Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,682
- 39,811
Mrusi anapigwa vibaya sana muda huu.Putin saivi kawa kama zombie [emoji81][emoji81]hayaeleweki yanacho pigania ata
Mrusi anapigwa vibaya sana muda huu.Putin saivi kawa kama zombie [emoji81][emoji81]hayaeleweki yanacho pigania ata
Mambo yanabadilika brother
Chumi za nchi nyingi za Asia zinakuwa kwa kasi na wana mtaji wa population.
Mambo hayatakuwa the same miaka 30-50 ijayo.
Asia has overtaken Europe as the world's second-richest region,according to an annual report by the Boston Consulting Group (BCG). Hii ilikuwa 2015 tayari unaona dalili zinaanza
View attachment 2189788
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Tuna wauwawa viburi walioshika binduki.... Hatuui raia sisi ..... Mrusi wa Kiembesamaki alisikika akisema.Inatakiwa wauliwe vyakutosha
Hivi huwa mnasoma mnachoandika kabla ya kupost?Eti hata wao walijua ni superpower,unadhani huko Syria hajaujua uwezo wa Russia?Fuatilia ujue kwanini Syria anamuunga mkono Russia!Us alikimbizwa huko Syria na alishindwa kumuondoa Assad Kwa sababu ya back up ya Russia!
Putin amelepua Ukraine nzima na kuua raia wengi lakini yeye akipigwa Neptune missile mbili tu! Anaitisha ww3. Shenzi
Syria ..Mrusi alicheza karata matata sanaaaa...Hahahahaa wanajikuta wamesahau
We mzeee tunasubiri manemane zianguke kama Wana wa Israel HATUNA chakula kule . ..Russia bado hana chakula???
Naam!!!Multipolarity ndo habar ya mjini kwa sasa.
Ipi hiyo?Syria ..Mrusi alicheza karata matata sanaaaa...
😃😃Nilidhani namjibu yule Pro Putin aliyesema huwa nakimbia Mkuu [emoji1787][emoji1787],wewe nakujua ni mtu wa taratibu huwa unaenda nao kadri wapendavyo halafu unawagonga na maswali mazito kwa mistari michache tu na hakuna anaekujibu [emoji3][emoji3]
Mwanahabari wa TV ya serikali ya urussi.( State propaganda TV)Kasema nani !!!??
Unipolarity imekufa kifo cha mendeMultipolarity ndo habar ya mjini kwa sasa.
Sasa mwanahabari ndio anatangaza WW3 weee jamaa wewe daah !!!!!Mwanahabari wa TV ya serikali ya urussi.( State propaganda TV)
Kipigo kipo palepaleTarehe yake Ipo.
Kwanza anga lote la Ukraine lipo chini ya NATO, kwa teknolojia gani ya kijeshi waliyokuwa nayo Urusi mpaka waweze kuishambulia Kiev? Hivi huyu jamaa anatuchukiliaje sisi?Kwani wanajeshi wa Russia si tuliambiwa hawana chakula?Njaa inawaua?
Mtoa mada Ni mwongo, Russia haina uwezo wa kushambulia kiev.