Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapana Mkuu,wali vijana waliopo Ukraine tokea mwanzo wamefanyabkazi Mzuri sana.
Ila naona hizi silaha anazopeleaka Urusi Sasa ni baada ya kuona kuwa NATO wako nyuma ya pazia na akina USA UK Fr na akina German wamekazana kupeleka sila na fedha.
Sasa naona Russia anataka kuwapelekea SoMo zito.
Tusubiri tuone.
Hali inatisha.
Hakuna jipya hapo . Putin anajikosha tu. Kashindwa na comedian .
 
Jana baada ya urusi kuchapa kiev.basi zelensk akapanda gari kuelekea mpakani na poland kabla ya kufika mpakani na poland ikabidi arudi tena kiev ile anarudi kiev likapigwa kombora lingine hapo hapo zelensky na walinz wake wakasimamisha gari na kukimbilia mtaroni mpaka inafika leo saa 6 mchana jamaa hakuonekana ndipo mida ya saa kumi akaonekana ikiwa na kiatu kimoja mguuni
Masikini!!!da
 
Umeona mizigo inayopelekwa kwa treni lakini?
Au zile bomber?
Hii vita sio ya kuisha kwa Urusi kumrudisha majeshi aisee!
msafara wa kwanza wenye urefu km zaidi ya 50. -hola 😂😂.
Msafara wa pili +kubadili na kamanda wa vita -hola 😂😂😂.
Bado mnatuambia tusubiri !!!?. Tusubiri Mara ngapi?
 
Jino kwa jino
Screenshot_20220415-205606.jpg
 

Russian Long-Range Bombers Strike Ukraine For 1st Time In War​


For the first time since the Feb.24 invasion, it's being widely reported that the Russian military has struck Ukrainian targets using long-range bombers. Ukrainian defense ministry spokesman Oleksandr Motuzyanyk said Friday that bombs were dropped by Tu-22M3 aircraft over positions in the port city of Mariupol.
"On April 14, two Russian strategic heavy bombers Tu-95/-160 have launched cruise missiles hitting the territory of Ukraine from Krasnodar Krai of Russian Federation airspace," he said. "Also for the first time from the start of the armed aggression bombs were dropped by a long-range bombers Tu-22M3. This airstrike took place, hitting Mariupol."
Tupolev Tu-22M Strategic Bomber Aircraft, file image

It's believed Russian forces are attempting to secure a corridor that stretches from Mariupol to the Crimean Peninsula as the war for the Donbas region heats up. Motuzyanyk described that there are still major street battles happening in and near Mariupol, which before the war had nearly 500,000 people.
The use of long-range bombers could signal the start of a new Russian strategy. The Kremlin has recently admitted it's suffered bigger than expected casualties, with many analysts pointing out that so far Russia has been restrained when it comes to major bombing raids on Ukrainian cities.
It also became evident early on that Russia's military appeared to be restraining its use of airpower, resulting in many instances of unprotected tank convoys being ambushed with often foreign-supplied anti-tank missiles, such as the Javelin.
The timing of this latest development is interesting also given the Thursday sinking of the Moskva cruiser off Odessa's coast, which was considered the Russian Navy's flagship in the Black Sea. It was reportedly hit by a pair of Neptune anti-ship missiles, and Ukraine is celebrating it as a major victory. This as Russia claimed the ship was destroyed by accidental fire which ignited munitions.

The warship's sinking is likely to mark a significant shift for the Kremlin. After suffering such major losses, Russia has more incentive to practice less restraint - which is perhaps why long-rage bombers are apparently now in use.
This week CIA Director William Burns testified that he sees that a lengthy conflict will play out. And it goes without saying that none of this will be good for global food and energy security.


Additionally, Moscow has freshly warned Washington this week to stop supplying arms to Kiev, warning of "unpredictable consequences" to come by continuing down this path. Indeed given Russia is now losing entire warships, and with a crew of over 500 having to be evacuated, the war has just entered a new unpredictable phase.
 
msafara wa kwanza wenye urefu km zaidi ya 50. -hola 😂😂.
Msafara wa pili +kubadili na kamanda wa vita -hola 😂😂😂.
Bado mnatuambia tusubiri !!!?. Tusubiri Mara ngapi?
Aisee hivi wewe bado umeelewa zile propaganda kuwa msafala wa kwanA ulishambuliwa ?
Pole sana.
Naona tutakesha hapa.
Endelea kujifariji.
 
Aisee hivi wewe bado umeelewa zile propaganda kuwa msafala wa kwanA ulishambuliwa ?
Pole sana.
Naona tutakesha hapa.
Endelea kujifariji.
sasa wewe unaejua msafara uliishia wapi si ndo utuambie ?🤔🤔🤔
 
Harafu anatokea pro[emoji635][emoji635] anakwambia Putin anapiga kuwaondoa wa NAZI nchini [emoji1255][emoji1255] kumbe jeshi lake limejaa haohao wa Nazi.
Kwanza askari gani unachora tatoo ???. Jeshi la [emoji635][emoji635] la kihuni sana
Mbona Marekani sio tattoo tu, Mpaka mashoga wanaruhusiwa katika majeshi Yao.
 
Back
Top Bottom