bibingi
JF-Expert Member
- Mar 14, 2022
- 655
- 2,153
The same us na nato without NUKE's hawana kitu ........ndo maana wanapiga kelele IRANI .....korea kask.....isiwe nazo .....na hawawezi kuzivamia kama walivofanya libya ...iraq ....afghanistan.......NUKES ndo nguvu zenyewe yaani unakuwa umeji EXTRA ....ndo maana unaona waoga waoga hqo us na nato ....mbuzi waleRussia bila nyuklia ni sawa na samaki nje ya maji, lazima akate pumzi.