D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
vladimir putin amezaliwa miaka 69 iliopita na dmitry medvedev amezaliwa miaka 56 iliopita. uhai wa mwanadamu na uzima haupimwi kwa umri wake lakini kama putin ataachia madaraka namuona medvedev akiyarithi tena madaraka kutoka kwa putin. mchaka mchaka utaendelea