Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

cjui dunia gan unayomimaanisha maana mataifa ya magharibi yalipiga sn kelele kuwa urusi imerundka wanajeshi zaidi ya 100,000 mpkn ikijiandaa kuivamia ukraine lavrov akawa busy kukanusha kwe media kila siku kuwa hawana mpango wa uvamizi, hivi ni kweli ww makelele ya kuituhumu urusi kuwa inatk vamia ukraine ulikuwa huyasikii au tu ndio umelewa ushabiki,
Wacha kulia lia umesha kunywa uji ...??

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Ngojeni niwaandikie Gazeti la weekend [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi majuzi kati hapo zilipigwa kura ndani ya baraza la UN Human Right Council ambazo baada ya kura kupigwa zilihitimishwa kwa Russia kua suspended UN General Assembly votes to suspend Russia from the Human Rights Council kwenye hilo baraza letter nae akaamua kuterminate kabisa it's membership kwenye baraza hilo. https://news.cgtn.com/news/2022-04-...of-membership-of-UNHRC-193rV7qKb3a/index.html

Kutoka kwenye idadi ya kura zilizopigwa nahisi tunaeza kujifunza jambo. Idadi ya waliovote in Favour walikuwa 93, against walikuwa 24, ambao hawakupiga kura 58 na ambao hawakuepo ni 17.

Kwe hii table yaonesha Regions ya jumla yote ya washiriki waliopiga kura In favour na Against.
-5965273047009180827_122.jpg
Kwa hapo tunaona kua Western Europe, North America wakishiriki kwa 100% in favor, Eastern Europe wakishiriki kwa 94%... Haya ndio maeneo yaliyoshiriki kwa kiasi kubwa in favor katika kura zilizopigwa.

Then ukigeuka upande wa pili unaona Africa, Central Asia, Far East, MENA region na south Asia wakiwa against hii.

Hii inaleta picha gani? Turejee nyuma kidogo... Ukija in term of population ya hizo kura zilizopigwa kuna kitu cha ajab tunaeza kukiona...

In favour Zipo nchi 93 lakini ni 23.98% ya World Population.

Ambao wapo against ni Nchi 24 lakini ni 27.58% ya World Population.

Walio Abstain ni nchi 58 but ni 45.91% ya World Population.

Na wale ambao hawakuepo ni nchi ka 17 hivi ambao ni just 2.53% ya World Population.

So tukiamua tokeo hilo kwa idadi ya watu kupitia wawakilishi wake ni kama vile over 75% hawako in favor ya kile kilichotokea.

Anyway hapa sipo kuzungumzia uhalalali wa hizo kura ila kuna jambo nataka tulione ambalo binafs na wengineo twaliona kama ni ujio wa jambo ambalo inaonekana wahusika kutoka western ndicho wanachoambiwa wame"Miscalculate...

Jambo lenyewe ni huu mgawanyiko wa North West na South East. Tuzitumie data za siku hiyo kuona wapi ama upande upi wako na Unipolar na pande ipi wana embrace ujio wa Multipolarity...

Western experts wanaonesha wameshindwa ku-grasp kua the Global South is around 87% of the world's population, is in its ascendency and has a myriad of vertical growth markets now in play and is embracing the multipolar world.

If you create your own financial system and trade zones with 87% of global population you can default on your western centric obligations because you don't intend ever utilising it again.

Na hii nadhan ndio 7b ya Russia kuonekana kutoshtuka na assets zinazochukuliwa na [emoji241] wa magharibi...
Na nahisi vile vile ni 7b inayowaumiza kichwa Western kwa India na China...

Tukumbuke haya mataifa mawili INDIA NA CHIN pekee wamekusanya zaidi ya 36% of world Population. Yani katika watu 100 duniani kati yao 36 ni wachina na wahindi.
 
Kuna habari humu katangaza vita ya tatu sababu ya meli, sasa sijajua kama ni habari sahihi au la.

Bwana Tsh ...ebu jaribu kufuatilia source zingine source yako isiwe JF tu humu kuna ushabiki mwingi mno o angalia kwungine huenda ukapata kile unachotaka kukihakiki maana hii ishu sijaitafiti ..........alafu sizani eti ni kwa sababu ya meli ndo maana katangaza hivo ........

Ila russia hata kama kasema hivo vita ya tatu ana haki yakusema hivo alishaona hii batle hapigani na ukraine bali anapigana na ulaya yote na marekani australia japani ...
Na wanapigana nae INDIRECT WAR .inshort ..anapambana na dunia yenye uchumi mkubwa na wenye fedha kwa faida yao ......kwa upande wa russia sasa yeye anasema washa moto mimi nimwagilizie petrol ili wote tuanze upya na hapo tutaheshimiana tu........
.ishu iliopo hapa ni hao westen kumwaga silaha ukraine ...

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Bwana Tsh ...ebu jaribu kufuatilia source zingine huenda ukapata kile unachotaka kukihakiki maana hii ishu sijaitafiti ..................

Ila russia hata kama kasema hivo vita ya tatu ana haki yakusema hivo alishaona hii batle hapigani na ukraine bali anapigana na ulaya yote na marekani australia japani ...
Na wanapigana nae INDIRECT WAR .inshort ..anapambana na dunia yenye uchumi mkubwa na wenye fedha kwa faida yao ......kwa upande wa russia sasa yeye anasema washa moto mimi nimwagilizie petrol ili wote tuanze upya na hapo tutaheshimiana tu...

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Sijaona kwenye vyombo vingine vya habari zaidi ya Express news. Kuna uwezekano si taarifa rasmi.
 
​

Hal Turner Radio Show

World​

VIDEO: NATO Shipping MiG-29's into Ukraine, Disassembled, by Flatbed Truck​

WORLD NEWSDESK 15 APRIL 2022 HITS: 12866
VIDEO:  NATO Shipping MiG-29's into Ukraine, Disassembled, by Flatbed Truck

Video has emerged from inside the conflict zone showing NATO transporting MiG-29's into Ukraine by flatbed truck. The aircraft are partially disassembled, the fuselage is covered with camouflage netting to obscure visual imagery from above (satellites) and the planes are taken over-the-road, into Ukraine.
The six-seconds of video, below, shows NATO being caught in the act:
See video here in link👇

Looks like Ukrainian MiG-29s are being transported in different parts across roads. Would be interesting if this is how "donated" MiG-29s from NATO countries are being transported into Ukraine to not lure Russian airstrikes.
There are Unconfirmed reports coming out of Russia today that the Russian Federation is preparing to Formally Declare War on Ukraine in response to the sinking of the Russian Black Sea’s Flag-Ship “Moskva.” (Story HERE) This would allow the Russian Government to begin Mass Conscription as well as Economic War Actions.
 
Hayo machuma yaliyoshindwa kuilinda meli yao wenyewe ndio itaweza kuilinda India?
We jitekenye tu...Muulize Biden kwa nini serikali ya Marekani ilikuwa ikimuomba Erdogan/Turkey apeleke S-400 Ukraine ikailinde Ukraine badala ya yeye Biden kupeleka yale mavyuma chakavu yake ya Patriot PAC-3 na THAAD
 
Na wanapigana nae INDIRECT WAR .inshort ..anapambana na dunia yenye uchumi mkubwa na wenye fedha kwa faida yao ......kwa upande wa russia sasa yeye anasema washa moto mimi nimwagilizie petrol ili wote tuanze upya na hapo tutaheshimiana tu........
.ishu iliopo hapa ni hao westen kumwaga silaha ukraine ...

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
si pro russia hatukubalian naww tushasema russia ni taifa tajiri lenye rasilimali bwelele...usiturudishe nyuma
 
Ngojeni niwaandikie Gazeti la weekend
emoji1787.png
[

Bwana Tsh ...ebu jaribu kufuatilia source zingine source yako isiwe JF tu humu kuna ushabiki mwingi mno o angalia kwungine huenda ukapata kile unachotaka kukihakiki maana hii ishu sijaitafiti ..........alafu sizani eti ni kwa sababu ya meli ndo maana katangaza hivo ........

Ila russia hata kama kasema hivo vita ya tatu ana haki yakusema hivo alishaona hii batle hapigani na ukraine bali anapigana na ulaya yote na marekani australia japani ...
Na wanapigana nae INDIRECT WAR .inshort ..anapambana na dunia yenye uchumi mkubwa na wenye fedha kwa faida yao ......kwa upande wa russia sasa yeye anasema washa moto mimi nimwagilizie petrol ili wote tuanze upya na hapo tutaheshimiana tu........
.ishu iliopo hapa ni hao westen kumwaga silaha ukraine ...

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Huyu mwamba Tsh nilianza kumuelewa lakini naye amehama kwenye facts ekuwa hoyahoya .... Hii lugha nairudia tena " HATUNA MAAMUZI YEYOTE KWA KINACHOENDELEA UKRAINE, HAKUNA ANAYEJUA "blueprint" ya OP YA 1 WALA YA 2... HAKUNA AJUAYE UKRAINE KAKAAA KAAAJE".. SISI TUPIGE SOGA ..tukumbushane matukio yanayotokea ama yaliyotokea ...lakini huuu U-KEYBOARD WARRIOR... acheni... Letaaaa kashata sinia mbili na kahawa thomo mbili...
 
.​

There are Unconfirmed reports coming out of Russia today that the Russian Federation is preparing to Formally Declare War on Ukraine in response to the sinking of the Russian Black Sea’s Flag-Ship “Moskva.” (Story HERE) This would allow the Russian Government to begin Mass Conscription as well as Economic War Actions.
duh! lkn urusi ilishasema kuwa meli haikushambuliwa, sasa watatumiaje kuzama kwa meli km sababu ya kutangaza vita??
 
Ngojeni niwaandikie Gazeti la weekend [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi majuzi kati hapo zilipigwa kura ndani ya baraza la UN Human Right Council ambazo baada ya kura kupigwa zilihitimishwa kwa Russia kua suspended UN General Assembly votes to suspend Russia from the Human Rights Council kwenye hilo baraza letter nae akaamua kuterminate kabisa it's membership kwenye baraza hilo. https://news.cgtn.com/news/2022-04-...of-membership-of-UNHRC-193rV7qKb3a/index.html

Kutoka kwenye idadi ya kura zilizopigwa nahisi tunaeza kujifunza jambo. Idadi ya waliovote in Favour walikuwa 93, against walikuwa 24, ambao hawakupiga kura 58 na ambao hawakuepo ni 17.

Kwe hii table yaonesha Regions ya jumla yote ya washiriki waliopiga kura In favour na Against. View attachment 2189445 Kwa hapo tunaona kua Western Europe, North America wakishiriki kwa 100% in favor, Eastern Europe wakishiriki kwa 94%... Haya ndio maeneo yaliyoshiriki kwa kiasi kubwa in favor katika kura zilizopigwa.

Then ukigeuka upande wa pili unaona Africa, Central Asia, Far East, MENA region na south Asia wakiwa against hii.

Hii inaleta picha gani? Turejee nyuma kidogo... Ukija in term of population ya hizo kura zilizopigwa kuna kitu cha ajab tunaeza kukiona...

In favour Zipo nchi 93 lakini ni 23.98% ya World Population.

Ambao wapo against ni Nchi 24 lakini ni 27.58% ya World Population.

Walio Abstain ni nchi 58 but ni 45.91% ya World Population.

Na wale ambao hawakuepo ni nchi ka 17 hivi ambao ni just 2.53% ya World Population.

So tukiamua tokeo hilo kwa idadi ya watu kupitia wawakilishi wake ni kama vile over 75% hawako in favor ya kile kilichotokea.

Anyway hapa sipo kuzungumzia uhalalali wa hizo kura ila kuna jambo nataka tulione ambalo binafs na wengineo twaliona kama ni ujio wa jambo ambalo inaonekana wahusika kutoka western ndicho wanachoambiwa wame"Miscalculate...

Jambo lenyewe ni huu mgawanyiko wa North West na South East. Tuzitumie data za siku hiyo kuona wapi ama upande upi wako na Unipolar na pande ipi wana embrace ujio wa Multipolarity...

Western experts wanaonesha wameshindwa ku-grasp kua the Global South is around 87% of the world's population, is in its ascendency and has a myriad of vertical growth markets now in play and is embracing the multipolar world.

If you create your own financial system and trade zones with 87% of global population you can default on your western centric obligations because you don't intend ever utilising it again.

Na hii nadhan ndio 7b ya Russia kuonekana kutoshtuka na assets zinazochukuliwa na [emoji241] wa magharibi...
Na nahisi vile vile ni 7b inayowaumiza kichwa Western kwa India na China...

Tukumbuke haya mataifa mawili INDIA NA CHIN pekee wamekusanya zaidi ya 36% of world Population. Yani katika watu 100 duniani kati yao 36 ni wachina na wahindi.
Ahsante MKUU
 
Urusi yenyewe ilichangiwa kushinda WW2 kwa Lend Lease program ambayo ilipitishwa na Marekani. Silaha, ammunition na spares ilipewa nyingine kwa msaada wa Marekani.

Bado Russia alijua Ukraine watapewa silaha na alisema atashambulia watakaompa silaha. Ashambulie Poland na UK wafanye kutumia Article 5 ya NATO
Tena bila hiyo lend lease, Stalin asingemuweza Hitler kabisa, ilifika kipindi askari wa Urusi walikuwa wanapewa bunduki moja watumie askari wawili, yaani walizidiwa mno.

Huenda ndio sababu ya Usovieti kupoteza askari wengi mno kuliko nchi zingine washirika.
 
Ngojeni niwaandikie Gazeti la weekend [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi majuzi kati hapo zilipigwa kura ndani ya baraza la UN Human Right Council ambazo baada ya kura kupigwa zilihitimishwa kwa Russia kua suspended UN General Assembly votes to suspend Russia from the Human Rights Council kwenye hilo baraza letter nae akaamua kuterminate kabisa it's membership kwenye baraza hilo. https://news.cgtn.com/news/2022-04-...of-membership-of-UNHRC-193rV7qKb3a/index.html

Kutoka kwenye idadi ya kura zilizopigwa nahisi tunaeza kujifunza jambo. Idadi ya waliovote in Favour walikuwa 93, against walikuwa 24, ambao hawakupiga kura 58 na ambao hawakuepo ni 17.

Kwe hii table yaonesha Regions ya jumla yote ya washiriki waliopiga kura In favour na Against. View attachment 2189445 Kwa hapo tunaona kua Western Europe, North America wakishiriki kwa 100% in favor, Eastern Europe wakishiriki kwa 94%... Haya ndio maeneo yaliyoshiriki kwa kiasi kubwa in favor katika kura zilizopigwa.

Then ukigeuka upande wa pili unaona Africa, Central Asia, Far East, MENA region na south Asia wakiwa against hii.

Hii inaleta picha gani? Turejee nyuma kidogo... Ukija in term of population ya hizo kura zilizopigwa kuna kitu cha ajab tunaeza kukiona...

In favour Zipo nchi 93 lakini ni 23.98% ya World Population.

Ambao wapo against ni Nchi 24 lakini ni 27.58% ya World Population.

Walio Abstain ni nchi 58 but ni 45.91% ya World Population.

Na wale ambao hawakuepo ni nchi ka 17 hivi ambao ni just 2.53% ya World Population.

So tukiamua tokeo hilo kwa idadi ya watu kupitia wawakilishi wake ni kama vile over 75% hawako in favor ya kile kilichotokea.

Anyway hapa sipo kuzungumzia uhalalali wa hizo kura ila kuna jambo nataka tulione ambalo binafs na wengineo twaliona kama ni ujio wa jambo ambalo inaonekana wahusika kutoka western ndicho wanachoambiwa wame"Miscalculate...

Jambo lenyewe ni huu mgawanyiko wa North West na South East. Tuzitumie data za siku hiyo kuona wapi ama upande upi wako na Unipolar na pande ipi wana embrace ujio wa Multipolarity...

Western experts wanaonesha wameshindwa ku-grasp kua the Global South is around 87% of the world's population, is in its ascendency and has a myriad of vertical growth markets now in play and is embracing the multipolar world.

If you create your own financial system and trade zones with 87% of global population you can default on your western centric obligations because you don't intend ever utilising it again.

Na hii nadhan ndio 7b ya Russia kuonekana kutoshtuka na assets zinazochukuliwa na [emoji241] wa magharibi...
Na nahisi vile vile ni 7b inayowaumiza kichwa Western kwa India na China...

Tukumbuke haya mataifa mawili INDIA NA CHIN pekee wamekusanya zaidi ya 36% of world Population. Yani katika watu 100 duniani kati yao 36 ni wachina na wahindi.
Tatizo ni nchi masikini [emoji3] Dunia iko west Europe na North America tu huko kwingine ni njaaaaa

Hivi unajua uchumi wa kakisiwa ka UINGEREZA chenye watu 67milion kanauzidi uchumi wa Bara Zima la AFRICA lenye watu 1.2 billion????
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sijaona kwenye vyombo vingine vya habari zaidi ya Express news. Kuna uwezekano si taarifa rasmi.
Ndo maana nikakwambia humu ushabiki ni mwingi mnoo hasa kwenye huu mtifuano kati ya russia na ukraine hususani kwenye hii thread ......na kama hujaona kwa source zingine basi hiyo habari ya russian kudeclare WWIII ni za uongo ...........

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mwamba Tsh nilianza kumuelewa lakini naye amehama kwenye facts ekuwa hoyahoya .... Hii lugha nairudia tena " HATUNA MAAMUZI YEYOTE KWA KINACHOENDELEA UKRAINE, HAKUNA ANAYEJUA "blueprint" ya OP YA 1 WALA YA 2... HAKUNA AJUAYE UKRAINE KAKAAA KAAAJE".. SISI TUPIGE SOGA ..tukumbushane matukio yanayotokea ama yaliyotokea ...lakini huuu U-KEYBOARD WARRIOR... acheni... Letaaaa kashata sinia mbili na kahawa thomo mbili...
Mkuu hatujawahi kuelewana kuhusiana na hili suala. Tuna mitazamo tofauti.

Hili uliloandika hapa linathibitisha sababu kama unavyosema, sijatoa maamuzi yoyote ambayo hayajawekwa wazi na wahusika ila nilichofanya ni kutoa link ya habari iliyopo humu ambayo nimekiri sina hakika na uhalali wa habari yenyewe ila umenishambulia kwa sababu umeona nafasi ya kufanya hivyo na kwa sababu unajua kabisa sipo upande wa Urusi kuivamia Ukraine na wewe unasapoti hilo.
 
Ndo maana nikakwambia humu ushabiki ni mwingi mnoo hasa kwenye huu mtifuano kati ya russia na ukraine hususani kwenye hii thread ......na kama hujaona kwa source zingine basi hiyo habari ya russian kudeclare WWIII ni za uongo ...........

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
kweli kabisa
 
Back
Top Bottom