Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hao wapinzani ni ma puppet wa us na allies wenzie so Putin sio fala mzee ....

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Muulize huyo jamaa anamfamu huyu mzee?
FQKjsQtWQA0olNE.jpg
Screenshot_20220413-000937.jpg
 
Habari inashangaza kidogo. Nikitafuta naona iko tayari Krimea. Inafanya kazi kwa umbali wa km 5000.
Swali 1: Kwa nini hawakuiwasha tangu mwanzo? Ingetosha - kama ni kweli- kwa Ukraine yote. Moskva bado ingekuwa juu ya samaki, si chini yao.

Swali 2: KWa hiyo ni dalili la hekima au fujo katika uongozi wa jeshi la Urusi kwamba wanaanza kutumia kifaa sasa tu???

Swali 3: Je labda wanaitumia tayari lakini uwezo wake si vile jinsi unavyodaiwa??
Urusi ni mabingwa wa propaganda, huenda inakuzwa tu kuliko uhalisia.
 
Ongeeni Yote but United Kingdom wanafikiria mipango ya mbali sana... Yaani Russia povu analowatolea Uingereza ni kubwa aisee... Jamaa wanapeleka Silaha kimkakati sana
The same kama vile UK wanafikira mbali na RUSSIA hivo hivo ....au we unafikiri russian ni ya juzi hapa au unaona russia ni kama BONGO Imepata uhuru mwaka wa 1961 ...juzi hapa..........

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....naona unamlinda na kumtetea kweli kweli bim mkubwa NYAMIZI kwani kuna nini kinaendelea broohh ...

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Namheshimu tu boss hakuna lolote😃😃. Si unajua hata raisi wetu ni mwanamama. Sasa lazima tuwaheshimu.
 
We huoni wakiwekwa maabusu UK wanahangaika na kupiga kelele ......

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
amna putin anataka kutawala peke yake kila kukicha anabadili katiba awe eligible, juzi tu hapa katoka kubadilisha...atakae nyanyua shingo kumchallenge ni ndani au apotezwe km kina Nemstov
 
Kwani marekani anavozivamia nchi dhaifu kama iraq ..libya ...we huoni kama ni udikteta huo .......
Au ndo ulle usemi kuwa AKILIA NDEGE NI SAWA ILA AKILI BUNDI mnaanza kusema anatuchuria kifo ....[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
mbn unarukaruka mzee kila kitu nyie mbn marekan mbn marekan, kwan marekan kuna rais aliwah badili katiba ili aendelee kugombea? hebu mtaje basi
 
Back
Top Bottom