bibingi
JF-Expert Member
- Mar 14, 2022
- 655
- 2,153
[emoji23][emoji23][emoji23]kuna nyumbu zimeyachoka haya maisha zinataka kutangulia kwa baba muumbaji .....asa we mtu na akili zako kweli unaambiwa uende ukapigane na russia ambayo marekani yenyewe wanaogopa kusodeza ngwamba zao ...afu wewe usie kitu unapeleka mbupu kule ambapo zinadondoshwa ISKANDERS M .....clasta mbombs ...cruiser aisee mwisho wa siku vijana wa PUTIN wakiamua wanadondosha BALISTIC MISSILES [emoji23][emoji23][emoji23] dahhh.........alafu nawashanga waafrika eti na wao wanajipeleka huko dahh ..
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app