Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Mukideeee .... Niambie Langley wanasemaje Mzee mwenzangu.Pamoja sana Lavron Abromavich. Habari za Moscow
Mukideeee .... Niambie Langley wanasemaje Mzee mwenzangu.Pamoja sana Lavron Abromavich. Habari za Moscow
Mmekuwa watabiri.hii vita ikiisha na undugu umekwisha, hawezekan uuwe watu na kuharibu nch yao vile halafu kesho unaibuka na kusema eti sisi ni wamoja, ushawishi wa urusi ukraine utaishia kulekule east kwingine huku umekufa rasmi
Utasema tunaangalia Titanic vile kumbe ndio vile!Inauma lakini hatuna jinsiView attachment 2189350
maoni tu mkuu wala usipate tabu, waweza toa yako pia jukwaa lipo wazi
Tuhadithie Hapo ... Gaidi wa kujitoa mhanga ... Alijitoaje mhanga KULIPUA melivita... Walimpandisha au!!??Nishajibu hilo swala,kuwa USS Cole haikupigwa kwa missile bali ni gaidi wa kujitoa muhanga ndio alijilipua na meli haikuzama. Pia kuna conspiracy theory kuhusu kulipuliwa hii meli kuwa Israel inahusika kulipua hii meli kushinikiza madai yao yatimizwe na Marekani.
Undugu hauwezi kwishaa we huoni japani kagongwa NUKE'S na marekani enzi hizo ....kwani we umeona wana uadui mpaka leo au undugu umeisha ...hii vita ikiisha na undugu umekwisha, hawezekan uuwe watu na kuharibu nch yao vile halafu kesho unaibuka na kusema eti sisi ni wamoja, ushawishi wa urusi ukraine utaishia kulekule east kwingine huku umekufa rasmi
Wakati huo Ukraine itakuwa imebaki na eneo sawa na Rwanda. Hana bandari wala maeneo yote muhimu ya uchumi. Sasa atakuwa na faida gani?hii vita ikiisha na undugu umekwisha, hawezekan uuwe watu na kuharibu nch yao vile halafu kesho unaibuka na kusema eti sisi ni wamoja, ushawishi wa urusi ukraine utaishia kulekule east kwingine huku umekufa rasmi
Vip kuhusu hiki?Chombo kinatitiaView attachment 2189357
Hapa umenena mkuu kwq kukubali madhaifu yako ...[emoji3][emoji3][emoji3] wewe una elements za PUTIN ndani yako sema tu kuna pro nato nyani zina kuambukiza uchafu wao kutoka west na eurobasi sawa ukraine na urusi wataendelea kuwa marafiki
Yaani unaleta habari ya meli iliyo retired ipo museum zidi ya active combat ship iliyozamishwa?Vip kuhusu hiki?View attachment 2189434
Na udugu uko pale palebasi sawa ukraine na urusi wataendelea kuwa marafiki
Huyu mwamba ni number chafuView attachment 2188765
Uyo babu yenu anaweza akasimama kwa confidence kama huyu mwamba? Mwamba Anajiamini kwanza amefocus. PUTIN [emoji110][emoji635][emoji635]
hahaaUndugu hauwezi kwishaa we huoni japani kagongwa NUKE'S na marekani enzi hizo ....kwani we umeona wana uadui mpaka leo au undugu umeisha ...
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
yeah? nafikiri hio hali itasababishwa urusi kupendwa sn kwe ex-soviets state zilizopakana na urusiWakati huo Ukraine itakuwa imebaki na eneo sawa na Rwanda. Hana bandari wala maeneo yote muhimu ya uchumi. Sasa atakuwa na faida gani?
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
MKUU NIMEIPENDA HII KUTOKA KWENYE ARTICLE YAKO ......BIG UP BROOH [emoji109][emoji109]Russia atazidi kuimega Ukraine kwa sababu ameimaliza nguvu, Ukraine wamebaki na nguvu ya kuilinda Kyiv.
Alianza na Crimea akaikamata, hii vita ya sasa alitamani kuchukua yale majimbo ya East, akaona akiingia kwa style ya kuyachukua kama Crimea itakuwa ngumu na ataonekana muonevu.
Walichofanya nI kufanya mind game kama wanaelekea Kyiv, hapo NATO na US wakawekeza nguvu zao zote kuhakiki Kyiv haikamatwi, halafu baada ya kuhakikisha jamaa wamerudi nyuma, Russia inaelekea mashariki kukomboa majimbo.
Ukraine haina uwezo wa kuweka nguvu zake zote kwenye kulinda yale majimbo yasichukuliwe, Kwa kufanya hivyo lazima wachague wanailinda Kyiv ama majimbo ya East.
Russia walivyo washenzi wanakuambia wanakomboa wananchi ambao walikua kwenye uonevu na uongozi wa Ukraine.
Russia anaimega Ukraine kila siku na kwa akili sana, kumbuka Ukraine hana nguvu tena, hata akipata misaada ataweka nguvu zake zote Kyiv, atapigana mpaka tone la mwisho la jasho na damu kabla hajasurrender.
Russia kumbuka walisema hawatoivamia Ukraine lakini ghafla dunia ikashangaa vita imeanza.
Russia anaichezea akili dunia nzima na vyenga walivyopigwa hawana hamu.
Tazama mwanzoni waliposema wanafanya mazoezi mpakani, dunia ikaona kweli hawawezi kuvamia ,thubutuuu jamaa wakaingia[emoji23][emoji23], hio ni michezo ya akili tu.
Kwa picha aliyoitengeneza Russia ni Ukraine kuona bora wamelinda Kyiv, lakini Kyiv was not the main target trust me.
Hii vita itasimama na yale majimbo yatakua chini ya Russia, vita itaisha.
Vita ikiisha Ukraine itaona uchungu sana, watajiona wamefeli, watajiona wajinga waliochezewa akili kijinga, wataona wameingia hasara ya kuharibiwa miundo mbinu n.k, kwa sababu majimbo yapo chini ya Russia, watatamani tena kwenda kuyakomboa but its too late.
Wakijaribu kutumia nguvu ndio hapo utaona Kyiv inapigwa na kuwa chini yao, Russia ndipo itapata sababu ya kile ilichokuwa ina kitamani kuweka mtu wao, and at the end of the day, utashangaa Ukraine inasema ndio mzee kwenye kila jambo.
Kwa sababu katika kipindi hiki Russia atakua kwenye ardhi ya Ukraine ambapo anadai ni kwake, itakua threat kwa Ukraine.
Washamba wanashangilia meli moja ya Russia kupigwa, huo ni upuuzi tu, Russia anapigana vita ya akili, Ukraine anapigana vita ya Propaganda.
Propaganda maana yake ni uongo, na propaganda imefeli.
Mfano mmoja, Russia kwa kuweka vikwazo vya gas kwa nchi za Ulaya inasaidia kupunguza kasi ya kujihusisha kwa nchi za ulaya kwenye huu mgogoro, ili waendelee na utatuzi wa matatizo yao ya ndani haswa ya kiuchumi au kuleta mtafaruku wa moja kwa moja na wananchi, baadae utasikia wameruhusiwa kununua gas[emoji23][emoji23][emoji23], hili limefanya kazi kwa asilimia zote, sikia ujerumani wananchi wameambiwa waanze kubana matumizi, sambamba na kunywa maji ya bomba[emoji23][emoji23][emoji23], mgao wa gas.
Ukiangalia kwa upana utagundua Russia anaicheza karata yake vyema sana.
Amewa outsmart EU, USA na Nato.
Wajinga wanazidi kushangilia kifaru cha Russia na meli iliyozamishwa pasipo kujua kwamba Ukraine wanapoteza mchezo[emoji23][emoji23][emoji23], sasa kifaru kupigwa kwa nchi ambayo inauza silaha za kivita ni nini? Kile si chuma tu, tofautisha jimbo kuchukuliwa na meli, hapo ndipo unagundua kuna watu akili hamnazo.
amenHapa umenena mkuu kwq kukubali madhaifu yako ...[emoji3][emoji3][emoji3] wewe una elements za PUTIN ndani yako sema tu kuna pro nato nyani zina kuambukiza uchafu wao kutoka west na euro
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Ni kweli hata wao walijua Russia ni Superpower mwenzao lakini sasa ndio wanashitukia kuwa uwezo wa Russia ulikuwa overrated tofauti na uhalisia. Ndio maana wanazidi kumsapoti Ukraine ili kumchokonoa jamaa waendelee kumsoma. Huu mtego alioingizwa Putin uko well calculated. Ni suala la Muda tuEndelea kujidanganya!Kama Russia ni level ya Iraq,mbona Marekani inahofia kuingia kwenye mgogoro wa Kivita dhidi yake?
Wewe una akili kuliko hao intelligence unit ya US na NATO?
Kenge akili zenu zimehamia huko chini ....mnabaki mnafarijiana ujinga ....PUTIN atawafumua marnda yenu safari hii ...punguani ...Aisee
Utasema tunaangalia Titanic vile kumbe ndio vile!
Kuna habari humu katangaza vita ya tatu sababu ya meli, sasa sijajua kama ni habari sahihi au la.MKUU NIMEIPENDA HII KUTOKA KWENYE ARTICLE YAKO ......BIG UP BROOH [emoji109][emoji109]
Washamba wanashangilia meli moja ya Russia kupigwa, huo ni upuuzi tu, Russia anapigana vita ya akili, Ukraine anapigana vita ya Propaganda.
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
MWAMBA wa miamba kajua kuwakomesha wamarekani aiseeView attachment 2188765
Uyo babu yenu anaweza akasimama kwa confidence kama huyu mwamba? Mwamba Anajiamini kwanza amefocus. PUTIN [emoji110][emoji635][emoji635]