Yes yes umenena vyema na maswali ulouliza mazuri hayajakaa kiushabiki kama asili ya uzi ulivo.
Ntajarib kukujibu ila note ni mtazamo wagu kulingana na kile nachokiona na wala sio kwamba namnukuu flani kasema.
Swali la kwanza kuhusu lengo la demilitarization... Naweza sema kafanikiwa kwa zaidi ya 70%. Ukizitizama data za vifaa na military base zilizokuepo kabla y OP na hivi sasa kilichosalia ni kidogo mno tena mno.
Kwa hili hata kama data zinazotolewa na Russia hazitakuwa sahihi zinaeza thibitishwa na Ukraine wenyewe. Kil siku wanapewa dozen of weapons, kwa mujib w pentagon ni karib 6 to 8 times a day ila nawe shahidi wa kila leo Ukraine anaomba silaha mpya kutoka Western.
Demilitarization kwa tafsiri nayoifaham ni kuharibu miundo mbinu ya kijeshi, kama si hiyo basi utanisahihisha. Kwa tafsiri hii nayoijua Miundo mbinu ya kijeshi ndani ya Ukraine more than 70% imeshaharibiwa.
Kuhusu swali lako la pili, ka huwa unazisikiliza kauli za viongozi wa western vizuri kuna hili neno limekua likijirudia mara kwa mara
"avoiding direct confrontation with Russia so as to not escalate the situation beyond Ukraine"...
Hiyo ni kama Official statement kua sisi hatuhusiki, ingawa ukiangalia unaona wanahusika japo nyuma ya pazia.. kupitia Mercenaries wengi tu kutoka nchini kwao na hao viongozi wa NATO ambao wapo hapo Ukraine. Wako pale unofficial na wana fight hard against Russia.
So ka kweli mstaarab huezi kurupuka tu na kuanza kushambulia hizo nchi zaidi ya 32... Ambao media zatangaza hawatak kujihusisha ingawa nyuma ya pazia wanajihusisha. Hapo moja kwa moja Russia ndie ataoneka mgonvi...
Mfano wa namna hii nakupa hii video ya nyuma umskilize mshauri mkuu w Zelensky na Mzee mmoja hivi kutoka US walivokuwa wanapanga kumuingiza Russia Ukrakne... Ingawa sa hivi wanadai Russia ni Aggressive na kaanzisha Unprovoked war against Ukraine.
Hii ya kwanza msikilize huyu wakati anahutubia Congress... Anakwambia wataivuta Russia Ukraine, na watapigana na Russia Ukrakne wala sio kwenye Ardhi yao hapo US.
View attachment 2188439
Hii ya pili Msikilize huyu anakwambia in order to join NATO, inabidi waingie Full scale war with Russia... Na wakiwa na matumaini kua watyamshinda Russia kisha wanaingia NATO kwa mserereko... Ukiisikiliza video vizuri anasema kabisa itakuw something between 2020 up to 2022... Hii inakupa tafsir kabisa huu mchakato haujaanza jana.
View attachment 2188442