Kuna shemeji ako apa, nikamwambia ila kwa hii CV aliyonayo huyu Prezda wa Ukraine hii nchi inaenda kubaya... Huezi ishi the whole carrier as comedian, tena type ya comedian anayehamasisha ushoga af ghafla bin Vuu ukaja shika nafasi nzito na kubwa kiasi hicho...
View attachment 2190804Akadai mie na wivu kila mtu na bahati ake.
Bas bn nikatulia, nikamtizama weee, nikamuita jina flan akaitika. Kisha nikamuuliza.
Em pata taswira uko juu ya ndege, ndege ipate itilaf kisha ianze kuyumba, wakati upo katika tafran unaambiwa Rubani anayeongoza ndege hata ile baiskeli hajawai endesha, utapata reaction gani...???
Akapiga kelele "Mama weeeee twaaaafaaa. Nikwambia kelele za nini nae si ni bahati yake au... Akajibu
Bahati gani kwenye uhai wa watu, vitu vingine vinahitaji uzoefu, huezi fanya majaribio kwa kutumia uhai wa wenzio
[emoji18][emoji18][emoji18] Nikatabasam kiduchu, moyoni nikajisemea mwanamke ni mwanamke tu ka watoto vile(Hapa nikawakumbuka na baadhi maarufu wapo hapa [emoji1787]), kwao tomato ni ya kwenye chips tu ila ukimpa (tomato) nyanya halisi anaitafutia jina lingine...
Aisee...
1993-2018 Comedian
2019-Uptodate President
Hujawai hata kua katib tarafa [emoji848]
Wasaidizi na washauri wakuu ndio ka hao akina Arestovych from d same entertainment industry walio na ndoto za kuifanya Ukraine rude as Israel... Nini hatma ake, kwanini ka nchi kasigeuke kua Magofu.