Wanacho cha kupoteza.
Roho zao na ardhi (sehemu) ya nchi yao. Thats a lot to loose man!
Mpk sasa hv kuna wakimbizi zaidi ya milioni nne kutoka ukraine, raia waliokufa ni maelfu, wanajeshi waliokufa ni maelfu, miundombinu iliyoharibiwa ya kiraia na kijeshi ni maelfu.
Endapo wataendelea na vita watapoteza maeneo mengi sana masahariki, kz na ks kuna possibility nchi yao ikabaki land locked. Idadi ya wakimbizi itaendelea kupanda halkadhalika vifo na majeruhi na hiyo sehemu waliyobaki nayo itaharibiwa vibaya. Wakiamua kusimamisha vita na kurudi mezani na kukubaliana na matakwa ya bwana putin hayo yanaweza kuepukika. Ni suala la kupiga mahesabu tu.
Sent from my SM-A107F using
JamiiForums mobile app