joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Kwanza hizo video umeziona au unapayuka tu,kaitafute na hiyo.Hizo meeting zote zinafanyika agenda ni moja kumzuia India asiongeze uagizaji wa mafuta kutoka Russia.Kwa hiyo unafikiri kwa sababu ya uvamizi wa Russia nchi haziwezi kuendelea kufanya mambo mengine kuendesha nchi zao?
Yani Boris asiende India au Biden asizungumze na Modi kupanua fursa za nchi zao kwa sababu kuna mwendawazimu mmoja anavurumisha makombora Ukraine?