nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,408
- 8,225
hakuna hio putin km anataka ukraine mwache aendelee kuwaua aibebe ukraine yote, km aljjua ataibeba ukraine bila mkono yake kuwa na damu kachemsha, putin aendelee tu kupiga kazi abebe ukraine yote maana uwezo huo anaoSaa zingine kunyoosha mikono juu kunasaidia kuepusha maafa kwa nchi huwezi pigana na linchi kama RUSSIA ambayo hata marekani yenyewe inagwaya na mpaka inajenga makambi ya jeshi kila kona huko ulaya na NATO juu kisa unajihami na RUSSIA .....
huoni japani nae alikuwa anakomaa kama zellensky alidondoshewa kitu kizito akasurrender na maisha yakaendelea ...
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app