bibingi
JF-Expert Member
- Mar 14, 2022
- 655
- 2,153
Alalfu hili swala la katiba ninani wanao iandika ni maalaikaa au ni mwanadamu ......kwa mfano kenya hapo juzi tu wamebadili katiba kilicho badilika nini kama ufisadi uko pape pale kama ni ubaguzi uko pale .......mi nawa ul8za tu HII katiba mayoililia inasaidia nini kubadilisha tabia za binadamu ...amna putin anataka kutawala peke yake kila kukicha anabadili katiba awe eligible, juzi tu hapa katoka kubadilisha...atakae nyanyua shingo kumchallenge ni ndani au apotezwe km kina Nemstov
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app