Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu kenge kipigo cha siku moja tu kaanza kutoa mlio na Moscow wamefunga vioo
Screenshot_20220416-223700.jpg
Screenshot_20220416-223709.jpg
Screenshot_20220416-223719.jpg
 
Papa mwenyewe hapendwi na waumini wote, sembuse kiongozi wa kisiasa?!!ni kiongozi gani duniani ambaye anapendwa na watu wote?!sasa hiyo mikoa miwili iliyojitenga ulitegemea nini, yaani watu wanajitenga tu kutokana na ushawishi wa nje, na wewe kama kiongozi unaangalia tu!!nakwambia huyu ndio rais aliyoko mioyoni mwa wananchi wengi wa ukraine, na yeye anayosimmamia ni matakwa yao ya katiba waliyoyapitisha hata kabla hajawa rais wao, mfano nia ya kujiunga NATO, na EU.
Mkuu tunaongelea mpasuko, sio kule kupendwa kisiasa, kabla ya Urusi serikali ya Ukraine ilikuwa inaendesha mauaji ya Halaiki kwa Wa Ukraine wenye Asili ya Urusi.

Ndio maana wakati urusi anavamia Ukraine kuna Wa Ukraine walikuwa wanashangilia barabarani.
 
Radiation alert issued:Leave the entire Black Sea region,Northern Turkey and Bosporus region because of extreme radiation.

It is now known that the US Harpoon missile was used to hit the Moskva, and was targeted from the AEGIS in Romania.It was targeted to purposefully hit one of the front missile tubes on the Moskva. These carry the nuclear tipped 350 kiloton missiles and several other nukes, now sitting in shallow water with one or more of them, and up to 4 plutonium pits pouring radiation into the Black Sea.Extreme radiation danger in the entire Black Sea region,Northern Turkey and Bosporus is expected.

The missiles carry 350 kilotons of radioactive material and several other nukes.These are now sitting in shallow water with one or more of them pouring radiation into the Black Sea.
Tena unaleta takataka bila kuchungulia hata kidogo kama uwezekano wa usahihi upo. HUna ushuhuda wowote Moskva ilitembea ikiweka mabomu ya nyuklia kwenye roketi zake?
Huna, si kweli. Hata jeshi la kirusi wana utaratibu kuhusu silaha hizo unaofuatwa na kusimamiwa. Kwanza inawezekana kwamba Moskva ilitembea na mabomu kadhaa (warheads). Lakini hapa hakuna uhakika.
Hakika hawakuweka hizi bomu hovyo juu ya roketi zilizipo kwenye sitaha. Hii ni hatua itakayochukuliwa baada ya amri inafika kutoka juu kuandaa silaha hizo.
Hakuna dalili kwa hatua kama hiyo. Huna usahidi.
 
mlipiga hadi kombola La hypersonic. Mkasema hadi 🇺🇸🇺🇸 na NATO hawajawahi kuliona hilo dude. 😂😂😂 lakini hadi Leo tunaiona 🇺🇦🇺🇦 akiendelea Ku survive. Mna lipi jipya .?
Hata mrushe Bomu la nyuklia . hamwezi ichukua 🇺🇦🇺🇦
😁😁
Au sio Keyboard Warrior.....
 
Kuna pro nato linaitwa nankumene, nimeliweka kwenye ignore list kwa kuandika upumbavu. Hivi kuna anayefahamu katiba ya china ilivyo, je kuna asiyefahamu maendeleo ya china licha ya udikteta wao
Tatizo tumebeba demokrasia kama dodoki msemo wa Mwl.Nyerere bila kuangalia mazingira yetu. Sasa inachangamya watu na wengine wanaitumia vibaya... Kama kwenye huu Uzi isingekuwa demokrasia Kuna watu hawana sifa hata ya kuusoma tu huu Uzi achana na kuchangia kuusoma tu wasingeweza. Ndio gharama za demokrasia hizo
 
Jamani Zelensky alituonyesha alivyowarudisha kinyumenyume Warusi walio na njaa na wanakula vitu vilivyoeksipaya!

Sasa mashambulizi yametokea wapi!?

Jana kalalamika WESTERNERS wanamchosha na maswali Yao, anahitaji silaha zipi, anatengeneza list, kisha hawampi, wanamuuliza tena wiki 1 baadaye! Kakiri he is frustrated
 
Back
Top Bottom