wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
SLAVA UKRAINI SLAVA UKRAINIMsomi yule kuuzidi ukoo wenu wote
SLAVA UKRAINI SLAVA UKRAINIMsomi yule kuuzidi ukoo wenu wote
Hongera kaka ...wewe ulienda shule...lakini sio kusoma ..ulienda kuuza visheti.....Msomi yule kuuzidi ukoo wenu wote
Huyu Ni shujaa kabisa mkuu,sisi Wamarekani tunampenda mnoooo😵ur heroLakini wananchi wake wako pamoja naye na wana mkubali sana!!na anaonekana ni shujaa, ndio raha ya kuwa kiongozi uliyechaguliwa na wananchi, sio lile pandikikiz la Putin!!
Nahisi anayefuata ni kati ya hawahahaha we acha urusi aendelee kugawa kichapo ila asisahau kwenda tena kule central asia kuwahakikishia majirani zake kuwa hana nia ovu dhidi ya ardhi zao, majirani wanahofu na kaka mkubwa kazuia huko transnistria, kaichapa georgia akazuia abhakazia na south osetia na sasa hivi anaichapa ukraine ameshabeba crimea n.k cjui nani atafuata
Dhidi ya wachawiAnga la Ukraine si linalindwa na NATO lakini?
Kaka una maneno mengi lakini habari chache. Utajiri wa Marekani unatokana kwanza na idadi kubwa ya watu, eneo kubwa, kiasi kikubwa cha malighafi ndani ya eneo lake na utaratibu wa uchumi unaohimiza kutafuta faida katika matumizi ya maliasili. Pamoja na utaratibu thabiti wa sheria na siasa ya kupokea watu kutoka pande zote za dunia wakiwa na sifa zinazonekana kufaidi Marekani.[emoji23][emoji23][emoji23]...asa kwani nilivosema hivo ndo nimemaanisha kuwa THE MIGHT RUSSIAN hana utajiri ndo maana nawaambiaga pro Nato mnaakili CHEAP sanaa ......labda nikuulize swali tunaambiwaga humu kuwa vita inahitaji uwe na uchumi mkubwa sasa kama russia sio tajiri na hana fedha anathubutuje kusimama mbele ya NATO na wenzie US ....anaigonga ukraine na bado kwa wakati huo huo anataka kuinyoosha FIN na SWEDISH ....ebu sumbua MEDULA muzee ....[emoji3][emoji3][emoji3] ...
Alafu wakati huo huo THE MIGHTING SCIENCEIST from RSSN BFEDERATION
wanakuja na hii .....au hutaki hii
[emoji3][emoji3] [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2189508 musee niliposema western and allies wanamwaga RUBLE ....RUBLE an' not f...k dollar or euro money blaah blaah ...... sikumaanisha kuwa THE MIGHT PUTIN ni hohe hae ..noo .......
mfano wewe wanakuja majambazi 10 home kwako na marungu yao au bunduki na wewe una AK 47 imetulia na una uwezo wa kuitumia ....utawaacha wafanye wanavotaka na hao majambazi wamekuja kuiba kile ulicho nacho ....ebu fungua akili kidogo ni nani maskini kati ya majambazi na wewe mwenye mali .....sasa ndivo ilivo kwa wamarekani hata huo utajir wao ni kwa njia ya wizi kwa mataifa madhaifu IRAQ LIBYA hapo bengazi wanachota mafuta haya. huku kwetu mtwara hapo nchi jirani msumbiji kumegundulika GESI tayar waasi wameibuka kusikojulikana ..........na sasa wanamezea mate mali za RUSSIAN mwenye ardhi kubwa kuliko nchi yoyote .wanajaribu kutaka kuimega vipande vipande ardhi ya miamba lakini wamemkuta PUTIN kutoka KGB zaman lakini kesha usoma uchafu wao kenge wale ........[emoji4][emoji4]...RUSSIA ina GESI ya kutosha MADINI .... WESE kama lote ......na nikukumbushe tu kuwa tajiri ni yule anaemiliki resource za kutosha ......kama hapa kwetu AFRICA ila tatizo tulilonalo ni viongozi sijui ni kwqmba hawajielewi yaani nashindwa hata kuelewa ....
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Uongo mtupu mkuu,wanaisingizia tu Russia.Haina uwezo huo.Nenda BBC Swahili kasome....hii habari ipo
Sasa mbn mnamsusia kidizaini mkuu. Putin haofii kuua as long as mbwa ashampa jina baya anamuua tu.hakuna hio putin km anataka ukraine mwache aendelee kuwaua aibebe ukraine yote, km aljjua ataibeba ukraine bila mkono yake kuwa na damu kachemsha, putin aendelee tu kupiga kazi abebe ukraine yote maana uwezo huo anao
[emoji16][emoji16][emoji16] Hawa wa huku naona 'reasoning capacity' yao Ina angalau.Lkn sitashangaa kesho Moshi mzito wa hapo kyiv ukawachanganya Hali Yao ku-reason ika-deteriorate ajabu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona George' betram na wa kupuliza mnapiga spana mpaka huku .....duhh ...ila pro nato wa huku sio vilaza kama wale wa kule vichwa vigumu .....
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Bila Putin xi aisahau TaiwanXi anaona huyu jamaa ameanza kuwa liability
Nami nashangaa Sana mkuu.,Ni ukatili wa Hali ya juu Ni Bora hata NATO/US wangeamua kuichapa Russia Kama walivyoichapaga Yugoslavia tu.Hapa ndio sheria za kimataifa zinaponishangaza mtu anaetaka kujiunga na nyie ila anapopigwa mabomu hamumtetei.
[emoji16][emoji16][emoji16] wkt huo huo baadhi ya Nchi za NATO zimeanza kuchoka na demands zao mbali,juzi kali-demand $7bil/per month kulipa salary za wafanyakazi mbalimbali, wazungu wanajiuliza hivi hao wafanyakazi Ni wa wapi na hii Vita?[emoji16][emoji16]Jamani Zelensky alituonyesha alivyowarudisha kinyumenyume Warusi walio na njaa na wanakula vitu vilivyoeksipaya!
Sasa mashambulizi yametokea wapi!?
Jana kalalamika WESTERNERS wanamchosha na maswali Yao, anahitaji silaha zipi, anatengeneza list, kisha hawampi, wanamuuliza tena wiki 1 baadaye! Kakiri he is frustrated
Komedi tupu! Kapuuzi Sana![emoji16][emoji16][emoji16] wkt huo huo baadhi ya Nchi za NATO zimeanza kuchoka na demands zao mbali,juzi kali-demand $7bil/per month kulipa salary za wafanyakazi mbalimbali, wazungu wanajiuliza hivi hao wafanyakazi Ni wa wapi na hii Vita?[emoji16][emoji16]
sio kumsusia mkuu that is how it is, kuna vile russia inakua painted hasa kwa kwa rafiki zake ambao wengi wanashea borders hasa wale wa central asia, kuna sku putin ktk moja ya speech zake alsema kuwa urus haina no ovu dhidi ya maeneo ya majiran zake ila ukraine ni issue tofauti,Sasa mbn mnamsusia kidizaini mkuu. Putin haofii kuua as long as mbwa ashampa jina baya anamuua tu.
Kinachonisikitisha wanaomshangilia zele wanaangalia kutokea mbali.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
kwann mkuu? issue ya taiwan inaweza isije kuwa complicated saana vile china imeshafanikiwa sana na one china policy plus economic power yake ni ngumu kumchallnge
Sema unaona sababu gani kumwamini??sio kumsusia mkuu that is how it is, kuna vile russia inakua painted hasa kwa kwa rafiki zake ambao wengi wanashea borders hasa wale wa central asia, kuna sku putin ktk moja ya speech zake alsema kuwa urus haina no ovu dhidi ya maeneo ya majiran zake ila ukraine ni issue tofauti,
kumwamn nan mkuu?Sema unaona sababu gani kumwamini??
Marekani hana demokrasia wala hajali haki za binadamu. Taifa dhalimu sana hili.Kaka una maneno mengi lakini habari chache. Utajiri wa Marekani unatokana kwanza na idadi kubwa ya watu, eneo kubwa, kiasi kikubwa cha malighafi ndani ya eneo lake na utaratibu wa uchumi unaohimiza kutafuta faida katika matumizi ya maliasili. Pamoja na utaratibu thabiti wa sheria na siasa ya kupokea watu kutoka pande zote za dunia wakiwa na sifa zinazonekana kufaidi Marekani.
Tofauti na nchi kama Urusi ambako kuna pia maeneo makubwa , malighafi nyingi na watu wengi kadhaa, lakini historia ya udikteta, kutoheshimu sheria, rushwa ya kupindua na msimamo wa kuwa na wasiwasi kuhusu wageni na ubaguzi mkali.
Maneno ya Libya acha, fanya homework kwanza. Kampuni gani za Marekani zinachota mafuta Libya? Zina sehemu gani ya soko??
Kwa faida yako usa litaka kupunguza mataifa hasimu kwake naa washirika wake. Hili lingemfanya awe karibu zaidi na urusi pale uturuki. Kulijua zaid hili fuatilia mapinduzi ya iran ya mwaka 1953.Ipi hiyo?