Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Jamaa alikuwa anajiona ni Frank Zagarino, eeh!?Wakiambiwa Ni Russia vs NATO wanakaza mafuvu.Jamaa aliyekamatwa ndio huyo[emoji116][emoji116].View attachment 2190134
Jamaa alikuwa anajiona ni Frank Zagarino, eeh!?Wakiambiwa Ni Russia vs NATO wanakaza mafuvu.Jamaa aliyekamatwa ndio huyo[emoji116][emoji116].View attachment 2190134
Sio mwanahabari hivi hivi, ni wa serikali.Sasa mwanahabari ndio anatangaza WW3 weee jamaa wewe daah !!!!!
Wewe wa ajabu sana, una ushahidi gani kwamba Moskva haikuwa na missiles zenye nuclear warheads.Kama unao tupe,vinginevyo stop bickering.Tena unaleta takataka bila kuchungulia hata kidogo kama uwezekano wa usahihi upo. HUna ushuhuda wowote Moskva ilitembea ikiweka mabomu ya nyuklia kwenye roketi zake?
Huna, si kweli. Hata jeshi la kirusi wana utaratibu kuhusu silaha hizo unaofuatwa na kusimamiwa. Kwanza inawezekana kwamba Moskva ilitembea na mabomu kadhaa (warheads). Lakini hapa hakuna uhakika.
Hakika hawakuweka hizi bomu hovyo juu ya roketi zilizipo kwenye sitaha. Hii ni hatua itakayochukuliwa baada ya amri inafika kutoka juu kuandaa silaha hizo.
Hakuna dalili kwa hatua kama hiyo. Huna usahidi.
Umeongea kwa upole sana mpaka nimejisikia vibaya. Pole ndio vita zilivyo lakini.hakuna hio putin km anataka ukraine mwache aendelee kuwaua aibebe ukraine yote, km aljjua ataibeba ukraine bila mkono yake kuwa na damu kachemsha, putin aendelee tu kupiga kazi abebe ukraine yote maana uwezo huo anao
Hahah wahuni hawajui mambo ya Hollywood,wao Ni kichapo tu.Umenikumbusha movie 1 ya huyo jamaa niliipendaga sana iliitwa strike.Jamaa alikuwa anajiona ni Frank Zagarino, eeh!?
Poland nadhani atapaswa aonyeshewe mfano, anajifanya anajua Sana.Tutawapokea Tena wakimbizi wa Polish hapa Arusha Kama tulivyowapokea miaka hio.Nahisi anayefuata ni kati ya hawa
Poland
Latvia
Estonia
Lithuania
Au Finland na Sweden kama watataka kujiunga na umoja wa waoga kaskazini mwa atlantiki.
Vita kamili bado. Ukraine imeshateketea. Ikija vita kamili aisee sijui itakuwaje
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Demokrasia Kwa mambo ya ndani anajitahidi,ila si huyu huu US aliyeumbuliwa kudukua mawasiliano ya watu kinyume na sheria na Snowden?Mpaka Leo huyo jamaa kakimbia nchi!Unaandika wewe mwenyeji wa nchi gani ambako kila raia yuko huru kumshtaki raisi wa taifa (na amiri jeshi mkuu)?
Yuko huru kupeleka mahakamani kila taasisi ya serikali ya ngazi yoyote akiona ina vunja sheria au haki zake?
Yuko huru kushtaki maafisa wa polisi waliomtendea vibaya kinyume ya sheria?
Sema, unatoka nchi gani???
Maana katika nchi unayolaumu kuna mabaya mengi, lakini haki hizo unazo.