for life
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 3,396
- 4,447
Hii ni akanana au kitoko au zedHivi Ukraine inasubiri nini kutuma ujumbe mzito Kremlin? Cruise missile moja tu inatosha kumzibua masikio Vladimir.
Hii ni akanana au kitoko au zedHivi Ukraine inasubiri nini kutuma ujumbe mzito Kremlin? Cruise missile moja tu inatosha kumzibua masikio Vladimir.
Unataka nirudie mara ngapi kusema au kiswahili ni tatizo kwako?Twambie ww unayejua maumivu yake!
Hiyo manowary unayolia lia nayo humu haijaondoka hivi hivi .....imeondoka kiume imeacha PREGNANCY huku au kwa lugha cheap tunasema imeachaWewe huna maumivu yoyote,wenye maumivu ya kupoteza Manowari wapo Kremlin wanaomboleza
Unaona mbali sana mjomba!Kama Ukraine anaweza kuishambulia miji ya Russia nabkuzamisha meli kubwa kabisa ya kivita basi Urusi uwezo wake wa kivita unakuzwa tu hana lolote.
Usalama wake wa anga ni mdogo sana na hapo NATO ndo wanazidi kumchora ili akijichanganya tu kurusha hivyo viji nyuklia vyake basi atasambaratishwa na ndo mwisho wa udikteta wake.
Halafu hebu fuatilia dhumuni halisi la swali langu la kwanza na la piliFungua macho. Bila shaka utaratibu wao una kasoro nyingi. Kuna ubaguzi mbaya katika sehemu za nchi, na historia mbaya zaidi.
Ila: ni nchi ambako rais anaweza kushtakiwa (na wanashtakiwa hali halisi) - wewe unatoka nchi gani ambako rais anaweza kushtakiwa ? Au unatoka katika nchi ambako raia anashtakiwa kwa "kumchafua rais"??
Ni nchi ambako polisi inaweza kuua watu hovyo lakini ni rahisi kushtaki polisi; ingawa si rahisi kupata hukuma, mapolisi wamehukumiwa jela kwa kupiga na kuua wananchi.
Je wewe unatoka nchi gani ambako polisi wanashtakiwa? Na kuhukumiwa kwa kupiga watu? (Usilete mfano wa Mtwara, polisi akigeukia kuwa mjambazi moja kwa moja hata Urusi anaweza kufikishwa jela..)
Tena ni nchi ambako kila mtu anaweza kupinga serikali hadharani, kuandamana, kuitishi mikutano . .
Wewe unatoka nchi gani penye uhuru wa kufanya mikutano ya hadhara na kupinga serikali kwa hotuba na gazeti na intaneti???
Karibu nielimishe!
Dakika hiyo ya mwisho haiko mbali..wanapigwa Sana...wanaokufa polepole...ni sawa na mtu anapokuua anaanza kwa kukata vidole baadaye viganja na unyayo halafu magoti na viwiko au masikio halafu anakuja kukata pua baadaye anatoboa jicho moja halafu akata ulimi halafu anakwenda kwenye viungo vya Siri ana halafu anakuja kukata kiuno. Na kuendelea...a very painful death indeed...ndivyo inavyofanya Russia kwa Ukraine...duh...siyo Jambo la kushabikia hili..Baada ya Ukraine kusurvive zile week mbili za mwanzo,hakuna tena kinachowaogopesha.Watasimama mpaka dakika ya mwisho
Yes,missile moja inapigwa pale Kremlin "politburo" wanatafutana.Hii ni akanana au kitoto au zed
Sawa kama hujaona mzuri kaa pembeneni tafuta coca na popcorn tulia uangalie move inavoenda au kakkojoe ulaleTz bhna, NATO , Russia, mm sjaona mzur happo.
Saudia yaendelea kumnanga Biden na Marekani na kujiweka mbali na sera za Marekani za kupangiana nchi/watu wa kushirikiana nao
MBS azungumza na Putin kwa simu, wajadiliana mikakati na mipango ya kuendeleza ushirikiano ktk nyanza mbalimbali kati ya Saudia na Russia. Pia marafiki hao walioshibana wamejadiliana maendeleo ya vita vya Ukraine.
MBS hataki Saudi ya sasa kupangiwa marafiki na Marekani.
Namuona Biden kanuna vibaya mno...
View attachment 2190692
View attachment 2190691
Vijana wengi hatujui umuhimu wa kulinda uhuru na heshima la taifa letu ndio maana wengi wako sympathetic na ukraine kuwa angeweza kusurrender nakukubali matakwa ya Russia. Kunakofuka moshi kuna moto ukiona mtu kaamua kupambana ana dhamira na malengo yake yakweli. Russia anafanya aggressive kwenye nchi ya wenzie lazima watu wenye nguvu za kiume wasimame na kupambana kwelikweliWaliamua kusimama imara na ni maamuzi sahihi kabisa.Historia ya Nchi yao itawakumbuka kwa kulitetea Taifa lao.Vinginevyo Putin alitaka kuleta mazoea,kila akilala akaiota Ukraine asubuhi analianzisha,baada ya hapa hatoleta tena mazoea hayo,itambidi awe anafikiria mara mbili kabla ya kufanya maamuzi ya kwenda kuvamia jirani zake.
Nimecheka, alafu nikaogopa gafla kisha nikabaki nimeduwa. Hakika ni kifo cha kikatili sana.Dakika hiyo ya mwisho haiko mbali..wanapigwa Sana...wanaokufa polepole...ni sawa na mtu anapokuua anaanza kwa kukata vidole baadaye viganja na unyayo halafu magoti na viwiko au masikio halafu anakuja kukata pua baadaye anatoboa jicho moja halafu akata ulimi halafu anakwenda kwenye viungo vya Siri ana halafu anakuja kukata kiuno. Na kuendelea...a very painful death indeed...ndivyo inavyofanya Russia kwa Ukraine...duh...siyo Jambo la kudhabikia hili..
Umemsahau poland anayehitaji special treatment baada vita kuishaJapo ni dhambi kushangilia vifo, ila now nna raha sana jinsi Ukraine anavyopata taabu, askari wao wanakufa kama kuku kwa ujinga wa kumtetea kibaraka Zelensky. Hili litakua somo kwa Finland na Sweden, lakini litakua somo kwa ulaya na marekani katika kuleta balansi ya dunia. Hahahah nna rahaa sana...
Putin ananifurahisha sana hii pasaka, watoe damu hao.. maana ukicheka na nyani utavuna mabua... let's go Russia
Analenga military targets tu kama viwanda vya silaha, deport za mafuta, etcMrusi kaamua kuigeuza Ukraine magofu baada ya special operation kufalishwa vibaya na US
Kuna shemeji ako apa, nikamwambia ila kwa hii CV aliyonayo huyu Prezda wa Ukraine hii nchi inaenda kubaya... Huezi ishi the whole carrier as comedian, tena type ya comedian anayehamasisha ushoga af ghafla bin Vuu ukaja shika nafasi nzito na kubwa kiasi hicho...Ni mbinafsi sana, anajua mwisho wa siku yeye atajificha hata Washington, ila ni raia wangapi watapokelewa US? Mpaka sasa katika wakimbizi zaidi ya milion 6, wamepokea wakimbizi hawazidi 10. Huyu rais ni laana kwenye karne hiii.
Putin akisema anatekereza aka anaupiga mwingiNdege iliyokuwa imebeba shehena ya silaha za kivita toka nchi za Marekani na washirika wake imeteketezwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine...
Asante sana Putin kwa kutekeleza ahadi unazotupa.
View attachment 2190596View attachment 2190597View attachment 2190598
Mie sidhanii kama Elenski atakumbana na hizo mambo ila acha tuoneNakuambia hivi, Zelensky atataka kukimbia nchi lkn hatofanikiwa kuvuka mpaka drone inamsubiri.
Wakati wapo askari wa Urusi wanapigana upande mwingine wapo askari maalumu wa Urusi wanafatilia nyendo za Zelensky tayari kabisa Kula kichwa.wanajua alipo na analindwa na nani,idadi ya walinzi na nguvu ya walinzi.
Zelensky halali sehemu moja usiku mmoja, Zelensky anahamishwa kwa akili na maarifa makubwa mno,lakini amini nakuambia,haipiti wiki ataingia kwenye kumi na nane za "Fsb Spetsnaz"
Kwa kifupi ni kwamba Zelensky anaviziwa kuliko mtu yoyote duniani kwa Sasa.
Sishabikii kifo Cha Zelensky lakini huo ndio Ukweli wenyewe.