bibingi
JF-Expert Member
- Mar 14, 2022
- 655
- 2,153
Mkuu tupia hata kavideo tuone bombs zikitupwaMrusi Kasara huko yaani Kachafukwa
Sio kwa Kichapo kinacho Endelea Hali ni Mbaya
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Mkuu tupia hata kavideo tuone bombs zikitupwaMrusi Kasara huko yaani Kachafukwa
Sio kwa Kichapo kinacho Endelea Hali ni Mbaya
😂😂 punguza jazba Dada 😂😂.We kweli kilaza.unajua maana ya kukomboa?
Umeanza kutaja mwanakwerekwe, sasa umetaja kiembe samaki. Mkuu ndio mitaa yako ya kulima ngano kutoka russia. karibu tena zanzibarTuna wauwawa viburi walioshika binduki.... Hatuui raia sisi ..... Mrusi wa Kiembesamaki alisikika akisema.
hawa pro russia wote leo wanatukana tu sijui shida nn!!😂😂 punguza jazba Dada 😂😂.
[emoji3][emoji3][emoji3] .....Wale mabikra safiiiii.... sabini na mbili wa kiukraine wapo huko mkuu maana wengine wetu ndo ugonjwa wao...huoPro-Russia Tunakaribiswa Kwenye mji wa Mariopoo Kujichagulia Wapi tukae Maana Tumeshafishaaaa
Baada ya OP kuisha na amani kurejea anaweza akatoa speech kuneutrilize mambo. Ni serikali chache sana dunia ya leo zitawanyima haki raia wake wasishiriki kwenye maswala ya kijamii na wanadamu wengine.Kuiomba msamaha UEFA ni kuipigia magoti us na ngumu kwa russia kufanya hivo ...kwa maoni yangu
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Huu ni mwanzo tu [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123]
Mji wa Kharkiv inateketea.ukraine mkubali tu yaishe jaman[emoji17][emoji17][emoji17]
we mbuzi kweli nani amediscuss china hapa, kwanza ni wapi nimediscuss udkteta wa china?? ntolee uchuro wakoKuna pro nato linaitwa nankumene, nimeliweka kwenye ignore list kwa kuandika upumbavu. Hivi kuna anayefahamu katiba ya china ilivyo, je kuna asiyefahamu maendeleo ya china licha ya udikteta wao
[emoji23][emoji23][emoji23]anaweza akabeba mkuu akili ya yule banah anaijua mwnyw anaweza kurisk everything
Kuna wauaji walijificha humuAnatokea Kilaza Mmoja Anakuambia Russia Anachapika
[emoji23][emoji23][emoji23]hilo fuvu tupu halina kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sorry, hivi una akili timamu kweli aisee!?
Hahah na Mimi nashangaa Sana mkuu,NATO ndio kila kitu huko Ukraine.Kwa umaskini wa Tech na Fedha alionao Russia wanamsingizia kabisa kabisa mkuu.Kwanza anga lote la Ukraine lipo chini ya NATO, kwa teknolojia gani ya kijeshi waliyokuwa nayo Urusi mpaka waweze kuishambulia Kiev? Hivi huyu jamaa anatuchukiliaje sisi?
Uongo mwingine bwana!
Warusi hatuibi matairi tu tunapita mpaka na roho yako [emoji635][emoji635][emoji635][emoji123][emoji123][emoji23]
Sio wewe uliekuwa unalia lia mchana kwa habari ya katiba au una memory ndogo .....we mbuzi kweli nani amediscuss china hapa, kwanza ni wapi nimediscuss udkteta wa china?? ntolee uchuro wako
Southeast ishakwenda eeeehYaani Nchi 30+ Dhidi ya Jemedali Moja Russia hahaha
Kipande cha Ukrein ndio kinaenda Hivyo