Cha asubuh shida ako cha mchana hukioni, Just kidding tu so usikasirike.
Ona sikia jamaa angu, toka miaka kadhaa dunia imekuwa ikitengenezwa katika mfumo wa duara. Katika mfumo wa kumlisha mtawala. Katika mfumo wa kuhudumia kati huku pembezoni pakibaki wazi.
Uchumi ni nini? Uchumi sio GDP hiyo ambayo unaenda kulinganisha kwa kutumia number rafiki angu, uchumi ni shughuli za kibinadam kuanzia level ya chini ya udhalishaji wa malighafi mpk level ya juu ya habari na usambazaji wa bidhaa.
Si kweli kwamba dunia iko Magharibi, bali Dunia ni Dunia, isipokuwa sie viumbe tuna hulka ya kutumiana [emoji847]... Ukitaka kuona watu wamechoshwa vipi na huo mfumo wa kutumiana angalia response wanayoitoa kwenye hili zogozogo linaloendelea.
Ukiwa na macho mazuri utawaona Western wanajua tunakoelekea na ndipo utapoona hao [emoji241] wakikazana kuhakikisha haliwi na kuvunja umoja wowote utaojitokeza upande wa Global South...
Ukiachana na hilo kuhusu Africa kua maskin hiyo ni story nyingine wala haihusiani kabisa na kile kilengwa cha hapa. Em jiulize Bara ka la Afrika, limejaa rasilimali za kutosha, lina hadhina za kutosha ila zote zinabebwa zinapelekwa nje huku Raia wake wakibaki kua maskin wa kutupwa utasema Dunia iko magharibi?
Moja ya kitu kibaya na cha kinyama ambacho Global South imewah kufanyiwa ni kupandikizwa "Inferiority Complex" kwenye mind zao. Global South inavunwa na hawa mabepari wa magharibi... Global south sio masikini bali wametengenezwa kua maskini ili exploitation iendelee...
View attachment 2189535 Huu ni mfano tu kwq Africa. Na kitendo ambacho viongozi hawa hawa mnaowaweka wanabariki upuuzi huo.
Na ikitokea akaja wa kutaka kujinasua utaona namna atakavoshambuliwa na kuondolewa madarakani...
Shida kubwa tunajichukulia we are nothing but they(hao kua) are something kwenye kila sphere of life. Na hiyo ndio imekuwa silaha ya kujimaliza wenyewe hatufanyi kitu mpaka watupangie na vile walivojiweka kiasi cha kufanya ukiwa na kipaji ukipata pesa unakimbilia kwao kujenga na sio kuimarisha sehem ulipo...
Kuna ka aina flan hv ka utumwa kukavuka ndio ukombozi wetu ila hakuna mwenye Gut hiyo na akitokea basi hatodum lazima ataondolewa...
Language ni Pillar y Communication skills, mawasiliano mazuri yanaleta uelewa mzuri hivo kuchochea maendeleo. Uzae mtoto usukuman, lugha ake ya kwanza iwe kisukuma, akue aanze kujifunza kiswahili, atoke kiswahil ajifunze lugha ya beberu, ndio aanze kujifunza maarifa. Huyu atakuja kukukomboa lini? Unaeza kunipa mfano wa nchi iliyoendelea inayotumia lugha ya mgeni kujielimisha? Huu ni moja ya mfano wa majanga yanayotukabir.
We need to be free, tukiwa free ndio tutaeza fanya maendeleo yetu. Ila sasa major regions of the world ipo utumwani kuwatumikia watawala wa dunia. Hatufanyi kwa ajil yetu bali kwao.