Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Ndio Hivyo Mali haina Mwenyewe Tunajipangia nini Tunataka Ndani ya Nyuba yako maana Tumeikamata
Lazima Mfuate Masharti
Kweli Urusi sio Zimbambwe
Hii maana ya ukombozi
Ndio Hivyo Mali haina Mwenyewe Tunajipangia nini Tunataka Ndani ya Nyuba yako maana Tumeikamata
Lazima Mfuate Masharti
Kweli Urusi sio Zimbambwe
Lakini wananchi wake wako pamoja naye na wana mkubali sana!!na anaonekana ni shujaa, ndio raha ya kuwa kiongozi uliyechaguliwa na wananchi, sio lile pandikikiz la Putin!!Comedian anadhani kila kitu ni vichekesho tu hata katika umakini wa kuiongoza nchi yake [emoji848][emoji847]
Kwani alitakaje ..... Putin Mzee wa party la kimyakimya.... Sema kiMEUMANAAAAAAA
Ya kaunti ya Nyeri....Ipi hiyo?
Na Hawa Mbwa wanao wasaidia Hawa ndio Wakufinya kwelikweliYaaani ukraine imerudi nyuma mwaka wa 1930 huko afu wanakwambia russia kapigwa
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
hii meli ilizama yenyew baada ya ajali ya moto kutokea, lkn ukraine ndo kakasirikiwa, wakulima wana tabu huko leoKama hii alivyokuwa wamejificha waliokuwemo humuView attachment 2189942
mkuu hawataki ndio maana nkaandka wanachotaka kusikiaAkili yangu timamu, madai yako si wazi.
Ona hapa maoni ya Al Jazeera kuhusu nguvu ya mfumo wa uchumi wa Urusi
(bila kusahau nguvu yake katika malighafi, lakini inaonekana imepigwa na laana ya malighafi sawa na Saudia na Nigeria🙂
Putin aliagiza 2015 uchumi ubadilike ili uzalishaji usitegemee tena bidhaa kutoka nje. Siasa hii iliona mafanikio kadhaa lakini kwa jumla watazamaji wengi wanaona imekwama au kufeli.
aljazeera.com
For isolated Russia, replacing key imports an uphill battle
Charu Sudan Kasturi
But eight years after Moscow launched an aggressive campaign of import substitution to insulate its economy from future sanctions, the result has been mixed at best, if not a complete failure, according to experts. At a time when Moscow is battling potentially crippling penalties from the United States, Europe and their allies over the invasion of Ukraine, Russia’s poor preparation could expose the country’s economy in precisely the ways it had hoped to avoid.
AvtoVAZ, Russia’s largest carmaker, which is owned by Renault, has had to suspend operations because it cannot source parts: cars and vehicle components are the country’s biggest imports. SvetoCopy, one of Russia’s most popular office paper brands, has halted work at its mills with Sylvamo, its Memphis-based owner, citing supply shortages and then — five days later — company values.
They are not alone in their struggles. A 2021 note from the central bank of Russia reported that 65 percent of enterprises in the country were dependent on imports for their manufacturing, underscoring the country’s reliance on global supply chains. Surveys of Russian manufacturers by the Moscow-based Gaidar Institute for Economic Policy have repeatedly shown that more than 60 percent of firms say they are unable to find domestic equivalents for goods that they import.
Contrary to the Kremlin’s hopes, Russia’s monthly imports increased by more than 40 percent between February and December 2021, reaching a figure of $30.7bn — the highest for any month since 2014 — before the current wave of US sanctions dampened trade.
“Generally speaking, the import substitution in Russia is a phantom,” Andrei Kolesnikov, a senior fellow at the Carnegie Moscow Center, told Al Jazeera.
To be sure, Russia has made gains in developing some of its domestic industries over the past eight years, analysts say. The food and agriculture sectors, in particular, have been major beneficiaries, receiving state subsidies to produce alternatives to imports of everything from pork to parmesan. By 2019, Russia’s import bill for meat was down by 70 percent compared with 2013, according to UN Comtrade data — though the dip for fruits was much more modest, at only 20 percent.
But the bans on Western imports have also reduced competition, driving up prices. Beef is now three times as expensive as it was in May 2014, according to data portal IndexMundi.
“The increased domestic production of some agricultural products in Russia cannot be really considered as successful import substitution as Russian consumers have already paid and continue to pay a significant price for such policy,” Denis Davydov, a senior lecturer in accounting and finance at the University of Vaasa, Finland, told Al Jazeera.
It is a similar story in aerospace, another sector where Russia has managed to develop some domestic alternatives. Since 2014, Moscow has been desperate to fix a major military vulnerability: the engines of its helicopters were imported from Ukraine. JSC Klimov, a Russian company, now manufactures similar engines.
But in the civil aviation space — as with meat — the costs to consumers depends on competition, which a closed market does not allow. The result: Russian-made headlights for planes are three times as expensive as ones made outside the country, according to an analysis by the Moscow Aviation Institute.
“Production in isolation is doomed to be of lower quality and less competitive,” said Davydov, who has closely followed the Russian economy for the past decade.
In other sectors, especially those involving hi-tech equipment or know-how, Russia has struggled even more to build domestic industries that can meaningfully replace imports, analysts say.
“Take the semiconductor industry: it’s impossible to reproduce the whole supply value chain in Russia due to technical issues and the complexity of the process,” Maria Shagina, a visiting senior fellow at the Finnish Institute of International Affairs, told Al Jazeera.
In 2020, Russia imported diodes, transistors and semiconductor-based devices worth $440m, United Nations data shows.
Homegrown tech
Meanwhile, efforts to force even Russian-state-owned organisations to use homegrown tech have failed. In 2015, the Kremlin ordered all government bodies to stop using foreign software. But by late 2019, only 10 percent of software used by state agencies was made in the country, according to Russia’s ICT Import Substitution Competence Center.
Across sectors, things will get worse as more and more foreign companies flee Russia, said David Cortright, director of the Global Policy Initiative at the University of Notre Dame’s Kroc Instituteas already been happening in some sectors.
A study by the Moscow-based National Rating Agency found that Russia pivoted to Chile for fish supplies in 2020, at the same time that the South American country tripled its imports of Norwegian seafood. That year, China sharply increased its exports of vegetables to Russia while itself upping imports of vegetables three-fold from the European Union. of the economy,” Davydov said.
Wape wanachotaka kusikia .... Unajua hakuna ujinga na hakuna kitu kigumu kama KUDANGANYA NAFSI YAKO....ukweli wanaujua wanakaza fuvu tu... wakasome Logic and Reasoning hasa kuhusu Consciousness. Nawachekiiiii naona ni dead-end minds.hii meli ilizama yenyew baada ya ajali ya moto kutokea, lkn ukraine ndo kakasirikiwa, wakulima wana tabu huko leo
Wananchi baadhi wapo pia ambao hawampendi, ukraine imegawanyika hata kabla Urusi hawajaingia. Huyo raisi ana damu nyingi sana mikononi mwake.Lakini wananchi wake wako pamoja naye na wana mkubali sana!!na anaonekana ni shujaa, ndio raha ya kuwa kiongozi uliyechaguliwa na wananchi, sio lile pandikikiz la Putin!!
Kuna watu tunawaambia hapa kila siku hiyo ni just operation tu hawasikii. Vita kamili bado, ikitangazwa vita kamili itabidi kuzimu tukupe jina jipya.Tizama hapo kisha isome hii kauli...
[emoji298]If Ukraine continues its provocations by attacking Russian cities, Russia will be forced to declare war against Ukraine - Peskov
It may seem like mere words but in the context of Ukraine that's a massive escalation if so implemented.
Sasa kama hiyo ni Just OP waki-declare war rasmi itakuaje [emoji848][emoji848][emoji848]
Putin Aliwaonya Juzi hapa wasitupe Makombora eneo lake, na akawaambia wakiendelea Ataishambulia Kiev.Tokea jana usiku milipuko isiyo koma inaendelea kusikika ndani ya jiji la Kiev huko Ukraine.
Duru zinatabanaisha maeneo yahifadhio silaha na viwanda vya silaha ndiyo yanayolengwa zaidi.
shida iko wapi mkuu watu kupigana kulinda nchi yao? upimbi uko wapi?Huyu pimbi naona kaamua kuitoa kafara Ukraine mazima...
[emoji298]Zelensky: The elimination of Ukrainian soldiers in Mariupol would put an end to negotiations with Russia.
Hapa ending negotiations means he is also prepared if necessary to indeed fight to the last Ukrainian standing... West waendelee kuzituma tu hizo silaha.