President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
A rally in support of Russia was held near the Russian Embassy in the Republic of Cyprus in Nicosia.
Photos of RIA Novosti were provided by the Russian House in Cyprus.
Toa za kwako then iweke 🇷🇺🇷🇺 namba 1.Ranking ni za wamagharibu
Wakati usa, ukraine na nato wanalazimisha support wananchi wa nchi nyingine wana support kwa hiyari yaoView attachment 2191170View attachment 2191171View attachment 2191172View attachment 2191173View attachment 2191174
A rally in support of Russia was held near the Russian Embassy in the Republic of Cyprus in Nicosia.
Photos of RIA Novosti were provided by the Russian House in Cyprus.
🇷🇺🇷🇺 huyu kijeshi unataka awe namba moja ?. Huyu anaepigana na jirani yake pua na mdomo ameshindwa kummaliza !?😂😂😂 .🤣🤣🤣🤣 kwenye ranks zote huwa zinatumiwa kwa ajili ya kumpamba yule chizi wa jua linakozama... Ingawa in reality kapigwa parefu mno...
Mfano hii GDP... GDP rank inayotumiwa ni Nominal ambayo kwenye hii yaonesha akana kwamba US ndio yupo on top. Ila ukija kwenye GDP per PPP... Yani Purchasing Power Parity China yupo on top. View attachment 2190962Ila kwa sabab ni list ambayo US hayupo top huezi kuikuta inatumika 🤣🤣🤣 inabaki ile GDP kwa nominal ilhali kiuhalisia namna njema ya kupima Uchumi vizuri kwa Macro factor ni kupitia GDP kwa PPP... View attachment 2190992Sasa ndio kama Russia na US kwenye issue ya Military Power ranking... 🤣🤣🤣 Russia huwa anapachikwa number 2 in Millitary Power na Number 1 ahead of US in term of Nuclear Power duniani. Ila ukweli wake wanaufaham vizuri tu... Kiasi cha kuchokozwa yeye ni inaitwa VITA YA DUNIA 🤔 sasa how come kupigana na ki-nchi kimoja kinaitwa Russia iwe VITA ya dunia.
Kaona hamna siraha hapoWao wanazituma Mrusi Anazikusanya tu
sasa wanaandamana nn kama 🇷🇺🇷🇺 anafanya makubwa huko vitani !? 🤔🤔🤔Wakati usa, ukraine na nato wanalazimisha support wananchi wa nchi nyingine wana support kwa hiyari yao
🤔🤔🤔 mkuu . kumbe na wewe una familia ?🤔🤔🤔Mimi pamoja na familia yangu tunamtakia Putin pasaka njema
Samahani una sababu gani kumwamini Putin??Sikushughulika na maswala ya Bucha kwa sababu nlijua propaganda kazini. Ukweli wa kwamba Urusi anazingatia casualties za civilian ameusema Putin mwenyewe pale aliposema watu wengi wanauliza operesheni haiwezi kumalizwa haraka akasema inaweza tatizo isipokuwa kinachokwamisha ni casualties.
- Urusi mwanzoni walitoa mpk deadline kwa watu kuondoka maeneo ambayo wangekuja kuyataget badae. Wakapunguza mapigano.
- wakatengeneza nafasi za korido za kibinaadamu kuruhusu watu waondoke meneo hatarishi
- wanatoa msaada wa vyakula na dawa kwa raia mpk wanajeshi waliojisalimisha wa ukr
Inatosha kwangu kusema russia wanazingatia kupunguza human/civilian casualties
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Bado unatumia lugha hii "hatumuuui" ? Wewe humwui yeyote, jemadari wa kitandani!Hatumuuui .tunamhitaji LEGITIMATE PRESIDENT..kusaini makubaliano.
Ila wewe wa huko mbagala rangi 3 maeneo ya kimbangulile .....unajua maumivu ya putini kuliko putin mwenyewe na cabinet yake kuwa kuna meli imezama ....etii[emoji41][emoji41][emoji41]Kuzamishwa kwa meli ni petty issue? Wewe huwezi jua maumivu ya Putin katika hili
Donbas wakazi asimilia 90 ni warussia.Nina Swali Logical nataka lijibiwe kwa Akili na hoja...
Pro Russia wanasema Zelensky ni Puppet wa Western countries je wale Waasi wachache wa Donbas ni Akina nani wa Russia?
Si ajabu. Kipro inajaa watalii kutoka Urusi, si watalii pekee pia maoligarch walioweza kuiba mali ya taifa kwao wakipendelea kushi mazingira pasipo na baridi kali kama nyumbani...View attachment 2191170View attachment 2191171View attachment 2191172View attachment 2191173View attachment 2191174
A rally in support of Russia was held near the Russian Embassy in the Republic of Cyprus in Nicosia.
Photos of RIA Novosti were provided by the Russian House in Cyprus.
Swali zuri. Waajiriwa wa Vladimir.Nina Swali Logical nataka lijibiwe kwa Akili na hoja...
Pro Russia wanasema Zelensky ni Puppet wa Western countries je wale Waasi wachache wa Donbas ni Akina nani wa Russia?
Nina Swali Logical nataka lijibiwe kwa Akili na hoja...
Pro Russia wanasema Zelensky ni Puppet wa Western countries je wale Waasi wachache wa Donbas ni Akina nani wa Russia?
Ni kweli, nilikuwa kujitolea Ukraine huko!Wewe umechelewa huu uzi