Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,386
- 13,136
Biden ni mgonjwa.kuna short clip imewekwa kwenye fb page ya RT inamuonyesha biden anajaribu kupeana mikono na kivuli baada ya kumaliza kuhutubia. dementia inazidi kumnyemelea.
Biden ni mgonjwa.kuna short clip imewekwa kwenye fb page ya RT inamuonyesha biden anajaribu kupeana mikono na kivuli baada ya kumaliza kuhutubia. dementia inazidi kumnyemelea.
hata allies wa urusi wenyew hawajui km ukraine inaendeshwa na wanazikuna swali naomba mnidadavulie,katika WW11 wanazi wa kijerumani walikua wanapigwa vita na nchi za ulaya,sasa mbona sasa hivi hao wanazi wanasapotiwa na nchi nyingi za ulaya!?ni nini kilichosabababisha kutoka kupingwa hada sasa wapate sapoti na uliangalia historia warusi walikua na mchango mkubwa kuwashinda wanazi??
Mkuu achana nao.Uzuri mm mchezo wa maneno ya kuboa nimefuzu. Na atayekuja na aje
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
🤣😂🤣😂😁😀Hivi wa NAZI ndo waasi au
Nitashukuru 🙏🙏Ntaicheki niku-tag boss.
lugha ya malkia inakusumbuaKumbe Ukraine wanachora vifaru vyao vilivyolipuliwa na Russia herufi Z na kupiga navyo picha wapost mitandaoni... kipondo kinaendeleaView attachment 2188649
Asante kwa swali, jibu ni rahisi.kuna swali naomba mnidadavulie,katika WW11 wanazi wa kijerumani walikua wanapigwa vita na nchi za ulaya,sasa mbona sasa hivi hao wanazi wanasapotiwa na nchi nyingi za ulaya!?ni nini kilichosabababisha kutoka kupingwa hada sasa wapate sapoti na uliangalia historia warusi walikua na mchango mkubwa kuwashinda wanazi??
Duh...Kama ni hivyo inaelekea Russia imeamua kuleta professional army kwani wengi waliopo Ukraine kwa Sasa ni conscripts...Kama ni hivyo inaelekea Russia imeamua kuifuta operation na Sasa kuwa conventional war...Dah Kuna kitu kikubwa kinaenda kufanyika huko.
Aisee tusubiri.
India has received a consignment of S-400 missile system from Russia
Taarifa mbaya sana kwa washabiki wa upinde wa mvuaLeo Comedia Analala Kwenye Pango
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukraine
Itasalimu amri kabla ya April 30, 2022...ni maoni yangu tu...Kuna watu maarufu wa Ukraine watakuwa destroyed...
Hapana Mkuu,wali vijana waliopo Ukraine tokea mwanzo wamefanyabkazi Mzuri sana.Duh...Kama ni hivyo inaelekea Russia imeamua kuleta professional army kwani wengi waliopo Ukraine kwa Sasa ni conscripts...Kama ni hivyo inaelekea Russia imeamua kuifuta operation na Sasa kuwa conventional war...
Nimeangalia BBC, Skynews na Aljazeera watangazaji wote wako very cautious na kinachoendelea huko Ukraine Jana na leo...kimsingi watangazaji hao Wana namna ya hofu kuhusu kile ambacho Russia inatarajia kukifanya from now on...
Siijui kabisa mi nafahamu Kirussia tu [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]lugha ya malkia inakusumbua
Hadi wewe umechoka uongo wakeWewe jamaa bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
mbona jamaa tunamuona amevaa gwanda anatembelea vikosi vyake .🇺🇦🇺🇦🇺🇦 au tukuletee na picha ?Yaani Mtu upo Kwenye Nchi yako na Na Unaishi kama Digi Digi
Umejaza Mifuko ya Mchanga Ndani Ya Mlango Wa Nyumba Unayo Jifichia!!
Wakati Unalindwa Na kusaidiwa na Nchi 30+