Somoche
Platinum Member
- Oct 6, 2010
- 7,095
- 9,755
Ka
Kajinga sana haka kamtuComedian haishiwagi vituko.View attachment 2188920
Kajinga sana haka kamtuComedian haishiwagi vituko.View attachment 2188920
Vp kama hiyo meli iliyozama ndio Ilikuwa inatoa ulinzi wa mashambulizi ya anga Kwa meli vita nyingine?Huoni hiyo inaweza kuwa sababu?Huo nimetoa ni mfano tu,usijiweke ndani ya box!Acha fikra zako ziwe huru!Ukijiongeza kidogo utapata majibu, jiulize kwa nini Russia amerudisha nyuma meli vita zake kwenye hilo eneo.
Uliishia Mwanakwerekwe ...sasa wewe unaejua msafara uliishia wapi si ndo utuambie ?🤔🤔🤔
SI wameshaamua. ..au bado ....1. Demilitalization inafanyikaje bila uvamizi ambao ndio wamefanya. Na inafanyikaje bila incapacitation of Ukrainian forces ambayo ndio unakataa eti hawana mpango wa kuiteka Ukraine. Bila kuiteka utadhibiti vipi jeshi lao na kuzuia counter offensive zao. Lazima uteke nchi majeshi yao yasisumbue ndio uwaambie cha kufanya na wafuate. Russia mpaka sasa siku 50 hana territorial gains za maana za kuonyesha.
2. Denazification ya Ukraine ni upuuzi. Wapi duniani uliona mashabiki wa Nazi wanavamiwa na jeshi la nchi nyingine. Tukitafuta Nazis Russia yenyewe tunawakuta. Nchi nyingine dunia hii zina Nazi sympathizers hata hiyo Israel yenyewe, dunia nzima haiwezi pigana kisa watu wachache mamia.
3. Helping Russian speakers in Donbass kivipi na Russia imevamia kutokea Belarus mpakani Kaskazini na kutokea Kusini miji ya Mariupol, wakati Russia speaking territories zipo Mashariki. Na isitoshe zipo under independent authorities zinazoshirikiana na Russia. Hapo si wangepeleka majeshi Donbass wakamaliza tena hapo wasingepata upinzani kutoka Ukraine.
Vipi ikifanyika 'helping Chechen speakers in Russian Federation'
4. Waizuie Ukraine kujiunga NATO wakati mkataba wao 1991 ulikuwa Russia kutoivamia Ukraine na Ukraine kuteketeza silaha za nyuklia. Mwaka 2014 Russia ilivamia Crimea, kisha ikavamia Donetsk na Luhansk. Sasa unazuiaje Ukraine kuamua inavyotaka.
Nadhani nishakujibu
Issue muhimu sio kuogopa Urusi pwani ya Mashariki mwa Ukraine mkuu,issue ni kwamba kuta-kuwa na escalation ya hii vita kati ya US,Europe na NATO,ambayo ni hatari kwa ustawi wa Dunia na Wanadamu.Naomba nikufahamishe kwamba WWIII tayari imeshaanza,ingawa bado haijatangazwa rasmi.Hii Meli warusi imewauma Sana inaonekana hawakutegemea Kama ingezamishwa. Na hii itakua fundisho kwao maana kuanzia sasa wataanza kuogopa pwani ya Ukraine.
Supapawa wa mchongo anaanza kulialiaHongera kwa Ukraine kushinda hii vita[emoji23][emoji23][emoji23]..
Alaa kumbe👇Haya maonyo yanazidi kunauwezekano mkubwa US akapigwa na kitu kizito afu akauchuna kwa aibuView attachment 2188904View attachment 2188905
Mkuu usicheke,nahisi huyu muuliza swali Yuko serious hajui NAzI ni nini..🤣😂🤣😂😁😀
Na hii nilishaipost humu tangu March 26.... Sikiliza halafu njoo tena ...Additionally, mpaka sasa Zelensky is outshining Putin. Putin si alitaka regime change, iko wapi?
Putin anashindwa nini kumkamata Zelensky, ni kwamba hajaweza. Zelensky si anazurula mitaani Kyiv tena last time akiwa na Boris Johnson. Au unasema Russia wanafurahia vifaru vyao kupigwa, ndege na tena meli.
Bila kuiteka Ukraine hao Russia watafanyaje. Si imegoma kujisalimisha na kuweka silaha chini. The next kama Ukraine ingetekwa ni kumfungulia mashtaka Zelensky au kumuua na kubadilisha katiba ioneshe marufuku kujiunga NATO na kubadilisha serikali. Pro Russia wanajua hili waziwazi.
Kuitawala baada ya kuiteka si ni kuweka kibaraka. Hili haliumizi akili hata maana washafanya hivi before
Sasa hivi wanafikira kutumia tactical nuclear weapons. Maana washamaliza convectional weapons zote kwenye maghala ikiwemo supersonic missile lakini ndio wanazidi kuumizwa.Hii Meli warusi imewauma Sana inaonekana hawakutegemea Kama ingezamishwa. Na hii itakua fundisho kwao maana kuanzia sasa wataanza kuogopa pwani ya Ukraine.
Hivi ni vita vya Bapali na Mjamaa......Ila Tukubali tukakatae Warusi Wana akili flani tofauti sana nchi hii inaandamwa for Years ili isambaratishwe Infact Marekani inawaza sana kuhusu Urusi kuliko Hata China...IMEKUA shida sana kuisambaratisha Urusi...
Kunya wewe PRONATOAMERICA tukutawaze...Pro Russia mnaandika ushuzi humu
Acha uwongo na Kuna maiti hamtaki kuja kuzichukua-hii sio vita bali ni special operation
-tumejondoa kiev kwa nia njema kufanikisha mazungumzo ya amani
-meli yetu imepata ajali ya moto ila umeshadhibitiwa,uharibifu ni mdogo tu na inavutwa kuelekea bandarini
-tumepoteza askari 1350 tu
-