Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

We jamaa bhana we mfano majambazi yanakuja kwako kukuibia kila wiki kwa akili zako hizi we unaona wako sawa wanachokifanya ........rwanda hapo kwa kagame nchi yao inajengwa kupitia resource za congo kwa njia ya mauaji wewe kwako ni sawa tu anavofanya .......

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Congo wanajua hili?

Na kama hawajui ni kwanini hawajui wewe unajua?

Kama wanajua kwanini wapo kimya,na kama wanapambana wanapambana na Nani rwanda au?

kwanini wasipambane na rwanda moja kwa moja kama ushahidi wa wazi upo? Au ni stories tu?
 
si pro russia hatukubalian naww tushasema russia ni taifa tajiri lenye rasilimali bwelele...usiturudishe nyuma
HII IMETOKA KWA BWANA GALLIP S--22 ebu pitia hizo nyundo kwanza akili ikukae sawa

Na mie nauliza swali la kizushi vile vile [emoji1787]...

[emoji298]Vietnam North and South walipigana kwa miaka 20 kutoka 1955 hadi 1975

[emoji298]Hapo Afghanistan kutoka 2001 hadi 2021 ni miaka 20...

[emoji298]Iraqi kutoka 2003 hadi 2011 ni miaka 8...

[emoji298]Libya kutoka March 31 hadi October 31 ni miezi 7.

[emoji298]Sudanese Civil wars ilianza toka 1983 hadi 2005...

Hizo nchi zilikuwa matajiri kiasi gani kusurvive mda wote huo [emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Ongeeni Yote but United Kingdom wanafikiria mipango ya mbali sana... Yaani Russia povu analowatolea Uingereza ni kubwa aisee... Jamaa wanapeleka Silaha kimkakati sana
 
si pro russia hatukubalian naww tushasema russia ni taifa tajiri lenye rasilimali bwelele...usiturudishe nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu kati ya russian na western ni nani nai maskini wewe angalia wameweka vikwazo lakini vina warudi wao wenyewe ...

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Lakini hamjajua tu approval rate ya Biden imepungua sana mpaka 49% kwahiyo mwacheni Biden aendelee kusupport hiyo vita ataishia kuwekwa bench uchaguzi huku Putin anapaa kwenye approval mpaka 78%...Ujerumani inajaribu kuongea na Ukrain lakini Zeleski anaweka kichwa ngum lakini vikwazo vinaumiza wote Europe na Marekani.
Hivi huko kupendwa kwa Putin mnakitumia kipimo gani? Mtu ambaye anawaogopa maafisa wake mnasemaje anakubalika?
images (17).jpeg
 
Congo wanajua hili?

Na kama hawajui ni kwanini hawajui wewe unajua?

Kama wanajua kwanini wapo kimya,na kama wanapambana wanapambana na Nani rwanda au?

kwanini wasipambane na rwanda moja kwa moja kama ushahidi wa wazi upo? Au ni stories tu?
Mi nimekupa mfano tu wa rwanda to congo lakin hapo congo kuna mataifa mengi tu yanaiharibu hiyo nchi .....asa kwa kauli yako uliosema dunian hatuko sawa na wala hatufanani ni kweli lakini swali langu linabaki kuwa pale pale je wewe unaona ni sawa kwa wanachokifanya kuonea wengine ili kujinufaisha ...wao. alafu mna watetea kwa kusema kisiwa kidogo lakini wana uchumi mkubwa kuliko bara la africa ....

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe jomba una mahaba.. sasa ka haiwezi shindana nao ikawaje ikawa ya 11 duniani katika nchi with the biggest economy duniani? Na katika hizo 10 zilizotangulia. Kuna China, India na Japan ziko Asia... Brazil nayo haipo kwenye hicho kikosi cha Int Community...

So out of all Westerners walioshupaza shingo kwa Russia ni US, Germany, UK, France, Italy na Canada walio juu yake in term of GDP. Je hao waliobaki ni akina nani?

Unasema hawezi shindana nao, ila wanaojua uchumi wanakwambia kua ENERGY ndio backbone ya uchumi sehem yoyote ile duniani. Russia ana supply energy to EU hawa ma capitalist kwa about 40%... Kwa hiki kiasi kama una akili unajua uchumi wa EU uko mgongoni kwa nani?

Kama hiyo haitoshi kukupa Alarm ya uchumi wao umeegema au unamtegemea nani unaeza kutueleza why baada ya ku'impose sanctions kwa Russia... Hivi vikwazo vinawaumiza wao zaidi kiuchumi kuliko Russia???

Boy uko serious kweli au na we ni katoto ka wale nisje kua napoteza mda wangu tu bure apa [emoji848]
kijana sisi ni watanzania punguza mihemko[emoji1](joking)

nashangaa mpaka sasa hivi bado ujaelewa point yangu ya wazi kabisa...

Ulivyo itaja Brazil na India nimeelewa najenga hoja na mtu wa namna gani?

Nalogi ofu.....
 
Nishajibu hilo swala,kuwa USS Cole haikupigwa kwa missile bali ni gaidi wa kujitoa muhanga ndio alijilipua na meli haikuzama. Pia kuna conspiracy theory kuhusu kulipuliwa hii meli kuwa Israel inahusika kulipua hii meli kushinikiza madai yao yatimizwe na Marekani.
Frank Wanjiru unadanganya na kujaribu kupindisha ukweli,mie habari za hiyo meli USS Cole nazijua nje ndani,naona hapa tutakesha.
Ukichunguza mada zangu au makala zangu kuhusu USA na Russia Huwa sipendi kubishana sana na wewe,kwa sababu wewe unachukulia mijadala hii kama mijadala ya Simba ya yanga,wakati tunatakiwa tufanye mijadala kwa fact.
Halafu Mimi ni mvivu sana wa kuandika.
USS Cole ilorushiwa kombora kutoka kwenye boti na magaidi huko Yemen sio bomu la kujitoa mhanga.
Mabaharia walifanya kazi ya ziada kuuzima moto mkubwa uliosanabishwa na kombora hilo.
 

Ukraine says it downed Russian cruise missiles fired at Lviv region​

From CNN's Olga Voitovych in Lviv

The head of the Lviv regional military administration in western Ukraine said Ukrainian anti-aircraft systems downed Russian cruise missiles that were fired on Saturday morning toward the Lviv region.

Ukraine hii mifumo wanaificha wapi?
 
Kifupi SAS , Navy Seal na Muisrael wapo Ground. Na hii vita inapigwa kutoka Pentagon Telaviv na UK. Russia anachokipata hakutegemea. Chen chen wana casualties sasa. Inakoelekea Ukraine itabaki Magofu tu na madeni kibao why russia kajitoa mhanga
Kama chanzo ni wewe mwenyewe baada kuvimbiwa daku basi ni matumizi mabaya ya muda na bando bora hiyo pesa ungekunywa safari ya moto
 
Hasara nyingine Kwa Urusi baada ya meli kuzamishwa.Kifaru Cha kisasa,hatari na ghali Cha Urusi,T-72 chateketezwa na Jeshi la Ukraine, huko mashariki mwa nchi[emoji848]
Chanzo vya Facebook, haupo serious
 
waziri wa ulinzi wa Tanzania bado tu hajaomba kuongezewa bajeti ya wizara yake kama wafanyavyo mataifa mengineyo mfano america, germany. Hawa warusi wamezua balaa mwaka huu, nchi masikini inawatetemesha matajiri mpaka wanajiongezea ulinzi. Hivi hawa watu wanatumia teknolojia gani inayowapa uwezo wa kutarget eneo husika kwa usahihi kwa njia ya makombora, ni siku chache tu hapo russia waliondoka mji wa kiev ila cha kushangaza bado wanafanikiwa kuushambulia mji huo. Kweli mzungu hauzi kahawa kwa birika.
 
Sasa kama watafika huko ni OP au vita?
Tangu mwanzo ilikuwa ni Vita kamili,achana na Wakomunist wanaojifariji hapa.Wengine wametafuta sababu za kukana meli haikulipuliwa na Ukraine huku Boss wao Putin kawaka kwa hasira akiapa kulipa kisasi kwa meli yake kuzamishwa.Sasa ukiwauliza wakomunist wa hapa JF kama meli ilipata hitilafu na kuzama yenyewe,iweje Putin afure kwa hasira za kulipa kisasi.Hawana jibu.
 


India receives components of 2nd unit of S-400 Surface to air missile system from Russia

As reported by India Today, Russia has delivered a consignment of S-400 amid the ongoing conflict between Russia and Ukraine. The consignment of S-400 missile system was delivered by ship and is now operational. Parts of the missile system arrived via both air and sea routes and were quickly deployed in the designated locations. There are no delays in the delivery of S-400 components and its going on as per planned. Apart from S-400, India has also received the overhauled engines from Russia
 
Back
Top Bottom