Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

On March 17, as Moscow’s war on Ukraine intensified, Uzbekistan made a statement few observers anticipated.
Speaking at the Senate’s plenary session, Foreign Minister Abdulaziz Kamilov said, “Firstly, the military actions and violence must be stopped right away. The Republic of Uzbekistan recognises Ukraine’s independence, sovereignty, and territorial integrity.

central asia ndo eneo pekee ambalo russia imekuwa na ushawish mkubwa kuliko nchin yeyote but baada ya kuona urusi ikendelea na kushambulia majiran mmoja baada ya mwngine nchi hizi zimeingia hofu dhidi ya rafk yao mkuu na jiran yao RUSSIA

kuwa na rafiki kama 🇷🇺🇷🇺 ni tabu tu . Muda wote unakuwa kwenye tension, yaani umemeza moyo. Ni kama urafiki wa simba na swala .😂😂😂
 
hivi kama [emoji635][emoji635] anatawala kwa Siku 5 na [emoji1255][emoji1255] Siku 1. Hebu tueleze nn kimekwamisha hii vita hadi kupelekea ichukue muda mrefu .
changamsha MEDULA mzee sio kila kitu mpaka utafuniwee na umezeshwe mbona haya yameshajadiliwa huko juu we unafikiri russia alienda kucheza kombolela huko ....

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Wananchi baadhi wapo pia ambao hawampendi, ukraine imegawanyika hata kabla Urusi hawajaingia. Huyo raisi ana damu nyingi sana mikononi mwake.
Papa mwenyewe hapendwi na waumini wote, sembuse kiongozi wa kisiasa?!!ni kiongozi gani duniani ambaye anapendwa na watu wote?!sasa hiyo mikoa miwili iliyojitenga ulitegemea nini, yaani watu wanajitenga tu kutokana na ushawishi wa nje, na wewe kama kiongozi unaangalia tu!!nakwambia huyu ndio rais aliyoko mioyoni mwa wananchi wengi wa ukraine, na yeye anayosimmamia ni matakwa yao ya katiba waliyoyapitisha hata kabla hajawa rais wao, mfano nia ya kujiunga NATO, na EU.
 
We kweli kilaza.unajua maana ya kukomboa?
[emoji23][emoji23][emoji23] imemshinda mikoa anayopakana nayo , hadi sasa hivi anapigana kuikomboa , sasa ndo ataweza kuiteka nchi nzima ?.
Anachokifanya kwa sasa ni anapigana kwa jaziba [emoji23][emoji23][emoji23] . nafikiri ni hasira za ule mtumbwi wake kuzama .
 
kuwa na rafiki kama [emoji635][emoji635] ni tabu tu . Muda wote unakuwa kwenye tension, yaani umemeza moyo. Ni kama urafiki wa simba na swala .[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Marekani mnaweza kuwa marafiki lakini ukithubutu kukengeuka cha moto unakumbana nacho.
 
Kwaakweli [emoji23][emoji23][emoji23] jamaa usingizi umemkaba akalale tuu

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
mlipiga hadi kombola La hypersonic. Mkasema hadi 🇺🇸🇺🇸 na NATO hawajawahi kuliona hilo dude. 😂😂😂 lakini hadi Leo tunaiona 🇺🇦🇺🇦 akiendelea Ku survive. Mna lipi jipya .?
Hata mrushe Bomu la nyuklia . hamwezi ichukua 🇺🇦🇺🇦
😁😁
 
Back
Top Bottom