Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Putin amelepua Ukraine nzima na kuua raia wengi lakini yeye akipigwa Neptune missile mbili tu! Anaitisha ww3. Shenzi
Sio kunywa tu Ulanzi ila HUO ULANZI NINAGEMA MWENYEWE . Na kuhusu Togwa sio Togwa tu bali NYULULU.Kwamba hana nini mkuu, umekunywa togwa au ulanzi ?
Haujasikia habari ya Hypersonic alizorusha kyv mpak Uk na Australia wameamua wakae wajadili kuunda mifumo ya kuzuia Hypersonic.
Leo Comed Zelensky ametahadharisha Putin kutimia Nuclear au chemical weapon.
Mkuu acha ulevi.
Vita inayopiganwa Ukrain si kama ya Libya, NATO wamejazana Ukrain na Wengine wamekamatwa mateka na Russia.
Tema mate chini mkuu putini asiamue kutumia Tsar, ni zaidi ya hatari dunia itavurugika nakwambia.
Haha hpn banahUongo mkubwa huu, Loh!
Nawaona pro russia wengi tu humu hawatukani halikadhalika ProNato. Hii point haina tofauti sana na ile ya udini
Na Kama tukisema tuhesabu idadi ya matusi basi nina uhakika ProNato mtatia fora.
Mnacheza 'faulo' alaf mkichezewa mnalia. Acheni utoto
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Utadhani hatokufaDah,Ila huyu jamaa anaweza ingia mwenye chart ya world Guinness kwa UOGA aisee
urusi s wamesema meli yao haikushambuliwa lkn??Wataijua urusi kwa kuipiga meli yako moto unaoendelea kyiv na lyiviv si wa kitoto
Nilidhani namjibu yule Pro Putin aliyesema huwa nakimbia Mkuu [emoji1787][emoji1787],wewe nakujua ni mtu wa taratibu huwa unaenda nao kadri wapendavyo halafu unawagonga na maswali mazito kwa mistari michache tu na hakuna anaekujibu [emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]
Mm nipo hapa 24/7 huku napiga piga story na vijana wangu nyumbani. Nipo free hadi J3 ndo mihangaiko itarudi.
Tatizo comedian alikuwa anatamba kwamba wameipiga nahisi alikuwa anatafuta sifaurusi s wamesema meli yao haikushambuliwa lkn??
Utadhani hatokufa
hahaa, wakulimaTatizo comedian alikuwa anatamba kwamba wameipiga nahisi alikuwa anatafuta sifa
Putin ni mtu muovu sana hajali maisha ya binadamu wengine, hatakubali kuonekana amefanya blunders na hakujipanga kuivamia Ukraine na kupigana na jeshi lake ataua raia wengi sana na kuigeuza baadhi ya miji magofu kama alivyofanya Alepo au Grozny.
Kasema nani !!!??Hasira za meli kuzamishwa,, sahii sio special operation ni WW3 Bwana Utam View attachment 2189818
It may not be true, but I think it won't hurt to share it with you!!!
"Putin and Saudi crown prince Al Saud discussed pressing issues of bilateral cooperation, including in the trade and economic area. They expressed their mutual willingness to develop mutually beneficial ties between Russia and Saudi Arabia"
Putin saivi kawa kama zombie [emoji81][emoji81]hayaeleweki yanacho pigania ata
Inatakiwa wauliwe vyakutoshaView attachment 2189849Mnaliona vizuri kundi lililo nyuma ya Ukraine [emoji848]
Warusi tunaomba muendelee kuwa watulivu...