Pamoja na udhibiti wao wa vyombo vya habari,lakini bado madhara ya matendo yao yalitisha. Ukumbuke tunayoyajua kuhusu vita hiyo ni machache ila yanatisha. Fikiria kama kila kitu kingetangazwa!? Jiulize kwanini waliahambulia vituo vya TV?
Na usisahau kwamba, Marekani na washirika wake wakisaidiana ndipo waliishinda Iraq. Mataifa ya magharibi walikimbilia angani kwakujua Iraq hakuwa na mifumo imara ya ulinzi anga.
Huku ardhini waliyaachia majeshi toka nchi za kiarabu na Iran.wao walifuata baada ya njia kuwa safi
Sent from my SM-G5500 using
JamiiForums mobile app