Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia yajiandaa kula vichwa 400 vya wapiganaji wa Mariupol/Ukraine waliokaidi kutii amri ya kujisalimisha mjini Mariupol, wengi wao ni kutaka Europe na Canada

Russia imesema kwa kuwa masalia ya wapiganaji wa Mariupol waliojificha kwenye kiwanda cha chuma cha pua wamegoma kusalimu amri...itawaswaga kwenda kwenye ufalme wa mbinguni punde...

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na wapiganaji zaidi ya 1200 waliosalimu hapo kabla kwenye mapigano ya Mariupol wakiwemo waUK wawili, kuna wapiganaji 400 waliosalia ambao wengi ni raia wa Ulaya na Canada. Russia imesema itakula vichwa hivyo vyoote kama wakiendelea kupinga amri...

View attachment 2190894View attachment 2190896
Hawa foreign mercenary ni wanajeshi wa NATO 🤣
 
Ndugu mbona na wewe unaanza kuwa na cheap mind kiasi hichi au NYAMIZI keshakuingizia zile AKILI ZAKE FINYU

. ....kwqni we wana siasa ni wageni kwako
asa kama zellensky aliweza kuwashawishi raia wake au watu wake washike silaha kwenda vitani au kifoni atashindwaje kuwaambia watulie na kuweka silaha chini ....waendelee na maisha .....ivi japani ingesema iendelee kukomaa hata baabda ya kugongwa na chuma kizito miaka hiyo ingekuwa hapa ilipo leo ?? au ingekuwa na nafasi ya kutengeneza haya ma land cruiser magari yake tunayotumia leo ....

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Hahaha, cheap mind....

Anyways, Swali lilikiwa ni watamuelewa? Halikuwa kama anaweza kuwaambia waweke silaha chini au la.

Mechi ya simba imekaribia boss, kwa sasa ngoja niende eneo la tukio.
 
Vijana wengi hatujui umuhimu wa kulinda uhuru na heshima la taifa letu ndio maana wengi wako sympathetic na ukraine kuwa angeweza kusurrender nakukubali matakwa ya Russia. Kunakofuka moshi kuna moto ukiona mtu kaamua kupambana ana dhamira na malengo yake yakweli. Russia anafanya aggressive kwenye nchi ya wenzie lazima watu wenye nguvu za kiume wasimame na kupambana kwelikwe

Kaka mwenendo wa siasa za wenzetu unatofautiana na nchi za Africa especially kusini mwa jangwa la sahara ( community feeling ) za wenzetu ziko juu kulinganisha huku kwetu ambapo ubinafsi upo juu sana, kama ukraine ingekuwa ni corrupt state Russia asingetumia muda mrefu kutake over. Taarifa za kijasusi zingekuwa zinauzwa kirahisi vijana wa putini wasingepata hasara kubwa. Ukraine wanajitambua na ndio maana wanapambana, Rais wao aliepita walimuondosha kwa maandamano coz wanajua wanachokitaka. Wenzetu uhuru una matter sana kuliko kitu kingine
Tutatofautiana kuhusu kinachompa Urusi shida kwenye kuishimda hii vita. Mimi naona sio uzalendo wala ushujaa na usafi wa viongozi wa ukr bali mtizamo wa Urusi wenye lengo la kupunguza casualties hasa za civilians. Kama urusi asingekuwa anajali maisha ya raia angeshawapiga ukr kwa silaha nzito nzito na pengine operesheni ingeisha muda mchache kbs.

Kwa waukr hakuna uhuru. Ni eidha aungane na wamagharibi au aungane na mrusi. Kila anakoenda kuna faida na hasara zake. Uhuru wa kuamua pa kwenda anao ila uhuru wa kuamua consequences za maamuzi yake hana.

Ndio sheria za ulimwengu pengine ndio namna Mungu anauendesha huu ulimwengu. Unao uhuru wa kuamua nini ufanye 'freewill' lkn hauna uhuru wa kuamua nini matokeo ya ulichoamua kufanya 'decree of the Almighty'. Ukitumia ngazi utafika chini salama lkn utachoka na kuchelewa, ukitumia lift utawahi na utafika salama na hutochoka, ukijirusha dirishani utafika haraka zaidi lkn utaumia au kufa. Huwezi kuchagua kujirusha dirishani alafu ukataka ufike chini kama umetumia lift.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Unakimbia swali langu tena kwa kuleta kitu kingine (stori ya ajabu kuhusu kundi ambalo linashika silaha nyingi na kupigana na polisi? Hicho kichaa cha Marekani kumruhusu kila mtu kuwa na silaha..) .

Tuendelee ukijibu maswali yangu:
wewe mwenyeji wa nchi gani ambako kila raia yuko huru kumshtaki raisi wa taifa (na amiri jeshi mkuu)?
Yuko huru kupeleka mahakamani kila taasisi ya serikali ya ngazi yoyote akiona ina vunja sheria au haki zake?
Yuko huru kushtaki maafisa wa polisi waliomtendea vibaya kinyume ya sheria?
 
Hii ni nzuri kwa Puttin ila kwa raisi wa Ukraine hiyo nchi iko wapi ya kuwa salama kwa hapa ilipofika? Imelipuliwa kila sehemu, Silaha zimetapakaa na hao wenye silaha hawaandamani kumpinga raisi wao, nasikia weshawahi kuwapa sumu wanajeshi wa Urusi. Inamaana wanakubaliana na raisi wao.
Kupiga operation kwenye nchi ya watu kusikie tu, mnaweza kudead bataliani nzima asibaki hata mmoja, yaani mnaaendesha mapambano usiku na mchana, vikosi havipati mda wa kupumzika hata vikipata ni mdogo Sana. Pia hatari inakuja mkikatiwa supply yaani mnabaki kwenye killing zone. Kilichowagharimu askari wa urusi ni muda waliokaa kwenye baadhi ya miji ya ukraine hapa kupona sio rahisi utaoigwa ambushi za maana. Hata Sisi tusingemtwanga amini kirahisi kama sio back up ya waganda waliokimbilia kwetu kutuonesha vichochoro
 
Waganda walitusapoti kinyume na hapo ingekuwa shida kidogo.
 
Sio kunywa tu Ulanzi ila HUO ULANZI NINAGEMA MWENYEWE . Na kuhusu Togwa sio Togwa tu bali NYULULU.
Acha wee! Basi usitoe hoja ukiwa na furaha sana maana utakosea.
Putini ndio shetani anaesumbua dunia kwa sasa, shetani America yupo likizo.
Unapojadili nyuklia duniani baba wao ni Urusi na USA.
Neno labda hawana uliweke kwa nchi kama Iran, Korea,Pakistan sio Urusi.
Tuteme mate chini putini na watu wake wasipitishe azimio la kufyatua, mkuu tutapata shida mpaka kwetu.
 
Tutatofautiana kuhusu kinachompa Urusi shida kwenye kuishimda hii vita. Mimi naona sio uzalendo wala ushujaa na usafi wa viongozi wa ukr bali mtizamo wa Urusi wenye lengo la kupunguza casualties hasa za civilians. Kama urusi asingekuwa anajali maisha ya raia angeshawapiga ukr kwa silaha nzito nzito na pengine operesheni ingeisha muda mchache kbs.

Kwa waukr hakuna uhuru. Ni eidha aungane na wamagharibi au aungane na mrusi. Kila anakoenda kuna faida na hasara zake. Uhuru wa kuamua pa kwenda anao ila uhuru wa kuamua consequences za maamuzi yake hana.

Ndio sheria za ulimwengu pengine ndio namna Mungu anauendesha huu ulimwengu. Unao uhuru wa kuamua nini ufanye 'freewill' lkn hauna uhuru wa kuamua nini matokeo ya ulichoamua kufanya 'decree of the Almighty'. Ukitumia ngazi utafika chini salama lkn utachoka na kuchelewa, ukitumia lift utawahi na utafika salama na hutochoka, ukijirusha dirishani utafika haraka zaidi lkn utaumia au kufa. Huwezi kuchagua kujirusha dirishani alafu ukataka ufike chini kama umetumia lift.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sijui watu wengi wanaoamini Urusi inaonyesha tahadhari yoyote katika kutenda watu raia. Kinyume chake kuna taarifa za Bucha, na miji mingi ambako Warusi walipaswa kuondoka tena na maiti za watu raia walipatikana, mara nyigi watu walifungwa kwa kamba, kuteswa na kuuawa baadaye kwa kupiga risasi. Vilevile namna ya kushambulia makazi ya watu kwa mabomu, roketi na mizinga hazionyesha nia unayodai. Mifano iko mingi mno, pamoja na taarifa za mashahidi raia walioongea na wanahabari baada ya Warusi kuondoka.
 
Hii ni nzuri kwa Puttin ila kwa raisi wa Ukraine hiyo nchi iko wapi ya kuwa salama kwa hapa ilipofika? Imelipuliwa kila sehemu, Silaha zimetapakaa na hao wenye silaha hawaandamani kumpinga raisi wao, nasikia weshawahi kuwapa sumu wanajeshi wa Urusi. Inamaana wanakubaliana na raisi wao.
Tunatofautiana perspective

Ukr kutoka kwenye upande wa Russia wana option mbili. Eidha wakubaliane na matakwa ya kremlin au waipoteze hii vita kwa mauaji na uharibifu. Eitherway lzm matakwa ya kremlin pale ukr yafikiwe. Ukr anaweza kufanya maamuzi sahihi ya kukubaliana na matakwa ya kremlin akaepusha mauaji na uharibifu.

Zelensky kaja na option ya 3. ameamua kutokukubalia na Kremlin akiwa na hope atashinda. Maamuzi mazuri isipokuwa tu kushinda ni ngumu sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimeleta ushahidi wa maandishi.Wewe ulitaka ushahidi gani,nikupeleke Romania,nikuonyeshe AEGIS missile system ilipo,na tukae uone hiyo system ikirusha hizo missile ambazo zina nuclear warheads!Sina uwezo huo,hutaki kuamini acha,sikulazimishi,amini unachotaka kuamini.
katika post #30,403 hujaleta chochote cha maana. Umenakili kitu bila kutaja chanzo chako, ambacho ni batili. Nani alitoa tahadhari hiyo?
Ningehisi inaweza kuwa mmoja ya tovuti hizi za Kimarekani zinazofanya biashara kwa kutangaza fujo ili wapate clicks kwa matangazo ya kibiashara kwenye kurasa zao. Au umepata wapi?
 
Vijana wengi hatujui umuhimu wa kulinda uhuru na heshima la taifa letu ndio maana wengi wako sympathetic na ukraine kuwa angeweza kusurrender nakukubali matakwa ya Russia. Kunakofuka moshi kuna moto ukiona mtu kaamua kupambana ana dhamira na malengo yake yakweli. Russia anafanya aggressive kwenye nchi ya wenzie lazima watu wenye nguvu za kiume wasimame na kupambana kwelikwe

Kaka mwenendo wa siasa za wenzetu unatofautiana na nchi za Africa especially kusini mwa jangwa la sahara ( community feeling ) za wenzetu ziko juu kulinganisha huku kwetu ambapo ubinafsi upo juu sana, kama ukraine ingekuwa ni corrupt state Russia asingetumia muda mrefu kutake over. Taarifa za kijasusi zingekuwa zinauzwa kirahisi vijana wa putini wasingepata hasara kubwa. Ukraine wanajitambua na ndio maana wanapambana, Rais wao aliepita walimuondosha kwa maandamano coz wanajua wanachokitaka. Wenzetu uhuru una matter sana kuliko kitu kingine
Kwahiyo kuwakaribisha NATO ndiyo uhuru mkuu. Lakini pia uhuru una mipaka yake. Wakati unafurahia uhuru wako hakikisha haumuathiri mtu mwingine. Unatumia uhuru wako kuwakaribisha mhasimu(Majambazi) ya jirani yako kwako halafu unategemea jirani yako akae kimya.
NATO wanainga'ng'ani Ukraine si kwakuwa wanaipenda Ila kwakuwa inawasaidia kumsogelea karibu Russia na kumuwezesha kumtanyia intimidation Russia kirahisi
 
Ila hii VITA mwisho wake nauona kabisa kama utaamuliwa na negotiation
Ila acha tuone nakuhusiana na bwana komedian huyu bwana nahisi nimpango mkakati kabisa wa NATO dhidi ya RUSSO jamaa huyu kaekwa ili kuipa challenges RUSSO mambo kama yatazidi kua mabaya yeye anakua salama wakati watu wamepoteza maisha yao
Yeye akiona imekua much more anasepa zake tuuuu!!!!!
Mkuu yule anatumika ka co..
Tuu. Wakimchoka au kuona hawanafaida nae,wanaweza hata kumuua asije akaropoka mipango yao

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Tutatofautiana kuhusu kinachompa Urusi shida kwenye kuishimda hii vita. Mimi naona sio uzalendo wala ushujaa na usafi wa viongozi wa ukr bali mtizamo wa Urusi wenye lengo la kupunguza casualties hasa za civilians. Kama urusi asingekuwa anajali maisha ya raia angeshawapiga ukr kwa silaha nzito nzito na pengine operesheni ingeisha muda mchache kbs.

Kwa waukr hakuna uhuru. Ni eidha aungane na wamagharibi au aungane na mrusi. Kila anakoenda kuna faida na hasara zake. Uhuru wa kuamua pa kwenda anao ila uhuru wa kuamua consequences za maamuzi yake hana.

Ndio sheria za ulimwengu pengine ndio namna Mungu anauendesha huu ulimwengu. Unao uhuru wa kuamua nini ufanye 'freewill' lkn hauna uhuru wa kuamua nini matokeo ya ulichoamua kufanya 'decree of the Almighty'. Ukitumia ngazi utafika chini salama lkn utachoka na kuchelewa, ukitumia lift utawahi na utafika salama na hutochoka, ukijirusha dirishani utafika haraka zaidi lkn utaumia au kufa. Huwezi kuchagua kujirusha dirishani alafu ukataka ufike chini kama umetumia lift.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hehee
Ahsante MKUU
 
Tunatofautiana perspective

Ukr kutoka kwenye upande wa Russia wana option mbili. Eidha wakubaliane na matakwa ya kremlin au waipoteze hii vita kwa mauaji na uharibifu. Eitherway lzm matakwa ya kremlin pale ukr yafikiwe. Ukr anaweza kufanya maamuzi sahihi ya kukubaliana na matakwa ya kremlin akaepusha mauaji na uharibifu.

Zelensky kaja na option ya 3. ameamua kutokukubalia na Kremlin akiwa na hope atashinda. Maamuzi mazuri isipokuwa tu kushinda ni ngumu sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ni kweli. Ni ngumu, upo sahihi kwenye ugumu.
 
Tutatofautiana kuhusu kinachompa Urusi shida kwenye kuishimda hii vita. Mimi naona sio uzalendo wala ushujaa na usafi wa viongozi wa ukr bali mtizamo wa Urusi wenye lengo la kupunguza casualties hasa za civilians. Kama urusi asingekuwa anajali maisha ya raia angeshawapiga ukr kwa silaha nzito nzito na pengine operesheni ingeisha muda mchache kbs.

Kwa waukr hakuna uhuru. Ni eidha aungane na wamagharibi au aungane na mrusi. Kila anakoenda kuna faida na hasara zake. Uhuru wa kuamua pa kwenda anao ila uhuru wa kuamua consequences za maamuzi yake hana.

Ndio sheria za ulimwengu pengine ndio namna Mungu anauendesha huu ulimwengu. Unao uhuru wa kuamua nini ufanye 'freewill' lkn hauna uhuru wa kuamua nini matokeo ya ulichoamua kufanya 'decree of the Almighty'. Ukitumia ngazi utafika chini salama lkn utachoka na kuchelewa, ukitumia lift utawahi na utafika salama na hutochoka, ukijirusha dirishani utafika haraka zaidi lkn utaumia au kufa. Huwezi kuchagua kujirusha dirishani alafu ukataka ufike chini kama umetumia lift.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nimenote point zako muhimu lakini ntatofautiana na wewe kwenye kipengere cha kupunguza casaulities ambao ni civilian, vita ina sheri zake na askari wanaopelekwa front wanapewa rule of engagement. Russia ametumia mpaka ( cluster bombs ) haya ni mabomu mtawanyiko. Haya mabomu yakitua chini yanasambaa yaani bomb moja liki explode danger area ni heka moja. Kuna mashumbilizi mengine anafanya yanaharibu miundombinu ya raia kama yale yaliyopiga hodi ya wazazi. Vita huwezi kufanya random offensive bila kujali Raia, kama jeshi la Russia lingekuwa sophisticated wangehalibu command na control power la jeshi la ukraine na kuwafanya wasilimu amri, lakini kwa mwenendo wa ( battle mtaani ) kashafeli. Haya ni maoni tu
 
Hahaha, cheap mind....

Anyways, Swali lilikiwa ni watamuelewa? Halikuwa kama anaweza kuwaambia waweke silaha chini au la.

Mechi ya simba imekaribia boss, kwa sasa ngoja niende eneo la tukio.
Sijui kwa nini sina imani na hii game ya leo. Naona kbs tunaenda kuudhiwa hapo Lupaso. Yaani hata sina mzuka wa kuangalia maana staki presha.

Zelensky afanye maamuzi sahihi muda bado upo. Akubali tu ikiwa urusi bado ipo basi Ukraine haitakuja kwenda kinyume na matakwa ya kremlin. Akubali fate kama alivyokubali kuwa ukr haitakuja kujiunga nato. Pengine siku moja Ukr itakuja kuwa na nguvu za kutosha kwa sasa bado.

Wezi wakiingia ndani kwako utawaacha wachukue wanachokitaka waende maana ukiwazingua watakuua na watachukua. Kwa nn unamshauri zelensky tofauti!?

Ni mechi ngumu sanaaaa
 
Back
Top Bottom