Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tatizo ni nchi masikini [emoji3] Dunia iko west Europe na North America tu huko kwingine ni njaaaaa


Hivi unajua uchumi wa kakisiwa ka UINGEREZA chenye watu 67milion kanauzidi uchumi wa Bara Zima la AFRICA lenye watu 1.2 billion????
[emoji3][emoji3][emoji3]
nchi maskini mkuu! kwa vigezo vipi?
 
duh! lkn urusi ilishasema kuwa meli haikushambuliwa, sasa watatumiaje kuzama kwa meli km sababu ya kutangaza vita??
Mkuu meli ilishambuliwa,lakini hiyo ndiyo vita yenyeywe.Lazima ufiche ukweli ili kuendelea kuwapa wapiganaji na wananchi morale.Remember Putin needs the support of his people in the war efforts.Na support of the citizenry ndiyo inayowapa pia fighters morale!
 
Mkuu hatujawahi kuelewana kuhusiana na hili suala. Tuna mitazamo tofauti.

Hili uliloandika hapa linathibitisha sababu kama unavyosema, sijatoa maamuzi yoyote ambayo hayajawekwa wazi na wahusika ila nilichofanya ni kutoa link ya habari iliyopo humu ambayo nimekiri sina hakika na uhalali wa habari yenyewe ila umenishambulia kwa sababu umeona nafasi ya kufanya hivyo na kwa sababu unajua kabisa sipo upande wa Urusi kuivamia Ukraine na wewe unasapoti hilo.
Sijakushambulia jombaaa... Samahani lakini kama lugha niliyotumia imekuchanganya lakini ni kiswahili hikihiki... Blessings mi nimebaki kwa kiasi kikubwa kuwa mtazamaji tu... Na kuongeza ubani kwenye chetezo pale unapopelea.
 
Kyiv imepelekewa moto mkali mnooo...

Makombora ya shabaha kali ya masafa marefu ya Russia leo yamemiminwa mjini Kyiv na kuangamiza kiwanda cha silaha kwenye mji wa Kyiv, kiwanda cha kutengeneza magari vita, na yameidungua ndegevita ya Ukraine aina ya Su-25 kwenye mji wa Izyum.



SmartSelect_20220416-124227_Chrome.jpg
Screenshot_20220416-124527_Chrome.jpg
 
nchi maskini mkuu! kwa vigezo vipi?
Daaahh!!! Kiongoz mimi sitaki kubishana na wewe... kwamba unataka vigezo vya kwanini nchi za Bara la AFRICA,South America and Asia ni masikini au..??

Kiongoz unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hivyo ambavyo hata mazingira tu yanayokuzunguka wewe au watu wa karibu yako ni kielelezo tosha cha hoja yangu hapo juu
 
Mkuu meli ilishambuliwa,lakini hiyo ndiyo vita yenyeywe.Lazima ufiche ukweli ili kuendelea kuwapa wapiganaji na wananchi morale.Remember Putin needs the support of his people in the war efforts.Na support of the citizenry ndiyo inayowapa pia fighters morale!
sawasawa mkuu,
 
Daaahh!!! Kiongoz mimi sitaki kubishana na wewe... kwamba unataka vigezo vya kwanini nchi za Bara la AFRICA,South America and Asia ni masikini au..??

Kiongoz unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hivyo ambavyo hata mazingira tu yanayokuzunguka wewe au watu wa karibu yako ni kielelezo tosha cha hoja yangu hapo juu
ok nlijua russia mkuu, sorry
 
Tatizo ni nchi masikini [emoji3] Dunia iko west Europe na North America tu huko kwingine ni njaaaaa


Hivi unajua uchumi wa kakisiwa ka UINGEREZA chenye watu 67milion kanauzidi uchumi wa Bara Zima la AFRICA lenye watu 1.2 billion????
[emoji3][emoji3][emoji3]
Unazifahamu source's of income za hiyo nchi uliyoitaja !!? Usije tu na lumpsum!!??
 
Unazifahamu source's of income za hiyo nchi uliyoitaja !!? Usije tu na lumpsum!!??
Bado point yako ni dhaifu chief.... kwani kati ya wafanyakazi wa kiwanda cha vitumbua cha MO na MO mwenyewe nani mwenye pesa?

Siku zote maisha hayajawahi kua sawa na hio ndio nature ya ulimwengu wetu ni lazima wawepo binadam wenye uwezo wa kuwatumia wengine ili maisha yaendelee [emoji3]

So points za kwamba wanakuja bongo kuchukua dhahabu,almasi sijui nini na nini(ni tafsiri ya ujinga)
 
Sijakushambulia jombaaa... Samahani lakini kama lugha niliyotumia imekuchanganya lakini ni kiswahili hikihiki... Blessings mi nimebaki kwa kiasi kikubwa kuwa mtazamaji tu... Na kuongeza ubani kwenye chetezo pale unapopelea.
Hahaha. Na kweli sijaona ukipost sana.
 
Radiation alert issued:Leave the entire Black Sea region,Northern Turkey and Bosporus region because of extreme radiation.

It is now known that the US Harpoon missile was used to hit the Moskva, and was targeted the AEGIS weapons system (https://www.navy.mil/Resources/Fact-Files/Display-FactFiles/Article/2166739/aegis-weapon-system/)
in Romania.It was targeted to purposefully hit one of the front missile tubes on the Moskva.These carry the nuclear tipped 350 kiloton missiles and several other nukes, now sitting in shallow water with up to 4 plutonium pits pouring radiation into the Black Sea.Extreme radiation danger in the entire Black Sea region,Northern Turkey and Bosporus is expected.
The missiles are now sitting in shallow water with one or more of them pouring radiation into the Black Sea.
 
si pro russia hatukubalian naww tushasema russia ni taifa tajiri lenye rasilimali bwelele...usiturudishe nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23]...asa kwani nilivosema hivo ndo nimemaanisha kuwa THE MIGHT RUSSIAN hana utajiri ndo maana nawaambiaga pro Nato mnaakili CHEAP sanaa ......labda nikuulize swali tunaambiwaga humu kuwa vita inahitaji uwe na uchumi mkubwa sasa kama russia sio tajiri na hana fedha anathubutuje kusimama mbele ya NATO na wenzie US ....anaigonga ukraine na bado kwa wakati huo huo anataka kuinyoosha FIN na SWEDISH ....ebu sumbua MEDULA muzee ....[emoji3][emoji3][emoji3] ...

Alafu wakati huo huo THE MIGHTING SCIENCEIST from RSSN BFEDERATION
wanakuja na hii .....au hutaki hii

[emoji3][emoji3] [emoji116][emoji116][emoji116]
JamiiForums-1001486645_180x400.jpg
musee niliposema western and allies wanamwaga RUBLE ....RUBLE an' not f...k dollar or euro money blaah blaah ...... sikumaanisha kuwa THE MIGHT PUTIN ni hohe hae ..noo .......

mfano wewe wanakuja majambazi 10 home kwako na marungu yao au bunduki na wewe una AK 47 imetulia na una uwezo wa kuitumia ....utawaacha wafanye wanavotaka na hao majambazi wamekuja kuiba kile ulicho nacho ....ebu fungua akili kidogo ni nani maskini kati ya majambazi na wewe mwenye mali .....sasa ndivo ilivo kwa wamarekani hata huo utajir wao ni kwa njia ya wizi kwa mataifa madhaifu IRAQ LIBYA hapo bengazi wanachota mafuta haya. huku kwetu mtwara hapo nchi jirani msumbiji kumegundulika GESI tayar waasi wameibuka kusikojulikana ..........na sasa wanamezea mate mali za RUSSIAN mwenye ardhi kubwa kuliko nchi yoyote .wanajaribu kutaka kuimega vipande vipande ardhi ya miamba lakini wamemkuta PUTIN kutoka KGB zaman lakini kesha usoma uchafu wao kenge wale ........[emoji4][emoji4]...RUSSIA ina GESI ya kutosha MADINI .... WESE kama lote ......na nikukumbushe tu kuwa tajiri ni yule anaemiliki resource za kutosha ......kama hapa kwetu AFRICA ila tatizo tulilonalo ni viongozi sijui ni kwqmba hawajielewi yaani nashindwa hata kuelewa ....

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Bado point yako ni dhaifu chief.... kwani kati ya wafanyakazi wa kiwanda cha vitumbua cha MO na MO mwenyewe nani mwenye pesa?

Siku zote maisha hayajawahi kua sawa na hio ndio nature ya ulimwengu wetu ni lazima wawepo binadam wenye uwezo wa kuwatumia wengine ili maisha yaendelee [emoji3]

So points za kwamba wanakuja bongo kuchukua dhahabu,almasi sijui nini na nini(ni tafsiri ya ujinga)
Sasa nendeni mkasome hizo International finances.. wakati mwenzenu mbobezi wa International economics... Ndio utajua nani ni sub wa nani .. nawaacha tu..
 
Back
Top Bottom