Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Marekani hana demokrasia wala hajali haki za binadamu. Taifa dhalimu sana hili.
Unaandika wewe mwenyeji wa nchi gani ambako kila raia yuko huru kumshtaki raisi wa taifa (na amiri jeshi mkuu)?
Yuko huru kupeleka mahakamani kila taasisi ya serikali ya ngazi yoyote akiona ina vunja sheria au haki zake?
Yuko huru kushtaki maafisa wa polisi waliomtendea vibaya kinyume ya sheria?
Sema, unatoka nchi gani???
Maana katika nchi unayolaumu kuna mabaya mengi, lakini haki hizo unazo.
 
Kuna jarida nimelisoma katika vita inayoendelea nchini ukraine ni kati vita ya jamii mbili zinazopigana kati ya watu kutoka jamii ya wanazi dhidi ya jamii ya wayahudi.

Je wanazi ni akina nani na wayahudi ni akina nani maana tumeambiwa hii vita inayopigwa ni kati ya wanazi na wayahudi, na ni kwanini wanazi na wayahudi huwa hawaelewani.
 
[emoji635][emoji635] mambo yamekuwa magumu haamini anachokishuhudia [emoji1255][emoji1255][emoji1255].
Funzo: usipende kumkadilia mtu hata kama kwa mwonekano wa nje anaonekana ni mdogo.
Hebu andika kiswahili fasaha.
 
Wananchi baadhi wapo pia ambao hawampendi, ukraine imegawanyika hata kabla Urusi hawajaingia. Huyo raisi ana damu nyingi sana mikononi mwake.
tumia akil yako vzr siku ukifika Urusi ndo utajuta kupoteza muda kudanganya humu ili kumsafisha Urusi
 
Papa mwenyewe hapendwi na waumini wote, sembuse kiongozi wa kisiasa?!!ni kiongozi gani duniani ambaye anapendwa na watu wote?!sasa hiyo mikoa miwili iliyojitenga ulitegemea nini, yaani watu wanajitenga tu kutokana na ushawishi wa nje, na wewe kama kiongozi unaangalia tu!!nakwambia huyu ndio rais aliyoko mioyoni mwa wananchi wengi wa ukraine, na yeye anayosimmamia ni matakwa yao ya katiba waliyoyapitisha hata kabla hajawa rais wao, mfano nia ya kujiunga NATO, na EU.
ww huna akili , waasi ndo wanaopigana na sio raia , kwan nchini msumbiji wale magaidi wanaompigania mudi inamaanisha ni kuwa waislamu hata nusu wanasapoti ? ile movement imetoka nje ikilienga gesi na madini ya mocimba , the same kwa majimbo yanayotaka kujitenga , na ndio maana yalikuwa yanakaribia kupoteza vita ndipo Urusi kajitokeza hadharani kuyatetea wazi wazi
 
Mkuu tunaongelea mpasuko, sio kule kupendwa kisiasa, kabla ya Urusi serikali ya Ukraine ilikuwa inaendesha mauaji ya Halaiki kwa Wa Ukraine wenye Asili ya Urusi.

Ndio maana wakati urusi anavamia Ukraine kuna Wa Ukraine walikuwa wanashangilia barabarani.
weka kauli vizur , waasi na sio raia wenye asili ya kirusi , maana sio kila raia mwenye asili ya kirusi alikuwa anafungamana na hao waasi , waasi walikuwa wanakaribia kupoteza vita , yeye Putin alikuwa anawadhamini waasi waaishambulie serikali akitegemea serikali itakaaa kimya ? au ww ungekuwa rais hao waasi ungewaacha tu ?
 
Hapa ndio sheria za kimataifa zinaponishangaza mtu anaetaka kujiunga na nyie ila anapopigwa mabomu hamumtetei.
ulaya sio afrika , elewa hilo , hajajiunga na ndio maana kila mtu anajitolea kivyake , hilo ni fundisho hata kwa wengine tangu mwaka 1991 alikuwa wap ? hakufikiria hiki kingeweza kutokea na ulinz angepata wap ? na ndio maana Sweden na Finland wamejifunza na wanataka kujiunga chap na NATO pia Georgia na Lithuania wakionesha nia
 
Nami nashangaa Sana mkuu.,Ni ukatili wa Hali ya juu Ni Bora hata NATO/US wangeamua kuichapa Russia Kama walivyoichapaga Yugoslavia tu.

Lkn sio inshu maana Ukraine huku field inashinda.View attachment 2190245
kwa sasa Urusi kuna kundi la wajinga linaloendeshwa na mihemko kalishika vibaya , West wajanja sana huezi shinda bila kumfanya Urusi aonekane muonevu na kuonesha alishindikana , the same strategy ilitumika kwa Hitler , maana mwanzon Hitler alipata support dunian kote kila majeshi ya ujerumani yalipofika yaliitwa majeshi ya ukomboz ila mdogo mdogo wakaanza kupoteza umaarufu kupitia maeneo waliyoyateka jinsi alivyo kuwa anawatreat wananchi , so the same kwa Putin soon anaenda kupoteza ushawish baada ya hili kundi la wajinga kuanza kuelewa Putin ni nan !
 
Kwan seanPaul n mrusi[emoji18][emoji3061][emoji2960][emoji1]
 
Unakuta kizazi cha dot com kime'qoute reply yako kumbe kipo kwenye hii list [emoji1787]
Screenshot_20220417-014715-01.jpg
Kuanza kuitafuta kaandika nini ni sawa na kutafuta uchaf kwenye dust bin [emoji847]

So we jamàa mwenye bundi kwenye profile yako... Angalia vizuri unaojadiliana nao... Kisha baki uko uko na mapambio yenu.
 
Acha habari zako, kila mtu acheze mziki aupendao
kwa sasa Urusi kuna kundi la wajinga linaloendeshwa na mihemko kalishika vibaya , West wajanja sana huezi shinda bila kumfanya Urusi aonekane muonevu na kuonesha alishindikana , the same strategy ilitumika kwa Hitler , maana mwanzon Hitler alipata support dunian kote kila majeshi ya ujerumani yalipofika yaliitwa majeshi ya ukomboz ila mdogo mdogo wakaanza kupoteza umaarufu kupitia maeneo waliyoyateka jinsi alivyo kuwa anawatreat wananchi , so the same kwa Putin soon anaenda kupoteza ushawish baada ya hili kundi la wajinga kuanza kuelewa Putin ni nan !
 
weka kauli vizur , waasi na sio raia wenye asili ya kirusi , maana sio kila raia mwenye asili ya kirusi alikuwa anafungamana na hao waasi , waasi walikuwa wanakaribia kupoteza vita , yeye Putin alikuwa anawadhamini waasi waaishambulie serikali akitegemea serikali itakaaa kimya ? au ww ungekuwa rais hao waasi ungewaacha tu ?
Kwa hio waasi sio raia we kilaza? Serikali ya Ukraine iliacha Kulipa hadi mishahara hayo Majimbo, waliweka sniper kila mahala wanadungua tu raia, watu hawana hata mahala pa kupata basic Needs, ilikuwa ikitupa mabomu na kuua halaiki za watu. Unafikiri tu kwanini Ghafla bin Vuu watu wamekua Rebel?


Kwa kufananisha mpaka sasa Vita vya Urusi na Ukraine inakadiriwa Watu 2000 wamefariki ila Serikali Ya ukraine iliua Watu kama 14,000 huko Donestk na Donbass
 
Back
Top Bottom