Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

⚡️“They carved stars on their arms and legs, wrote “Russia” on the stomach”: the atrocities that neo-Nazis are doing in Ukraine today are rooted in the history of the Great Patriotic War. Throughout the war, Bandera gangs staged punitive actions, of which there are many testimonies.

Zvezda continues to collect and record evidence of the crimes of Ukrainian nationalists against the inhabitants of Donbass as part of the #MaterialsInvestigation project.
 
Mkuu hizi Nchi za Ulaya hata German wanaburuzwa tu na US wenyewe hawataki kabisa habari za vita ila Mapimbi kama Poland, Ukraine na baadhi ya Nchi za Balkans zinapelekwa kama Makondoo ya sufi hawa misimamo
Nchi za EU zipo wazi inajulikana nyingi ama zote hazitaki vita
Ila hili suala la RUSSIA kueka msimamo wake halaf akaanza kuyumba yumba kama bendera haeleweki
Shenziii
 
Leo hakuna kazi tunapumzika na shughuli za kulijenga taifa. Ni kutulia na kinywaji na kufuatilia OP part 2 ya Urusi. Kuna mtu alinieleza juzi humu kuwa tutakula pasaka OP ya Urusi ikiwa haijatimiza malengo. Nyamizi
Nadhani sasa utaanza kuniamini kama Mfalme Zumaridi [emoji23][emoji23].Kuna hoja yako huwa napenda kurefer kipindi kile majeshi ya Russia yako km chache kuingia Kyiv,ulisema kama Ukraine ataweza kuhimili hapo walau kwa week 2 mbele,basi Russia atakuwa na kazi ya ziada.Kwa Boris kuja hadi Kyiv unadhani ile safari ilikuwa ya bure.Sasa naongezea hata Eid El Fitri tutakula na Zelensiky atakuwepo akiendelea na mapambano ya kuilinda Nchi yake .
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Haiwezekani
Ila currency alokua nazo kabla ya unahisi zipo chache kiasi chakuhitaji nyengine !!?
Bila shaka yeye na wachumi wake wanajua kwa vikwazo walivyowekewa na pesa zao zilizoshikiliwa huko nje then wanahitaji diversification ya hizo currencies kwa kiasi gani.
 
mkuu tulisema hapa kwa ruble hayana uhalisia sn km baadhi ya watu wanavyofikiria, hii hype yote haipo sasa ht kremlin hawaiongelei tena
Inawezekana hawa wapuuzi tuuu
Hawana lolote na RUBO yao ndio maana sijawahi kua naimani na mizungu mishenzi maana naamini wana same agenda MBWA hawa
 


The Krasukha-4S, Murmansk, and Moskva electronic suppression complexes are working out the tasks of searching for and identifying air targets, including reconnaissance and attack drones.

Our main task is to cover the grouping of troops from radar reconnaissance and aimed strikes by enemy aircraft.

During the operation, 12 Bayraktar complexes were discovered.
 
Bila shaka yeye na wachumi wake wanajua kwa vikwazo walivyowekewa na pesa zao zilizoshikiliwa huko nje then wanahitaji diversification ya hizo currencies kwa kiasi gani.
Kwahili jamaa sijawaelewa kabisa yaani bora wangekaa kimya
 
Nadhani sasa utaanza kuniamini kama Mfalme Zumaridi [emoji23][emoji23].Kuna hoja yako huwa napenda kurefer kipindi kile majeshi ya Russia yako km chache kuingia Kyiv,ulisema kama Ukraine ataweza kuhimili hapo walau kwa week 2 mbele,basi Russia atakuwa na kazi ya ziada.Kwa Boris kuja hadi Kyiv unadhani ile safari ilikuwa ya bure.Sasa naongezea hata Eid El Fitri tutakula na Zelensiky atakuwepo akiendelea na mapambano ya kuilinda Nchi yake .
Hahaha
 
Okey boss nimekuelewa. Kwann unaamini hazifanyiwi maintenance kama inavyotakiwa?
Wanafanya re-allocation ya bajeti kwenye mambo mengine na bajeti yenyewe sio kubwa sana. Kufanya maintenance ya meli kubwa ni gharama hata Marekani last month iliona iachane na baadhi ya Litoral Combat Ships ambazo zipo jumla 35 ifanye mambo mengine. Urusi wana tabia ya kuchukulia vitu juu juu ndio maana nuclear submarine kubwa kuwahi kupata ajari ni Kursk ilizama 2001, nuclear disaster ilitokea Soviet Union, miajali ya ovyo jeshini ni wao utasikia ammunition depot imeungua. Marekani ikitokea depot imeharibika kwa uzembe kuna kesi nyingi zinafunguliwa tofauti na Russia ambao wanalindana na hawana accountability nzuri.

Russia waliiuzia India aircraft carrier ya Vikramaditya wako wanateseka nayo. Kwanza wakati inatolewa Russia kwenda kuuzwa iliharibika boirels kabla hata Wahindi hawajaipokea. Baadae boirels zote nane zikaundwa mpya ila nazo mateso. Wakati waliojenga Sevmash ni shipyard kubwa ya ujenzi wa meli za kivita Urusi.
 
Leo madogo hawajaenda shule na chuo huu uzi utavamiwa sana leo.
[emoji23][emoji23][emoji23].....tayari wapo humu wamesha funga shule ....ukitaka kuwajua angalia wanavoishambulia ile meli ya jana iliozama .....yaani taabu tupu ...
 
Baba lao missile Neptune anasubiri kwa hamu meli nyengine.🙂
Mmekalia Huo Ujinga wakati video inaonekana wazi hakuna missile iliyopiga hiyo meli!Mpaka moto explosion inatokea,hakuna kwenye video eneo lolote linaloonesha kuwa Kuna missile imepiga!Video evidence inasadiki taarifa ya Russia kuwa chanzo ni moto!
Hizo akili zenu mzitumie kuchakata habari,sio kila mnaloambiwa mnameza tu!
Nenda Youtube kathibitishe Hilo kwenye video!
 
Sky News?? Anyway Russians are 100 times racist. In USA they recognize Racism as a crime and many people have gone to jail because of it.
Now come to Russia, racism is institutionalized, you can't walk for 5 min in st Petersburg without stop and search or people glaring at you. My cousin spent 7yrs in that country and said he will never return.
While they have Patrice Lumumba University, in the remembrance of the great Congolese anti-capitalism leader killed by racist, exploitative, manipulative side.
Hahahahaaa
 
-hii sio vita bali ni special operation
-tumejondoa kiev kwa nia njema kufanikisha mazungumzo ya amani
-meli yetu imepata ajali ya moto ila umeshadhibitiwa,uharibifu ni mdogo tu na inavutwa kuelekea bandarini
-tumepoteza askari 1350 tu
-
Highest level of sarcasm,nimecheka mno,kwamba kila tukio wana maelezo yake ya kupinga[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom