Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimenote point zako muhimu lakini ntatofautiana na wewe kwenye kipengere cha kupunguza casaulities ambao ni civilian, vita ina sheri zake na askari wanaopelekwa front wanapewa rule of engagement. Russia ametumia mpaka ( cluster bombs ) haya ni mabomu mtawanyiko. Haya mabomu yakitua chini yanasambaa yaani bomb moja liki explode danger area ni heka moja. Kuna mashumbilizi mengine anafanya yanaharibu miundombinu ya raia kama yale yaliyopiga hodi ya wazazi. Vita huwezi kufanya random offensive bila kujali Raia, kama jeshi la Russia lingekuwa sophisticated wangehalibu command na control power la jeshi la ukraine na kuwafanya wasilimu amri, lakini kwa mwenendo wa ( battle mtaani ) kashafeli. Haya ni maoni tu
Unaweza ukawa upo sahihi MKUU lakini baadhi ya picha zilionesha kabisa maeneo yakiraia kunakua na vifaa vita ilikua lazima vishambuliwe
Maana majeshi hayawezi yakaona kuna bomu zinatokea kwenye kanisa kuwashambulia halaf wao waziangalie kwakigezo chakwamba eti ninyumba za ibada hii hapana
Hili la cluster cjui ndio nn hili pia nililiona juu ya hili no koment
Huko kwengine RUSSIA kajitahid sana sana sanaa kuepusha vifo na hasara kwa RAIA ila kama ujuavyo lazima ilikua wengine wafe maana huwezi ukasema usiue RAIA halaf usiue hata mmoja eidha kwabahati mbaya ama kwamazingira yaliopo wakati wakushambulia
 
Upo sahihi kabisa,hili balaa kajitengenezea mwenyewe na hatokaa atulie kamwe.Watamsumbua sana,Putin anakuja kuwaachia matatizo watakaofuatia baada yake kutawala Russia.
Imeanza ramli,matatizo yatakuwepo ndani ya Ukraine maana upinzani utaongezeka mara dufu-na hivyo amisha anza kuwaweka ndani viongozi wa upinzani ndio anachochea moto
 
Kwahiyo kuwakaribisha NATO ndiyo uhuru mkuu. Lakini pia uhuru una mipaka yake. Wakati unafurahia uhuru wako hakikisha haumuathiri mtu mwingine. Unatumia uhuru wako kuwakaribisha mhasimu(Majambazi) ya jirani yako kwako halafu unategemea jirani yako akae kimya.
NATO wanainga'ng'ani Ukraine si kwakuwa wanaipenda Ila kwakuwa inawasaidia kumsogelea karibu Russia na kumuwezesha kumtanyia intimidation Russia kirahisi
Brother bila kufanya double standard Russia pia ni aggressive nation. Angalia kwa mizani sawia Ukraine pia ana haki ya kujilinda kama taifa lenye heshima na uhuru wake. Stalin alichowafanya kama hawawezi kusahau vifo vya watu million nne kwa njaa sio mchezo. Kumbuka Russia alishawahi kuivamia Poland akishikiana na Germany. Russia with its military supremacy aliivamia afighanistan kilichotokea wote ni mashahidi. Tunapaswa kuwa neatral coz ili kujifunza geopolitics vizuri
 
katika post #30,403 hujaleta chochote cha maana. Umenakili kitu bila kutaja chanzo chako, ambacho ni batili. Nani alitoa tahadhari hiyo?
Ningehisi inaweza kuwa mmoja ya tovuti hizi za Kimarekani zinazofanya biashara kwa kutangaza fujo ili wapate clicks kwa matangazo ya kibiashara kwenye kurasa zao. Au umepata wapi?
Hakuna haja ya kubishana,nimesema believe what you want to believe.Tusubiri,usiwe na haraka,baada ya muda itakuwa wazi who really fired the missile which sank the Moskva and whether the missile contains nuclear material or not.
 
The chance to give up arms for Azov nazis holed up in Azovstal has expired and the corridors were closed a few hours ago. Russian Air Force, including the nuclear capable Tu-22M3 have started bombing the Azovstal this afternoonView attachment 2190862
Dadadek unaambiwa mtu katambaa kama mtoto au ndo miondoko ya kivita hiyoo😂😂 Putin ongeza kidoogo
 
Kuzamishwa kwa meli ni petty issue? Wewe huwezi jua maumivu ya Putin katika hili
Ni petty issue kwasababu mnakomaa sana kuliko hata aliyepata hasara!Ukijiuliza thamani ya hiyo meli na thamani aliyopoteza Russia kutokana na sunctions Bado utaona Meli sio msiba mkubwa kama pro NATO mnavyoshupaza shingo!
 
Hakuna haja ya kubishana,nimesema believe what you want to believe.Tusubiri,usiwe na haraka,baada ya muda itakuwa wazi who really fired the missile which sank the Moskva and whether the missile contains nuclear material or not.
Bila shaka, ila huwezi kuonyesha wapi ulichota madai yako? Naona si tabia nzuri kuleta vitu na kuficha chanzo.
 
Heheeee
Mtaongea lugha zote ila muhimu lengo la RUSSIA linaenda kufikiwa nshakuna kitakachotokea wakati jojia anapelekewa faya yalisemwa zaidi ya haya ila malengo yalifikiwa namaisha yanaendelea
RUSSIA sio ZIMBABWE
Wameongea kikolosai, kikorinto, Kilawi.. Watamaliza lugha za biblia zote watakuja kuongea mpaka kindamba kenge Hawa...
 
Unaweza ukawa upo sahihi MKUU lakini baadhi ya picha zilionesha kabisa maeneo yakiraia kunakua na vifaa vita ilikua lazima vishambuliwe
Maana majeshi hayawezi yakaona kuna bomu zinatokea kwenye kanisa kuwashambulia halaf wao waziangalie kwakigezo chakwamba eti ninyumba za ibada hii hapana
Hili la cluster cjui ndio nn hili pia nililiona juu ya hili no koment
Huko kwengine RUSSIA kajitahid sana sana sanaa kuepusha vifo na hasara kwa RAIA ila kama ujuavyo lazima ilikua wengine wafe maana huwezi ukasema usiue RAIA halaf usiue hata mmoja eidha kwabahati mbaya ama kwamazingira yaliopo wakati wakushambulia
Point, kwanza naomba radhi kuna sehemu nilikujibu shombo am sorry. Vita bila kupika propaganda nzuri ina matokeo mabaya sana na yakuhuzunisha. Nakupa mfano, wakati jwtz wamevifurusha vikosi vya amini jeshi lilipewa majukumu mapya ya kuingia Uganda na kumn'goa idd Amini, baada vikosi kushumbulia na ketaka mji wa mbalala walilipa kisasi najua hapa umenielewa. Bro vifo vingine vya raia vya raia vinaweza kutokana na visasi, kwa mazingira yanavyoonekana jeshi na Raia wote wako vitani kulinda nchi hapo vikosi vya russia vinapata changamoto kusonga mbele, Kuna baadhi ya convoy zilikuwa zinazuiwa na raia. Kama wewe ni mwanajeshi umetumwa kwenye hii vita kudead ni njenje tu, na unaweza kupata tatizo la kisaikolojia maana unaweza kupewa order kushambulia raia. Kuna sauti za
makamanda wa Russia wanatoa oder ( kill them for the *** sake).
 
Screenshot_20220417-181132_Instagram.jpg
 
Bila shaka, ila huwezi kuonyesha wapi ulichota madai yako? Naona si tabia nzuri kuleta vitu na kuficha chanzo.
Chanzo kipo,siwezi kupika taarifa kama hiyo,ila because of your uncouth behaviour sikupi.Najua hata nikileta utasema chanzo hakiaminiki.Najua watetezi wa psycopaths wa the West walivyo.Dialogue closed.
 
Footage from Mariupol: soldiers of the DNR battalion "Somalia" went to the sea.

Together with the Russian military, they continue to liberate the city from the nationalists. The battalion raised its flag over the building of the main department of the local police.
 
Tunatofautiana perspective

Ukr kutoka kwenye upande wa Russia wana option mbili. Eidha wakubaliane na matakwa ya kremlin au waipoteze hii vita kwa mauaji na uharibifu. Eitherway lzm matakwa ya kremlin pale ukr yafikiwe. Ukr anaweza kufanya maamuzi sahihi ya kukubaliana na matakwa ya kremlin akaepusha mauaji na uharibifu.

Zelensky kaja na option ya 3. ameamua kutokukubalia na Kremlin akiwa na hope atashinda. Maamuzi mazuri isipokuwa tu kushinda ni ngumu sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mwanzoni nilikua nalizungumzia sana hili, kwanini upigane vita ambavyo unajua kabisa hauwezi kushinda?
 
In Serbia, they called it an unfriendly step in the supply of weapons by the UK to the Kosovo Albanians.

“You cannot arm terrorists and hope for peace. I am very worried, ”RIA Novosti quotes the head of the Serbian Ministry of Internal Affairs Alexander Vulin.

He stressed that the only goal of Kosovo's rapprochement and integration into NATO is "to provoke Serbia."

Earlier, Večernje Novosti reported that London had donated 50 Javelin ATGMs and NLAW ATGMs to Pristina. According to the publication, it is also planned to train Kosovo fighters to manage these systems.
Galip Sr
20220413_132729.png
 
Back
Top Bottom