
Bwana Utam
Aiba
Bome-e
for life
Yamungu Athumani
green rajab
triga
Plz em achaneni na hao watoto ase [emoji23][emoji23][emoji23], kumuelekeza mtu mwisho mara 3 hataki unamwacha na ujinga wake tu.
Kitendo cha kuandika upuuzi kisha mkahit 'qoute' botton kuwareply ni sawa na kuwaongezea airtime waendelee kutiririka ujinga walio nao...
Jibu zuri kwa 'Ignoramus' always huwa "Silence"... Great mind discuss Ideas, Average mind discuss events while small mind discuss people... Sasa wanakuja na hicho kijihabari cha meli mnaingia kwe mazungumzo yao... [emoji848][emoji848][emoji848] Waacheni tu plz wajifurahishe.
Msiwape Airtime hawa watoto uzi ubaki kua informative na sio kijiwe cha mabishano View attachment 2187210
Punguza vi imoji[emoji23][emoji23][emoji23] pro[emoji635][emoji635] mbona povu kubwa .[emoji848][emoji848][emoji848] sasa ona maswali yote hayo mtu akujibu lipi na aache lipi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Nakushauri punguza jazba . mbna sisi tuna comment tukiwa tume relax [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wanapigana wazungu huko wewe unatokwa povu [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
hawajui kwambaWengi wamekata tamaa, walidanganywa kuhusu Russia. Wengine ni watoto kiakili movies za akina Tom Cruise zinawadanganya. I'm pretty sure kuna kitu wanaelewa... ni wa KUWAPUUZA TU.
Urusi wenyewe wamekiri,halafu wewe Mrusi wa Kwedikwazu Handeni unabishaView attachment 2187819hii picha ya mwaka 2014 ndo inayadaiwa kuwa ni meli ya urusi. meli ya urusi ilipata matatizo ya kiufundi ndo maana wafanyakaz wake wote walitoka salama ingekuwa imelipuliwa asingetoka mtu mle ha ha h ha ha mashabiki wa ukraine walikuja mbio mbio