Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Fanya kujaribu kutoa scenario ambapo flagship ya USN flagship itapigwa na kombora la kizembe kama Neptune ambalo Warusi wenyewe walisisitiza haliwezi fanya lolote
Nahisi mara roketi kutoka Uingereza zinafika, tutaona manowari nyingine kufuata, sivyo? Ni kweli, roketi ya Neptune ya Ukraine ilibuniwa kwa manowari ndogo zaidi. Inaonekana walikuwa na bahati kugonga roketi iliyokuwa tayari stahani na mlipuko wake uliongeza nguvu..
 
Vita sio sanaa, vita ni uharibifu na mauaji. Hakuna kingine cha zaidi ya hayo.
Hahaha ila hizi kenge hizi.. eti vita sio sanaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unajua maana ya sanaa? (Art) kasome kitabu cha sanaa ya vita (art of war) itajifinza mengi. Ndio maana tunawaita *****.. sababu akili kichwani hamna.. hapo unabishana kwa experience ya movies za Tom Cruise na Arnold Schwarzenegger. Stupid
 
Kama idea ya kujiunga na NATO ni kitisho kwa nini ujiunge wakati unajua hutaruhusiwa kujiunga na ukilazimisha unageuzwa majivu.
Unafikir wazo la Ukrain kujiunga NATO limewasaidia au limewadidimiza?
Je Finland na Sweden wafuate njia ya Ukrain, unafikiri ni busara?
Je kujiunga NATO ni mawazo ya wananchi au viongozi, kama ni mawazo ya viongozi je Ulaya kuna demokrasia ?
Putin will never invade Finland?

Why? Europe Union pia wana Clause "Mutual Defence"
 
Russia sio nchi yenye kupenda ugomvi. Ndio sababu ukiangalia jeshi lake limekaa kujilinda zaidi. Ugomvi wake mkubwa ni kwanchi majirani zake kutaka kumkaribisha adui yake mkubwa. Marekani. Wamkaribishe karibu na mipaka yake.
Marekani anajulikana kwa unafiki,uchokozi na kutothamini wenzake. Akiwa karibu atalazimisha Russia muda mwingi awe vitani. Na kwakuwa ye Marekani atakuwa mbali,miji yake haitaathirika.
Hicho ndicho asichokitaka Russia. Ndio maana hamlazimishi yeyote kuwa upande wake. Na hataki jirani yake amkaribishe adui yake mlangoni kwake. Ndio sababu alimtaka Ukraine awe taifa lisilofungamana na upande wowote. Lakini raisi wa Ukraine akachagua upande. Akaanza kuwakaribisha maadui kuweka maabara za kutafiti silaha za kikemikali na kibaolojia,kabla hata hajapokelewa NATO. Hivyo Russia kaamua kumzuia

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣

Mzee Go back and correct your information, Russia katika Historia yake imewahi kupigana na more than70% ya majirani zake..
China hao tu ambao Pro Russia wanaona ni marafiki wakubwa wana mgogoro wa mpaka na wamewahi kupigana vita
 
Kama huna jibu, tulia tu!
Unataka nijibu nini!?
Umesema Russia haijali eti kwakuivamia Ukraine!!!
Ukraine anataka kumletea maadui mlangoni. Hata alipokumbushwa mkataba unaomtaka asiwe upande wowote bado alikataa. Ulitaka Russia amsifu kwa vigelegele na mapambio!?

Kama na hao wengine wanataka kujiunga na kukaribisha maadui,watakipata wanachokitafuta.

Na kama mnajidanganya eti wataachwa kwakuwa bado hajamalizana na Ukraine basi nakukumbusha tuu Russia sio Iraq. Atawachapa na NATO watishia kuweka vikwazo na kuepuka kufanya ujinga wowote utakaopelekea kukabiliana na Russia. Hasara watabaki nayo hao waliochoka miaka 70 ya amani

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
⚡️The Czech Republic handed over RM-70 Vampire multiple rocket launchers to Ukraine.

Thank you, we'll never forget!
IMG_20220415_172243.jpg

 
Nahisi kufikia mpaka mwezi dec 2022 kama urusi itakuwa bado inasumbuliwa kufikia maleng yake watauwasha mji mmmoja na kile kiberiti kikuu, Shwaa!! Halafu marekani ataitisha kikao chake na UN hapo ndio vita itakua inaanza rasmi.
Putini nakushauri washa kiberiti mji mmoja adabu irudi naona kuna watu wamejisahau kuwa una kiberiti cha hatari, nawaona wengine wamo humu JF.
Busara zako Putini xinaleta dharau angekuwa USA angeshawasha shwaa!!.
Ukute wala hana bali ilikuwa mikwala tu ili aogopwe. Yaani uwezo aliouonyesha Russia kwenye hii Operation ni wa kawaida sana, hata nchi kama South Africa angeonyesha uwezo kuliko hivi. Tactics za Russia hadi unawaza hivi hili ni lile Taifa tunalopewa Sifa zake au wengine. Imagine ile Convoy ndeeeeefu tena imesongana karibu sana yaani ni rahisi sana Kuteketezwa. Meli inazamishwa kirahisirahisi tu utadhani ni jeshi la Congo .POOR TACTICS, POOR INTELLIGENCE, POOR PLANNING & TOO LOCAL.

Binafsi nimeshaishitukia Russia. Ilikwezwa sana kumbe ni viwango vya Iraqi, Iran, Korea nk. Yaani hata tu Uingereza, France, German WANAMZIDI
 
Russia imeshazivamia Finland na Poland mwaka 1939, Iliivamia Afghanistan 1979, iliivamia Chechnya na kuichukua kabisa mwaka 1999.
Kwa hiyo ni jambo ambalo huwa analifanya pale anapohitaji.
 
Sawa. Sasa nikuulize, ukiachana na suala la kusapoti urusi au ukraine. Wewe unazungumziaje suala la nchi moja kuivamia nchi nyingine yenye uwezo dhaifu kijeshi? Unaona ni sahihi?
Mtazamo wangu wa jambo aiza ni sahihi au sio sahihi unategemea. Naomba usifikiri nafanya siasa (kukimbia swali lako) ila nipe muda utanielewa.

'By default' nakubaliana na wewe kwamba kuvamia nchi nyingine sio tu uliyoizidi uwezo kijeshi hata iliyokuzidi ni jambo la kupingwa/sio sahihi. Ila ipo/zipo 'exception' ambayo inaweza kuhalalisha nchi moja kuivamia nyingine na kutokuvamia ikawa ndio jambo baya/ovu.

Mimi naamini katika uadilifu. Mambo yote duniani ambayo yapo nyuma ya uadilifu (yanaunga mkono) uadilifu kwangu mimi nayaona ni mambo mazuri/sahihi. Hata kama asili yake ni mabaya. Na badala yake mambo yote yaliyonyuma ya udhalimu (kinyume cha uadilifu) nayaona ni maovu/sio sahihi hata kama kwa asili ni mazuri.
Mf. Ukweli ukisemwa kwa lengo la kutetea udhalimu huo ukweli unakuwa mbaya kadhalika uongo ukiwa umesemwa kutetea uadilifu basi ni mzuri. (Falsafa ngumu ya ajabu kidogo[emoji1])

Tuchukulie pale Iraq kweli Saddam alikuwa na silaha za maangamizi, alikuwa anaua raia wake (wasio na hatia) kwa msahambulizi ya kemikali, alikuwa anaunga mkono ugaidi, alivamia na kuwaua wakuait, na mambo kadhaa mbalimbali maovu, kuivamia nchi hii ili kumng'oa kiongozi dhalimu wa namna hii utakuita ni sahihi au sio sahihi!? Na kutokuivamia nchi hii ili kumruhusu kiongozi huyu aendeleze mauaji, ubakaji, utesaji wa raia wasio na hatia je!?

Nafkiri utakuwa umenipata

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Eti lengo ni kuonesha yeye siyo adui .....yaani unavamia nchi ya mwingine unaua hadi watoto halafu wanaojisalimisha unawapatia uji na kamkate unasema yeye July mwema duuuuh hatar ....hiv hii ni akili ya mtz kweli???
Sasa nakuuliza uliwahiona wapi marekani wanapigana Vita katikati ya mapigano anasimamisha Vita anaondoa raia na kuwapa msaada wa kibinadamu???? Unaweza amevamia lakini ukweli yeye ndiyo kavunja mkataba wa mwaka 1992
 
Uliwahi kuona Marekani anafanya siege ya miji vitani?
Sasa nakuuliza uliwahiona wapi marekani wanapigana Vita katikati ya mapigano anasimamisha Vita anaondoa raia na kuwapa msaada wa kibinadamu???? Unaweza amevamia lakini ukweli yeye ndiyo kavunja mkataba wa mwaka 1992
 
Putini anataka kujitoa akili na kujiondoa duniani ,hataki kuendelea kuishi,director wa CIA kasema anaweza kutumia nyuklia

Screenshot_20220415-174141.png
 
Back
Top Bottom