Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu mwamba Tsh nilianza kumuelewa lakini naye amehama kwenye facts ekuwa hoyahoya .... Hii lugha nairudia tena " HATUNA MAAMUZI YEYOTE KWA KINACHOENDELEA UKRAINE, HAKUNA ANAYEJUA "blueprint" ya OP YA 1 WALA YA 2... HAKUNA AJUAYE UKRAINE KAKAAA KAAAJE".. SISI TUPIGE SOGA ..tukumbushane matukio yanayotokea ama yaliyotokea ...lakini huuu U-KEYBOARD WARRIOR... acheni... Letaaaa kashata sinia mbili na kahawa thomo mbili...
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwamba mjanja mjanja hataki kuonekana kaegemea upande upi ila ukimchunguza kwq umakini utagundua jamaa ni pro westrn na nato

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni nchi masikini [emoji3] Dunia iko west Europe na North America tu huko kwingine ni njaaaaa


Hivi unajua uchumi wa kakisiwa ka UINGEREZA chenye watu 67milion kanauzidi uchumi wa Bara Zima la AFRICA lenye watu 1.2 billion????
[emoji3][emoji3][emoji3]
Cha asubuh shida ako cha mchana hukioni, Just kidding tu so usikasirike.

Ona sikia jamaa angu, toka miaka kadhaa dunia imekuwa ikitengenezwa katika mfumo wa duara. Katika mfumo wa kumlisha mtawala. Katika mfumo wa kuhudumia kati huku pembezoni pakibaki wazi.

Uchumi ni nini? Uchumi sio GDP hiyo ambayo unaenda kulinganisha kwa kutumia number rafiki angu, uchumi ni shughuli za kibinadam kuanzia level ya chini ya udhalishaji wa malighafi mpk level ya juu ya habari na usambazaji wa bidhaa.

Si kweli kwamba dunia iko Magharibi, bali Dunia ni Dunia, isipokuwa sie viumbe tuna hulka ya kutumiana [emoji847]... Ukitaka kuona watu wamechoshwa vipi na huo mfumo wa kutumiana angalia response wanayoitoa kwenye hili zogozogo linaloendelea.

Ukiwa na macho mazuri utawaona Western wanajua tunakoelekea na ndipo utapoona hao [emoji241] wakikazana kuhakikisha haliwi na kuvunja umoja wowote utaojitokeza upande wa Global South...

Ukiachana na hilo kuhusu Africa kua maskin hiyo ni story nyingine wala haihusiani kabisa na kile kilengwa cha hapa. Em jiulize Bara ka la Afrika, limejaa rasilimali za kutosha, lina hadhina za kutosha ila zote zinabebwa zinapelekwa nje huku Raia wake wakibaki kua maskin wa kutupwa utasema Dunia iko magharibi?

Moja ya kitu kibaya na cha kinyama ambacho Global South imewah kufanyiwa ni kupandikizwa "Inferiority Complex" kwenye mind zao. Global South inavunwa na hawa mabepari wa magharibi... Global south sio masikini bali wametengenezwa kua maskini ili exploitation iendelee...
images-2.jpg
Huu ni mfano tu kwq Africa. Na kitendo ambacho viongozi hawa hawa mnaowaweka wanabariki upuuzi huo.

Na ikitokea akaja wa kutaka kujinasua utaona namna atakavoshambuliwa na kuondolewa madarakani...

Shida kubwa tunajichukulia we are nothing but they(hao kua) are something kwenye kila sphere of life. Na hiyo ndio imekuwa silaha ya kujimaliza wenyewe hatufanyi kitu mpaka watupangie na vile walivojiweka kiasi cha kufanya ukiwa na kipaji ukipata pesa unakimbilia kwao kujenga na sio kuimarisha sehem ulipo...

Kuna ka aina flan hv ka utumwa kukavuka ndio ukombozi wetu ila hakuna mwenye Gut hiyo na akitokea basi hatodum lazima ataondolewa...

Language ni Pillar y Communication skills, mawasiliano mazuri yanaleta uelewa mzuri hivo kuchochea maendeleo. Uzae mtoto usukuman, lugha ake ya kwanza iwe kisukuma, akue aanze kujifunza kiswahili, atoke kiswahil ajifunze lugha ya beberu, ndio aanze kujifunza maarifa. Huyu atakuja kukukomboa lini? Unaeza kunipa mfano wa nchi iliyoendelea inayotumia lugha ya mgeni kujielimisha? Huu ni moja ya mfano wa majanga yanayotukabir.

We need to be free, tukiwa free ndio tutaeza fanya maendeleo yetu. Ila sasa major regions of the world ipo utumwani kuwatumikia watawala wa dunia. Hatufanyi kwa ajil yetu bali kwao.
 
He announced his intention to allocate an additional €100 billion after the start of the Russian special operation in Ukraine: “We will invest more than 2% of GDP in our defense.”

However, Handelsblatt notes that the additional payments are not taken into account in the draft budget for 2022. Moreover, until 2025 the defense budget is €50 billion, which is even less than 2% of GDP (€75 billion).

To implement the plan for additional funds for defense, Chancellor Scholz will need to amend the Constitution, the publication adds.
Galip S-22
20220413_132729.png
 
Due to the influx of refugees, the EU will buy armored helmets and bulletproof vests for border guards in Poland.

For this, it is planned to allocate € 216.9 thousand. RT got acquainted with the description of the tender of the European Union agency for the security of external borders (Frontex).

The document emphasizes that additional protective equipment will be required to ensure that all deployed forces are provided with personal body armor in a timely manner.
Galip S-22
20220413_132729.png
 
Hahaha. Na kweli sijaona ukipost sana.
Mi nachagiza tu... Kwa nnachoelewa ntaeleza ... Nisichoelewa ntauliza Nipewe maelezo.. shida inakuja unao wauliza wanakula na shombo badala ya kujibu swali.. hawajui HATA WAHUNI TUNAZEEKA .... HATUPOTEZI TOUCH(LADHA) tunaamua tu kupotezea akikaza fuvu unampa mbili tatu anarudi vizuri.. bless bro ... Tujenge hoja ..sio ushabiki hoyahoya..
 
British special forces resumed training of the Ukrainian military in Kyiv and its environs.

This was reported to The Times by Ukrainian officers.

So, according to Captain Yuri Mironenko, about two weeks ago, soldiers of the British Special Air Service (SAS) in Kyiv taught people how to use the NLAW anti-tank systems.

Instructors from the UK had previously worked with Ukrainian military personnel, but in mid-February, the Ministry of Defense of the kingdom withdrew them.

The department then said that in the event of a conflict between Russia and Ukraine, the British would not participate in the battles.
Galip S-22
20220413_132729.png
 
Kifupi SAS , Navy Seal na Muisrael wapo Ground. Na hii vita inapigwa kutoka Pentagon Telaviv na UK. Russia anachokipata hakutegemea. Chen chen wana casualties sasa. Inakoelekea Ukraine itabaki Magofu tu na madeni kibao why russia kajitoa mhanga
SIoni wako. Hakuna uthibitisho, HAsa Waisraeli hawataingia. Walitunza muda wote maelewano fulani ni Urusi kwa sababu ya Syria. Waisraeli waliweza kuendelea na Asssat ambaye si hatari kwao. Wana wasiwasi kuhusu Wairani ndani ya Syria na Warusi hawawazuii kupiga Wairani wakurusha roketi Israel.
Pia wengine hawako. Kama Waingereza wanatuma kweli askari halisi kwa siri ni hatari kidogo, hgata kama ni mafunzo pekee.
 
For eight long years, Russia has repeatedly called for a peaceful resolution of the conflict, but Kyiv did not want to hear.”

Ukraine announced the start of an "anti-terrorist" operation in Donbass in April 2014.

The reason for the so-called ATO is the disobedience of the inhabitants of the region to the new Kiev regime that came to power after the Euromaidan.

On the chronology of the armed conflict - RT correspondent Maria @RealMariaFinoshina Finoshina, who has been there several times during the hostilities.
Galip S-22
20220411_223049.png
 
The Foreign Ministry confirmed that they sent notes to a number of countries, including the United States, because of the supply of weapons to Ukraine.

“Yes, they sent it,” Maria @MariaVladimirovnaZakharova Zakharova told RIA Novosti. To a clarifying question, to which countries the note was sent, she replied: “To everything.”

Earlier, The Washington Post wrote that the United States received a document from Russia demanding to stop arming Ukraine.
Galip S-22
20220413_132729.png
 
Lakini hamjajua tu approval rate ya Biden imepungua sana mpaka 49% kwahiyo mwacheni Biden aendelee kusupport hiyo vita ataishia kuwekwa bench uchaguzi huku Putin anapaa kwenye approval mpaka 78%...Ujerumani inajaribu kuongea na Ukrain lakini Zeleski anaweka kichwa ngum lakini vikwazo vinaumiza wote Europe na Marekani.
 
Mi nachagiza tu... Kwa nnachoelewa ntaeleza ... Nisichoelewa ntauliza Nipewe maelezo.. shida inakuja unao wauliza wanakula na shombo badala ya kujibu swali.. hawajui HATA WAHUNI TUNAZEEKA .... HATUPOTEZI TOUCH(LADHA) tunaamua tu kupotezea akikaza fuvu unampa mbili tatu anarudi vizuri.. bless bro ... Tujenge hoja ..sio ushabiki hoyahoya..
Upo sawa sana mkuu.
 
Threat that you will allow people to speak freely, and we will crush your enterprises!"

Fox News host Tucker Carlson said that Musk went for broke in deciding to buy all of Twitter's shares and possibly end its censorship. This, according to him, is trying to prevent the White House:

“You can’t help but wonder: what kind of company is Twitter? Obviously, this is not one of those companies whose goal is to make money. This company exists to censor speech. That is her whole purpose.

A Fox Business correspondent said, and I quote, "A source in the judiciary told Fox Business that the Securities and Exchange Commission and the Justice Department have launched a 'joint investigation' into a variety of Musk's regulatory issues, mostly related to Tesla."

Earlier, Saudi Prince Al-Waleed bin Talal, the largest shareholder of Twitter, rejected Elon Musk's offer to buy the social network.
Galip S-22
20220413_132729.png
 
Mpaka sasa kuna majibu mawili kwamba Neptune ndio ilitumika kupiga meli, na wamepiga mawili, haya tuelezeeni Neptune zinafanya vipi kazi?

Je zilishawahi kutumika kwenye OP yeyote?
Hizi Neptuni ni mpya sana, ona R-360 Neptune - Wikipedia

Uwezekano mkubwa iligonga roketi iliyokuwa tayari kwenye staha ya Moscow, hivyo kuongeza nguvu ya mlipuko. Kwa kawaida Moscow ilikuwa kubwa kidogo kwa nguvu ya Neptune.
 
Back
Top Bottom