Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Waoga tu ... Wana wasiwasi kama wanaoga nje ... Mpaka wapate tukio ndio unawaonea humu.Hahaha, sidhani. Itakuwa kuna majukumu alikuwa nayo.
Waoga tu ... Wana wasiwasi kama wanaoga nje ... Mpaka wapate tukio ndio unawaonea humu.Hahaha, sidhani. Itakuwa kuna majukumu alikuwa nayo.
Mnapeana moyo eeeWana mood mbaya leo[emoji1][emoji1]
😄😄😄 muongeze Kule kwny ignore list tu mzee.Huyu jamaa hata ajielew ...alafu nimeshamuona anataka kuingiza jukwaa la siasa humu ....sijui katiba kutawala milele ......kila nchi ina uamuzi wa kuishi inavotaka ...
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Kama atakujibu Unitag MKUUUnamjua huyu jamaa .....usikurupuke kumlaumu MWAMBA PUTIN ili hali zellensk ni mshenzi wa washenzi View attachment 2189675
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1] muongeze Kule kwny ignore list tu mzee.
Hawa pro putin wana tatizo wao ni matusi tu hawataki factsJitahidi kwanza utunge misamiati mipya ya matusi ndio unitag!haya uliyotumia yamezoeleka Sana..okay little brother
Kama Russia kidemu arushe kibomu pale London tuoneOngeeni Yote but United Kingdom wanafikiria mipango ya mbali sana... Yaani Russia povu analowatolea Uingereza ni kubwa aisee... Jamaa wanapeleka Silaha kimkakati sana
Ukraine washamzidi Urusi mbinu na ndo maana Ukraine anapokea vifaa kibao kila sikiUkraine says it downed Russian cruise missiles fired at Lviv region
From CNN's Olga Voitovych in Lviv
The head of the Lviv regional military administration in western Ukraine said Ukrainian anti-aircraft systems downed Russian cruise missiles that were fired on Saturday morning toward the Lviv region.
Ukraine hii mifumo wanaificha wapi?
Tutapaki magari kwa muda mrefuRussia haiwezi vamiwa na yenyewe inajua. Ikiamua kuwa kichaa zaidi kutumia nukes basi hiyo scenario NATO walishaijadili muda sana na atakayepoteza zaidi ni Russia wala sio mwingine. Ila wote tutapata hasara
Mi nachodhani PUTIN hakujiandaa na hii vita ya UKRAINE. Kweli angejiandaa vilivyo haya madudu yasingejitokeza.
Na kadri UKRAINE anavyozidi kupata silaha kutoka USA, UK aisee anaweza kuanza kuishambulia URUSI kwenye ardhi yake.
Wanasema ukicheza na mtoto mjinga anaweza kukutoboa jicho. URUSI anafanya masihara na hii vita, itamcost.
Kwamba hana nini mkuu, umekunywa togwa au ulanzi ?Ukute wala hana bali ilikuwa mikwala tu ili aogopwe. Yaani uwezo aliouonyesha Russia kwenye hii Operation ni wa kawaida sana, hata nchi kama South Africa angeonyesha uwezo kuliko hivi. Tactics za Russia hadi unawaza hivi hili ni lile Taifa tunalopewa Sifa zake au wengine. Imagine ile Convoy ndeeeeefu tena imesongana karibu sana yaani ni rahisi sana Kuteketezwa. Meli inazamishwa kirahisirahisi tu utadhani ni jeshi la Congo .POOR TACTICS, POOR INTELLIGENCE, POOR PLANNING & TOO LOCAL.
Binafsi nimeshaishitukia Russia. Ilikwezwa sana kumbe ni viwango vya Iraqi, Iran, Korea nk. Yaani hata tu Uingereza, France, German WANAMZIDI
Pro russia hamuwezi kuishiwa vichekesho mna ongea utazani nyuklia anayo russia peke akoKwamba hana nini mkuu, umekunywa togwa au ulanzi ?
Haujasikia habari ya Hypersonic alizorusha kyv mpak Uk na Australia wameamua wakae wajadili kuunda mifumo ya kuzuia Hypersonic.
Leo Comed Zelensky ametahadharisha Putin kutimia Nuclear au chemical weapon.
Mkuu acha ulevi.
Vita inayopiganwa Ukrain si kama ya Libya, NATO wamejazana Ukrain na Wengine wamekamatwa mateka na Russia.
Tema mate chini mkuu putini asiamue kutumia Tsar, ni zaidi ya hatari dunia itavurugika nakwambia.