Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwani Putin alisemaje, kwa nchi adui wa Russia na ndio maana hapo likatumika neno hypocrisy, kwamba India kakataa unafiki wa Europe sababu mpaka sasa EU na US wananunua mafuta.

India sasa hivi ana mpango wa kuongeza kununua mafuta kutoka Russia baada ya Russia kumpa offer ya 35$ kwa pipa na ndio maana ndani ya wiki hizi mbili US kishafanya vikao viwili na viongozi wa India (Waziri mkuu na waziri wa mambo ya nje) kuwaomba wasinunue mafuta ya Russia.
View attachment 2186904
Kwa hiyo Putin akisema wewe ni shoga ndio itabaki hivyo hivyo? Mbona unakuwa na kichwa kigumu
 
Acha kujichekesha hapa,video inaonesha kabisa kombora likiruka kutoka kwenye meli na hapo hapo mlipuko ukatokea!Video haioneshi missile yoyote ikiipiga hiyo meli!
Nimetaka tu kukurekebisha Ili usipotoshe!
Kwa akili zako mgando ulitaka Russia itoe video inayoonyesha meli yake ikipigwa Neptune Missile?
 

RUSSIA TO CONSIDER US/NATO VEHICLES BRINGING WEAPONS TO UKRAINE AS LEGITIMATE MILITARY TARGETS​


Russia will consider US and NATO vehicles that transport weapons to Ukraine as legitimate military targets, Russian Deputy Foreign Minister Ryabkov said.
He did not elaborate on WHERE such vehicles would be treated as legitimate military targets. While it may be normal to treat them as such INSIDE Ukraine, the statement seems deliberately ambiguous on that point.
In other news, however, there was no ambiguity:
The Russian Ministry of Defense today publicly warned Ukraine President Volodymyr Zelenski that if Ukraine continues to attack targets inside Russia, then Russia will commence targeting the "centers of decision making" in Ukraine. Read that to mean, government buildings in the national capital, Kiev.
Earlier, the governor of the Kursk region in Russia reported several attacks at border crossings perpetrated on the Ukrainian side of the crossing. The attacks with mortars and small firearms have not yet caused any casualties, the governor said.
Russia's Defense Ministry has warned that Russian armed forces will launch strikes on Ukrainian "decision-making centers", including Kiev, if Ukraine doesn't stop trying to hit objects on Russian territory. The ministry added that, so far, Moscow had avoided hitting these centers, but this policy might change.
Russia announced its decision drastically to scale down its military activities near Kiev after making such progress in the last in-person bilateral talks with Ukraine, which took place in Istanbul on 29 March. Moscow explained that key decision-makers, who can make the final call in peace talks, live in Kiev and hence the city should be spared any hostilities in the near future.
The defense ministry's announcement comes in the wake of several incidents, in which the Ukrainian Armed Forces carried out attacks on Russian territory. Governor of the Kursk region, Roman Starovoit reported that a border crossing was shelled from the Ukraine side on 9 April and that the mortar position was suppressed when the Russian side returned fire. Starovoit also said that a group of Russian border guards came under small arms fire from the Ukrainian side on 13 April. There were no casualties among Russians in both incidents.
Ache maneno ya khanga,ashambulie halafu aone kitakachompata.
 
Teh teh teh isiungue miaka yote kuanzia Vita ya Chechen mpaka Syria ije kuungua Ukraine? Chezea Neptune Missile weweee
Hizi akili za wapi?Nenda kaangalie video ya ipo,kila kitu kinaonekana wazi!Yaani hakuna missile iliyopiga hiyo meli!Kinachoonekana ni kombora kuruka na hapo hapo moto ukawaka!Video Iko very clear,usiwe mshabiki wa fuata upepo tu!
 
India sijui
Kwa hiyo Waziri wa Mambo ya Nje wa India ndio msemaji wa E.U na Marekani?
Kwani hapo hao EU wamekataa? Ukitaka kusikiliza hiyo press unaweza ukaisiliza yote........ipo youtube.

India ameamua kuongeza kiwango cha kununua mafuta kwa 35$ kutoka Russia.
US kafanya kikao na Waziri mkuu, kafanya waziri wa mambo ya nje India msimamo ule ule hawato chagua upande na jana India kaalikwa kwenye mkutano wa G7 ambao agenda ni ile ile kuhusu vikwazo kwa Russia ila msimamo wa India utakuwa ni uleule.
 
Ni kwanini Ruble imekuwa stable
Sasa mtu ambaye mnatrade at 10% na 2% nani muhimu?

also the other 80% wanatumia USD sasa nani hapa ana impact kubwa 🤣 🤣 🤣 , what USA want ni India kuacha kabisa kununua Mafuta Russia, na hili Waziri wa Mambo ya Nje wa India amesema watapunguza Ununuzi wa Mafuta ya Russia
 
.
Screenshot_20220414-145759.jpg
 
Hiyo meli ya Russia iliyozama Ukubwa wake ni karibu viwanya viwili vya mpira 186m (610 foot) bado Pro Russia wanaamini Russia anaweza kupigana na NATO.

Nimejua why Putin alitishia Nyau kuwa anaweza kutumia Nyuklia
Anasikika raia mmoja anaekaa Bunju ambae hata Posta hapajui vizuri!!
akichambua vita ya Urusi na Ukraine???
 
Kwa hiyo Putin akisema wewe ni shoga ndio itabaki hivyo hivyo? Mbona unakuwa na kichwa kigumu
Asifiaye mvua imemnyeshea, kwanza shoga manake nini kwako au may wewe ni mmoja wapo.

Mbona unashindwa kujenga hoja, brother hii platform mimi naiheshimu husizani kwamba labda uhuni si huwezi, jenga hoja hoja ndizo zimeifanya jamii forum iwe moja ya resources za maarifa.

Putin ali declare kwa resources za nchi yake, nchi ambazo ni maadui zake watanunua mafuta hela yake.
 
Kuna hii kitu

[emoji631][emoji1109][emoji1255] A US-born volunteer of Georgian origin named Alexo calls on American compatriots to turn to local authorities with a request to help Ukraine with weapons. According to him, there are enough people in Ukraine, but not enough weapons to repulse Russia.

Na kuna sehem nyingine wanasema kua Ukraine is supplied with weapons 6 to 8 times a day toka day 1 ya mashambulizi yalipoanza... Hizo silaha zinaenda wapi [emoji848]
 
Back
Top Bottom