Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
India has received a consignment of S-400 missile system from Russia
Hizi habari NATO hawapendi kuzisikia kabisa.
India has received a consignment of S-400 missile system from Russia
Katika comment niliyokujibu mwanzo nilizitaja. Na nakutajia tena. Ila nakukumbusha ww hujanijibu bado maswali yangu, au umeshindwa!?Nijibu swali moja tu: wewe unavyofahamu objectives za Russia kufanya military operation ndani ya Ukraine ni zipi. Kutaja hakuchukui zaidi ya paragraph moja. Baada ya hapo najibu maswali yako
Samahani unataja mkataba gani "unaomtaka asiwe upande wowote"?Unataka nijibu nini!?
Umesema Russia haijali eti kwakuivamia Ukraine!!!
Ukraine anataka kumletea maadui mlangoni. Hata alipokumbushwa mkataba unaomtaka asiwe upande wowote bado alikataa. Ulitaka Russia amsifu kwa vigelegele na mapambio!?
Kama na hao wengine wanataka kujiunga na kukaribisha maadui,watakipata wanachokitafuta.
Na kama mnajidanganya eti wataachwa kwakuwa bado hajamalizana na Ukraine basi nakukumbusha tuu Russia sio Iraq. Atawachapa na NATO watishia kuweka vikwazo na kuepuka kufanya ujinga wowote utakaopelekea kukabiliana na Russia. Hasara watabaki nayo hao waliochoka miaka 70 ya amani
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
ShukranjHizo sikuzitolea telegram ila ukitaka link ntakupa... Sema ungenielezea nikupe link za mlengwa upi...
Hizo video jaribu kuzifungua kwenye browser au njoo apa kwenye link hii nikutumie uko telegram Mr. Q
Post ya galip S-22 sijaiona hiyo unaweza kui tag mkuuAisee mkuu umemaliza kila kitu,na kwny ile post ya mkuu Galip S-22 alivyoeleza Ni kwanini Russia haimalizi Vita haraka na Ni kwanini haiwafungii mabomba yake ya gas EU nilizidi kupanuka mawazo.
Kwa Hii generation yetu propaganda za wazungu zitafeli big big time na hii Vita ita-prove hilo,nadhani watakuja na silaha nyingine lkn silaha ya propaganda ishafeli hio.
From Uni-polar to Multi-Polar.Imeisha hio
Samahani unataja mkataba gani "unaomtaka asiwe upande wowote"?
Mimi najua mkataba mmoja unaotaja swali hili, ni mkataba wa Helsinki wa mwaka 1975, ibara 1. Hapo Urusi (Umoja wa Kisovyeti) ilikubali kwamba kila nchi katika Ulaya ina haki kuchagua yenyewe ushirikiano na nchi nyingine.:
"all the participating States have equal rights and duties. They will respect each other's right to define and conduct as it wishes its relations with other States in accordance with international law and in the spirit of the present Declaration. They consider that their frontiers can be changed, in accordance with international law, by peaceful means and by agreement. They also have the right to belong or not to belong to international organizations, to be or not to be a party to bilateral or multilateral treaties including the right to be or not to be a party to treaties of alliance; they also have the right to neutrality."
Chanzo: University of Minnesota Human Rights Library
Ninayosoma hapa inapingana na hatua zifuatazo za Putin:
1) anataka kuzuia haki ya Ukraine kuchagua ushirikiano wake na nchi nyingine
2) anataka kubadilisha mipaka nje ya sheria ya kimataifa (Krim, Donbass, Georgia...)
Katika ibara 1 ilikubali pia "the right of every State to juridical equality, to territorial integrity and to freedom and political independence. They will also respect each other's right freely to choose and develop its political, social, economic and cultural systems as well as its right to determine its laws and regulations."
Uvamizi wa nchi huru ni pia kuvunja mkataba. Sioni Ukraine ilivunja mkataba huo. Pamoja na hayo Urusi una mkataba na Ukraine wa 1994 alipoahidi kuheshimu mipaka ya Ukraine.
Je katika maoni yako hakuna lazima wajibu wa Urusi kufuata mikataba yake?
CIA WA FACEBOOKPutini anataka kujitoa akili na kujiondoa duniani ,hataki kuendelea kuishi,director wa CIA kasema anaweza kutumia nyuklia
View attachment 2188555
Kitakachotokea ni marekani na nato kuweka zana nzito nzito za kijeshi mipakani mwa russian fedHapa vita ilipofikia, Je URUSI akiamua kuachana nayo kabisa majeshi yakarudi nyumbani nini kitatokea?
Ntaicheki niku-tag boss.Post ya galip S-22 sijaiona hiyo unaweza kui tag mkuu
Na NATO wakiamua kuacha ku-supply silaha,kutuma instructors wao na mercenaries na kurudi huko kwny nchi zao za mashoga Nini kitatokea?Hapa vita ilipofikia, Je URUSI akiamua kuachana nayo kabisa majeshi yakarudi nyumbani nini kitatokea?
Ingekuwa ndiyo hivyo unavyofikiri saa hizi USA na NATO yake wangekuwa wameishaingilia Kati....Bado hujaona mighty ya Russia....USA wanajua na NATO wanajua huwa unasoma na kusikiliza information au news between the lines kile kinachotangazwa na vyombo vya habari vya west.Ukute wala hana bali ilikuwa mikwala tu ili aogopwe. Yaani uwezo aliouonyesha Russia kwenye hii Operation ni wa kawaida sana, hata nchi kama South Africa angeonyesha uwezo kuliko hivi. Tactics za Russia hadi unawaza hivi hili ni lile Taifa tunalopewa Sifa zake au wengine. Imagine ile Convoy ndeeeeefu tena imesongana karibu sana yaani ni rahisi sana Kuteketezwa. Meli inazamishwa kirahisirahisi tu utadhani ni jeshi la Congo .POOR TACTICS, POOR INTELLIGENCE, POOR PLANNING & TOO LOCAL.
Binafsi nimeshaishitukia Russia. Ilikwezwa sana kumbe ni viwango vya Iraqi, Iran, Korea nk. Yaani hata tu Uingereza, France, German WANAMZIDI
Ww acha kujitoa ufahamu kwa hiyo na hili la silaha nalo unataka tuanze kubishana?Uongo mwingi sana umeandika hapa
1.Gharama za maisha Tanzania zilianza kupanda kwa kasi hata kabla uvamizi wa Urusi haujaanza.
2.Hakuna mtu asiyehusika na usalama kwa tena kwa ngazi za juu anayeweza kujua kiwango kikubwa cha silaha za Tanzania zinatoka wapi. Ila ni vyema ukafahamu radar zilizojengwa kipindi cha magufuli zilizejengwa na kampuni la Kifaransa.
3.Mbolea inayoutumika Tanzania kwa kiwango kikubwa inatoka Morroco.
Tusilishe watu matango pori kijanja.
Mkuu andiko zuri,lkn nakukumbusha TU,sio Putin peke yake Ni Urusi yote toka zama za USSR ndio nchi pekee duniani isiyoogopa n hi yoyote.Putin nampa heshima ya nguvu, ndo kiongozi pekee aliyebaki atakayetupeleka kwenye multipolar world. Ndo kiongozi pekee asiyetingishwa na west, ni kiongozi pekee anayeweza ongea maovu ya west bila woga.
Putin anaheshimika worldwide usimfananishe na babu yenu kabisa. Tulienu aendelee kuwa PUT IN.
Itasalimu amri kabla ya April 30, 2022...ni maoni yangu tu...Kuna watu maarufu wa Ukraine watakuwa destroyed...
World
FLASH: KIEV BEING BOMBED . . . NOW
WORLD HAL TURNER 14 APRIL 2022 HITS: 17786
As of 7:13 PM eastern US time on Thursday, 14 April, the city of Kiev, capital of Ukraine, is being heavily bombed by the Russian Army. Video below.
No way to determine if this has anything to do with the missile strikes upon the Russian Guided Missile Frigate "Moskva" which suffered multiple fires and multiple explosions, then sank in the Black Sea last night.
UPDATE 7:21 PM EDT --
Explosions are heard near the government quarter, the Ministry of Defense and the SBU.
Powerful explosions and blackouts in Kiev.
Elsewhere now, Reports of explosions and shooting in Kharkov.
Nikolaev - explosions.
Ivano-Frankovsk (Western Ukraine) - The last oil refining plant in Ukraine is being destroyed.
Triga kwa heshima kubwa uliyonayo humu jamvini nakuomba acha kubishana na huyo jamaa,jikite kuchambua mambo ya mwenendo wa vita TU.Najaribu kuwa makini, wewe je!
Kama utaona hapo nimesema malengo ni matatu au manne alafu nikataja matatu, kwa nini!?
Kwa sababu;
1. Hayo matatu ndio yaliyotajwa na Putin mwenyewe ile siku anatangaza kuanza kwa operesheni
2. Hilo moja limewahi kutamkwa na maafisa wa ngazi za juu wa kremlin hata ikiwemo na Putin mwenyewe kwamba wako against na ukraine kujiunga NATO.
Kwa hiyo malengo ni matatu hayo nliyoyataja na hilo moja limeqahi kutajwa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hivi wa NAZI ndo waasi auNafikiri kwa vile wengi wetu ni vijana na wengi wetu ndiyo tunashuhudia kwa kuona military operation ama vita vinakuwaje kwa nukta ya kuwa zao la manufaa ya mitandao ya kijamii inatusaidia kuona kile ambacho mara nyingi kilikuwa cha kufichwa.
Historia ama movie ama kwa kile ambacho tunakishuhudia upande mmoja unapofanya mashambulizi dhidi ya upande mwengine ama kile tunachoonyeshwa baada ya mashambulizi kimetuathiri na tumekuwa na matawi mengi ya fikra kwa kutoa mawazo yetu kwa kuona hapa ni alama A hapa ni F.
Tukubali vita ni sanaa kama sanaa nyengine. Kama sanaa inavyokuwa na ubunifu zaidi vita nazo zina mbinu. Sanaa ya maigizo ipo wazi sanaa ya vita kwa asilimia kubwa ni yenye kufichwa. Muda mwengine nyote mnaweza msielewe, muda mwengine wahusika wenyewe ndiyo wanajua wanachokifanya ni kipi!
Tunaweza tukawa tunajua mwisho wa hiki kinachoendelea baina ya Russia na Ukraine lakini isiwezekane kujua ni njia ipi itakayotumiwa. Pentagon imesema kinachoendelea Ukraine wenyewe hawajui Russia anatumia mbinu gani. Waliyobahatika kufafanua walielezea hivi unachokizungumzia: Russia ilionyesha msafara ule kuelekea makao makuu ya nchi ya Ukraine. Lakini ifahamike makao makuu ya nchi yanalindwa kwa gharama ya namna yoyote.
Kitendo kile sehemu kubwa ya jeshi la Ukraine likatumika kuulinda Kieve. Russia alichokifanya ni kuuzunguka ule mji. Matokeo yake miji mingine ilibakiwa na idadi kiasi cha wanajeshi. Ukumbuke pia lengo ni demilitarize na lengo jengine ni kuondoa Nazi. Demilitarize ikafanyika lakini kukabakiwa na vikundi vidogo vidogo vya jeshi la Ukraine ndivyo hivyo vilivyoleta upinzani wa hapa na pale. Kwa kuwa idadi kubwa ya jeshi la Ukraine lilizungukwa Kieve hawa wanajeshi wa mitaani kupata msaada wa moja kwa moja ikawa ni ngumu. Kuondoa Nazi inahitajika upite mtaa kwa mtaa kwani wahusika hawa walijifícha kwenye makazi ya raia. Hapa utarajie operation itachukua muda mrefu ikiwa utahitaji kupunguza vifo vya raia. Ikiwa haujali unalipua tu!
Ila hakuna mpaka sasa anayejua Russia anatumia mbinu gani! Itakujakufahamika zaidi mchezo utakapo kwisha. Russia siwageni kwenye haya mambo ya kivita. Tujijengee utamaduni wa kuona kwa pande mbili: Ikiwa kitu tukikiangalia kina sintofahamu basi ujue aidha kina makosa mengi au kina mambo ambayoufahamu wetu haujafikia kiwango cha kukielewa kwa wakati huo.