Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Chanzo kipo,siwezi kupika taarifa kama hiyo,ila because of your uncooth behaviour sikupi.Najua hata nikileta utasema chanzo hakiaminiki.Najua watetezi wa psycopaths wa the West walivyo.Dialogue closed.
Andika Kiswahili, usijaribu lugha ya kigeni. (Ulitaka kuandika "uncouth", hakuna "uncooth"). Nahisi umekopi kwa psychopaths from the west, sawa na kile ulichowahi kuleta kuhusu "Khazarian Mafia", ulitegemea vichaa wa Marekani pekee.
 
Vijana wengi hatujui umuhimu wa kulinda uhuru na heshima la taifa letu ndio maana wengi wako sympathetic na ukraine kuwa angeweza kusurrender nakukubali matakwa ya Russia. Kunakofuka moshi kuna moto ukiona mtu kaamua kupambana ana dhamira na malengo yake yakweli. Russia anafanya aggressive kwenye nchi ya wenzie lazima watu wenye nguvu za kiume wasimame na kupambana kwelikweli
Mkuu hapa kuna watu ukiwakuta kule kwenye Jukwaa la Siasa wanavyotokwa mapovu dhidi ya 'uonevu' wa CCM na ukija hapa kwa huu uzi unakuta mtu yule yule huku anashabikia uonevu wa Putin unabaki unajiuliza,ndiyo huyu huyu mtu mmoja anaeshabikia huu uonevu au ni pacha wake.Ukrain wamesimama na wamehesabiwa na vizazi vyao vitawakumbuka na kuendeleza kutetea Taifa lao siku zote.
 
Vijana wengi hatujui umuhimu wa kulinda uhuru na heshima la taifa letu ndio maana wengi wako sympathetic na ukraine kuwa angeweza kusurrender nakukubali matakwa ya Russia. Kunakofuka moshi kuna moto ukiona mtu kaamua kupambana ana dhamira na malengo yake yakweli. Russia anafanya aggressive kwenye nchi ya wenzie lazima watu wenye nguvu za kiume wasimame na kupambana kwelikweli
Una angalia na mazingira, hivi Japan angeamua kupambana mpaka mwisho hata baada ya kudondoshewa bomu la nyukilia kungekuwepo taifa linalo itwa Japan?
 
Wewe kwa akili yako ya matope unafikili Rais wa ukraine ni mjinga kama wewe, uelewa wa jamii ya waukraine usije kufananisha na sisi waswahili wa buguruni. Sisi tuendelee tu na ushabiki wetu huku tukiburuzwa na uongozi wetu. Russia kuivamia na kuitesa ukraine wameanza kitambo tu, Stalin aliwanyanganya mashamba wakafa na njaa mamilion, acha leo wanaume wapambane dharau zimezidi. Ujinga na nidhamu yenu ya uoga eti unawaonea huruma ukraine, kichekesho cha mwaka yakwenu tu yanawashinda mnakalia ushabiki maandazi eti wasomi
Ukraini anapambana Ama anapigwa tu
 
A new shipment of weapons from the United States has been delivered to Ukraine, CNN reports, citing a White House official.

It is noted that it was provided as part of the assistance package announced by Biden in mid-April.

Earlier, due to the supply of weapons to Ukraine, the Russian Foreign Ministry sent notes to a number of countries, including the United States.
Galip Sr

The day before, the media wrote about US fears that Ukraine could be left without artillery ammunition in the coming days.
Siyo tuliahidiwa na majibu bila kuchelewa???
 
Kuna shemeji ako apa, nikamwambia ila kwa hii CV aliyonayo huyu Prezda wa Ukraine hii nchi inaenda kubaya... Huezi ishi the whole carrier as comedian, tena type ya comedian anayehamasisha ushoga af ghafla bin Vuu ukaja shika nafasi nzito na kubwa kiasi hicho... View attachment 2190804Akadai mie na wivu kila mtu na bahati ake.

Bas bn nikatulia, nikamtizama weee, nikamuita jina flan akaitika. Kisha nikamuuliza. Em pata taswira uko juu ya ndege, ndege ipate itilaf kisha ianze kuyumba, wakati upo katika tafran unaambiwa Rubani anayeongoza ndege hata ile baiskeli hajawai endesha, utapata reaction gani...???

Akapiga kelele "Mama weeeee twaaaafaaa. Nikwambia kelele za nini nae si ni bahati yake au... Akajibu Bahati gani kwenye uhai wa watu, vitu vingine vinahitaji uzoefu, huezi fanya majaribio kwa kutumia uhai wa wenzio

[emoji18][emoji18][emoji18] Nikatabasam kiduchu, moyoni nikajisemea mwanamke ni mwanamke tu ka watoto vile(Hapa nikawakumbuka na baadhi maarufu wapo hapa [emoji1787]), kwao tomato ni ya kwenye chips tu ila ukimpa (tomato) nyanya halisi anaitafutia jina lingine...

Aisee...
1993-2018 Comedian
2019-Uptodate President

Hujawai hata kua katib tarafa [emoji848]
Wasaidizi na washauri wakuu ndio ka hao akina Arestovych from d same entertainment industry walio na ndoto za kuifanya Ukraine rude as Israel... Nini hatma ake, kwanini ka nchi kasigeuke kua Magofu.
Hivi mkuu meli ya urusi iliyozama ilikuwa au ina uwezo wa kutumia nuke??
 
Bangi haijawai kumuacha mtu salama
Aaaaaaagh!
Huu ni uongo mkubwa, Ukraine hawawezi kuwapigia magoti Russia, sio Ukraine ninayoijua mimi, never, never!!!!
Hao Russia watafurushwa na majeshi ya Ukraine, baadae NATO wanaweza kuja kuongeza nguvu kuwafuata hao Russia mpaka viunga vya Moscow!
Russia ni Zimbabwe iliyochangamka!!!
 
Ila hii VITA mwisho wake nauona kabisa kama utaamuliwa na negotiation
Ila acha tuone nakuhusiana na bwana komedian huyu bwana nahisi nimpango mkakati kabisa wa NATO dhidi ya RUSSO jamaa huyu kaekwa ili kuipa challenges RUSSO mambo kama yatazidi kua mabaya yeye anakua salama wakati watu wamepoteza maisha yao
Yeye akiona imekua much more anasepa zake tuuuu!!!!!
Itaisha kama ya Finland ... Na itaandikwa Urusi kashindwa kama Finland... Na Ukraine wataachia maeneo kama Finland.. ila itaandikwa Urusi kashindwa Mark my words.
 
Nakuambia hivi, Zelensky atataka kukimbia nchi lkn hatofanikiwa kuvuka mpaka drone inamsubiri.
Wakati wapo askari wa Urusi wanapigana upande mwingine wapo askari maalumu wa Urusi wanafatilia nyendo za Zelensky tayari kabisa Kula kichwa.wanajua alipo na analindwa na nani,idadi ya walinzi na nguvu ya walinzi.
Zelensky halali sehemu moja usiku mmoja, Zelensky anahamishwa kwa akili na maarifa makubwa mno,lakini amini nakuambia,haipiti wiki ataingia kwenye kumi na nane za "Fsb Spetsnaz"
Kwa kifupi ni kwamba Zelensky anaviziwa kuliko mtu yoyote duniani kwa Sasa.
Sishabikii kifo Cha Zelensky lakini huo ndio Ukweli wenyewe.
Bora akutane na SPETSNAZ kuliko WAGNER GROUP..
 
.
Screenshot_20220417-192238.jpg
 
Sijui watu wengi wanaoamini Urusi inaonyesha tahadhari yoyote katika kutenda watu raia. Kinyume chake kuna taarifa za Bucha, na miji mingi ambako Warusi walipaswa kuondoka tena na maiti za watu raia walipatikana, mara nyigi watu walifungwa kwa kamba, kuteswa na kuuawa baadaye kwa kupiga risasi. Vilevile namna ya kushambulia makazi ya watu kwa mabomu, roketi na mizinga hazionyesha nia unayodai. Mifano iko mingi mno, pamoja na taarifa za mashahidi raia walioongea na wanahabari baada ya Warusi kuondoka.
Sikushughulika na maswala ya Bucha kwa sababu nlijua propaganda kazini. Ukweli wa kwamba Urusi anazingatia casualties za civilian ameusema Putin mwenyewe pale aliposema watu wengi wanauliza operesheni haiwezi kumalizwa haraka akasema inaweza tatizo isipokuwa kinachokwamisha ni casualties.

  • Urusi mwanzoni walitoa mpk deadline kwa watu kuondoka maeneo ambayo wangekuja kuyataget badae. Wakapunguza mapigano.
  • wakatengeneza nafasi za korido za kibinaadamu kuruhusu watu waondoke meneo hatarishi
  • wanatoa msaada wa vyakula na dawa kwa raia mpk wanajeshi waliojisalimisha wa ukr

Inatosha kwangu kusema russia wanazingatia kupunguza human/civilian casualties

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwenye ranks zote huwa zinatumiwa kwa ajili ya kumpamba yule chizi wa jua linakozama... Ingawa in reality kapigwa parefu mno...

Mfano hii GDP... GDP rank inayotumiwa ni Nominal ambayo kwenye hii yaonesha akana kwamba US ndio yupo on top. Ila ukija kwenye GDP per PPP... Yani Purchasing Power Parity China yupo on top. View attachment 2190962Ila kwa sabab ni list ambayo US hayupo top huezi kuikuta inatumika [emoji1787][emoji1787][emoji1787] inabaki ile GDP kwa nominal ilhali kiuhalisia namna njema ya kupima Uchumi vizuri kwa Macro factor ni kupitia GDP kwa PPP... View attachment 2190992Sasa ndio kama Russia na US kwenye issue ya Military Power ranking... [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Russia huwa anapachikwa number 2 in Millitary Power na Number 1 ahead of US in term of Nuclear Power duniani. Ila ukweli wake wanaufaham vizuri tu... Kiasi cha kuchokozwa yeye ni inaitwa VITA YA DUNIA [emoji848] sasa how come kupigana na ki-nchi kimoja kinaitwa Russia iwe VITA ya dunia.

Namwona RUSSIA no6 hapo afu kuna mtu anakwambia masikini[emoji28]
 
Back
Top Bottom